EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
nilisoma mara 5 sielewi 🤣 ikabidi niulize tuMwenyewe nilipata tabu sana kuelewa. Nimekuja kuelewa baadae
nilijua ukuta wa fence si ndo unasimama wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilisoma mara 5 sielewi 🤣 ikabidi niulize tuMwenyewe nilipata tabu sana kuelewa. Nimekuja kuelewa baadae
nilisoma mara 5 sielewi 🤣 ikabidi niulize tu
nilijua ukuta wa fence si ndo unasimama wenyewe
Ubarikiwe sana ndg kwa kunisaidia kuweka picha, nina imani wengi pia walikuwa hawajaelewa lakini kupitia hii picha watakuwa wameelewaView attachment 3236419
Hapana, fikiria huo ukuta kati ya dirisha na mlango. Mtaalamu anasema urefu usipungue 45cm. Chini ya hapo bora kumwaga zege
Uzi bado upo ndg, ila jukwaa siku hizi limechangamka tofauti na kipindi cha nyumahuu uzi bado upo hai kwl
Engineer!Ukienda hardware kununua tank la maji, unaweza ukakuta kuna tank fupi na tank refu lakini ujazo kwa matank yote unakuta ni ule ule mmoja mfano 1000Ltrs au 3000Ltrs
Tank refu huwa lina kitako kidogo, lakini tank fupi huna lina kitako kikubwa
Kama matank yote mawili yatakuwa na maji yanayofanana ujazo, halafu ukasema ukinge maji kwa kutumia ndoo mbili zinazofanana ujazo katika kila tank, tank refu litawahi kujaza ndoo kabla ya tank ya fupi
Tank fupi huwa linatumika zaidi sehemu ambayo kuna eneo la kutosha, na tank refu linatumika zaidi sehemu ambayo kuna ufinyu wa eneo la kuweka
Lakini pia siku hizi maghorofani huwa wanaweka matank ambayo hayaonekani, yanafichwa na paa la nyumba hivyo kwa case kama hii matank mafupi ndio huwa yanatumika zaidi
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Uzi pekee JF ambao nime subscribehuu uzi bado upo hai kwl
Kama ni choo bafu, upana weka futi 4, urefu weka futi 8 au na zaidiMkuu Hechy Essy Samahani naomba kuelimishwa. Kwa kawaida choo cha public cha ndani ya nyumba ambacho sio kikubwa sana wala kidogo sana kinatakiwa kuwa na ukubwa gani (urefu na upana)?
Yote ni bora, tofauti ni kwenye matumizi tuEngineer!
Huu mfano wa tank fupi na refu uliutoa hapa lengo ukiwalenga wale watakaotaka kuyaweka maghorofani au ulikuwa unataka kusema kuna ambalo ni bora zaidi?
Mtaalam,hizi zinakaguliwaje kwa ambaye hana analolijua kwenye masuala ya umeme?Hakikisha circuit breaker zako unazikagua mara kwa mara kujua kama bado zipo active ili kujihakikishia usalama wa nyumba yako pale kunapotokea hutilafu za umeme kama umeme mwingi, short circuit n.k
Ni sawa na kumtegemea mlinzi anayelinda getini kwako kumbe na yeye mwenyewe kalala
Kwanza inabidi uwe makini sana, maana umeme ni hatari kiasi kwamba inaweza ikasababisha hata kifo hivyo ni vyema ukamtumia fundi umeme, yeye ndiye ataweza kupima sehemu yoyote anayotaka kushika kabla hajapagusa ili kujua kama kuna umeme au lahMtaalam,hizi zinakaguliwaje kwa ambaye hana analolijua kwenye masuala ya umeme?
Asante sana mkuuKama ni choo bafu, upana weka futi 4, urefu weka futi 8 au na zaidi
Kama ni choo tu, upana weka futi 4, urefu weka futi 6