Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Hela yote hiyo napata vitz used ngapi?
 
Rafiki yangu mmoja alikua pia anachukua ya shem wake anavimba mjini.
Sijatia mguu mle ndani namwambia tangulia tukutane huko tunaenda maana asije kusema nilikua na huyu tulipe wote.
Ume kwepa mengi, mimi gari ya mtu siendeshi unless nna mgonjwa au dharula ya msingi kuna jamaa yangu juzi kati nmempa gari yangu kaenda kuparamia gari la mgodini nmepeleka gari garage hesabu ika soma 1.6M jamaa kaanza kijiliza nmemwambia nitakua nachukua mshahara wake mpka hesabu i balance
 
Roho mbaya tu wewe, Kama ulimpa bure kiroho Safi basi msamehe au alipie nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…