Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

Umeshawekewa kirusi
Nimekuambia taja unaongelea vitu havipo ...Wewe umezaliwa miaka ya karibuni unajua nn zaidi ya stori za kusadikika...Mwafrika aliendelea kutoka sehemu moja mpaka nyingine mpaka kuja kugundua moto na kuendelea.

Aliachana na mambo kadri siku zinavyoenda ,kwa zama zako ni upumbavu kujadili ya nyuma sana , Sasa tembea uchi kama babu zako ...Usiwe mjinga kufuatana na wajinga, ukoo wako unaanzia kwa wazazi wako na ndugu zako .

Huko nyuma hapakuhusu sio maisha kwa ajili yako if it was meant to be yours you would've been there...Pale ulipozaliwa ndiyo zama zako huko nyuma hakuna kama umekuta wazazi wanaendela ni sawa​
 
Hakuna ibada ya kubusu jiwe kwenye uislam
sometimes Tuweke Pembeni Udini na Tuseme Ukweli..
Vipi wewe Ni muislamu?
Umewahi Kufanya Hija au Umra?
Au je Una Elimu ya Umra au Hija??

Unaijua Ibada ya "Istilam" (الإستلام). Ambayo ni sehemu ya Tawaf ikiwemo Kubusu na Kushika Al-Hajar Al-Aswad..

Hiyo Imedhihiri Kwa Mtume na Kwa karne na Karne imekuwa Ni sunna Miongoni mwa Sunna Zilizobora kwa Mwenye Kuhijji..

Katika Sahihi Bukhari Mlango wa Hijja Hadithi namba 1610, Iliyopokelewa kutoka Kwa Ibn Umar anasimulia Kuwa..

"Nilimwona Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) alipokuwa akiwasili Makka, alielekea Al-Hajar Al-Aswad, akaligusa kwa mkono wake, kisha akautia busu." (Sahih al-Bukhari, Hadithi No. 1610)

katika Hadithi namba 1597 Umar bin Khattab (R.A) alisema wakati akilibusu Al-Hajar Al-Aswad:

"Najua kuwa wewe ni jiwe, huwezi kuleta madhara wala manufaa. Na kama nisingemuona Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) akikubusu, nisingekubusu." (Sahih al-Bukhari, Hadithi No. 1597)

Sasa sijui Tunajitia Upogu wapi Ndugu zanguni Tukubali Wema Tukubali Pia Na Vitu vyote visimwavyo ambavyo tunavifanya si Vyema Kufanya Taqiya kwa Kukwepa Aibu
 
Maelezo yote ni kutetea icho kirusi. So waafrika pekee ndio walioweza kubadilisha ama kubadilika na maisha kadri ya muda ,mbona hakuna wachina wenye majina ya kiarabu ama hakuna waarabu wenye majina ya kihindi.
Elewa wahindi Wana vyakula vyao, mavazi yao, pamoja wachina ,wajapan , waarabu na wazungu sema tu mwafrika amekuwa mjinga ameshindwa kuwa na dini., chakula na mavazi yake hata namna ya ndoa yenye asili ya kiafrika wameiga mpaka happy birthday.
Haya bana Muhammad ama wewe ni John Mana mwafrika bila ya kujiita jina la mzungu ama mwarabu anajiona hajakamilika. Kumbe ni inferiority unamsumbua , cheki hakuna tamaduni iliyoamua kufuata tamaduni nyingine Kila watu Wana tamaduni zao namna ya kuabudu.
 
Hivi ww jamaa waislam walisha kufanya nini, mbona chuki imekujaa dhidi yao kwanza tuanzie hapo?
 
Una uhakika gani kwamba hakuna wachina wenye majina ya kiarabu na race nyingine ?

Punguza ujinga wa kuamini wapumbavu ,jina halina mahusiano yoyote kikubwa liwe na wamaana tu basi...Vyakula vina husiana vipi wakati ni muingiliano kwani nan anakula chakula cha nje ?

Maisha yalivyo kama tulikubali utandawazi na muingiliano basi tunaweza kujifunza ya wengine
..Hata wewe lugha yako sio kiswahili angalua sisi wa pwani tunajifunza kuliko lugha za makabila.

Hakuna sehemu umeambiwa upewe jina la mwarabu au mzungu ni wewe tu na akili yako 😁😁wengine wanapenda majina kutokana na sound yaani vile linavyopendeza likiitwa ...

Jina linaweza kuwa moja : Mfano ''furaha'' mzungu aitaita Happy'' na mwingine ataita kutokana na maana ya kabila lake yote ni sawa ...Chaguo ni la mtu ,mimi nina jina la asili ila sijui maana yake kwa sababu sijui mambo ya makabila.
 
Hakuna uhusiano Kati ya Uislam na Ukafiri, wala Uyahudi ni kitu rahisi mno kupata history za jamii za kiarabu kuliko hizi za Kiafrika kwasababu Arabs ni jamii zinazotukuza kuhifadhi History zao,
Fuatilia acha kuburuzwa.
 
Ya kwamba ww unawajua majina wachina na wahindi wote walioko ulimwenguni?
Wachina wengi wanaotoka HongKong wana majina ya kizungu.
Wachina wanao toka kwenye kabila la uihgur wanatumia majina ya kituruki na kiarabu ,hivyo acha kukurupuka na kujitia ujuaji utakuja kuumbuka.
 
Unataka tujadiri kupitia kitabu gani kuhusu maswali yako?
Namaanisha unahitaji majibu kutoka kwenye Quran Ama Bible.
 
Kivipi?..hebu nieleze ni kivipi jesuit wanawatawala waislam akili baada ya 'kuwaundia' uislam..na wanafaidikaje?
hii dunia ina siri nyingi sana, zingine bado hazijaachiwa, jitahidi angalau ujue moja tu kwa sehemu ndogo ili akili yako iwe huru usidanganyike na dini yako uliyorithi toka kwa wazazi wako waliolishwa matango pori ya kiimani
 
Hivi ww jamaa waislam walisha kufanya nini, mbona chuki imekujaa dhidi yao kwanza tuanzie hapo?
naona kama mmepotea hivi, hebu tokeni huko gizani, njooni nuruni
 
Hivi ww jamaa waislam walisha kufanya nini, mbona chuki imekujaa dhidi yao kwanza tuanzie hapo?
muislam gani unaweka nyau kwenye avator yako? Bora ungeweka juzuu sheikh
 
Unataka tujadiri kupitia kitabu gani kuhusu maswali yako?
Namaanisha unahitaji majibu kutoka kwenye Quran Ama Bible.
mtoto wa madrasa muislam pro max bilble unaijulia wapi mpaka unatamba kuwa una majibu toka humo? We tumia quran, biblia hutaweza kuitumia, huna roho mtakatifu wa kukuwezesha kupambanua maandiko ya biblia
 
naona kama mmepotea hivi, hebu tokeni huko gizani, njooni nuruni
Utaishi maisha magumu sana maana chuki yako haina athari zozote kwa waislam.
Na mbaya zaidi ww ni mpumbavu kwa mujibu wa biblia unayo iamini.
 
hii dunia ina siri nyingi sana, zingine bado hazijaachiwa, jitahidi angalau ujue moja tu kwa sehemu ndogo ili akili yako iwe huru usidanganyike na dini yako uliyorithi toka kwa wazazi wako waliolishwa matango pori ya kiimani
Nimekwambia nielezee kivipi jesuit wanafaidika na 'kuwaundia' waislam dini,acha porojo
 
Hadithi ni porojo za kubuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…