Wale sio watu, niliangalia documentary moja and of the clip wakamwonyesha 21 Savage anavyoishi, nyumba ina camera kama 100 wanaona angle zote unapoingia kutoka mbali sana, alikuwa na guns kama 50 ndani, yaani unajiuliza yote ya nini haya? lakini kumbe ni kweli jamaa wanauana kama kuku ukizubaa kidogo tuu lazima waondoke na kichwa , alionyesha makovu aliyopigwa risasi yalivyo mengi sikuamini, akaanza kuonyesha tattoos zake kwa homies wake waliouliwa nilitingisha kichwa, nakumbuka Snoop kuna time alisema alipoanza music walipokuwa wanaingia studio ilikuwa lazima uingie na timu nzima (bodyguards) full loaded la sivyo unaweza usitoke, lakini kwa murder and violent crimes Atlanta haifikii East side Chicago na East St Louis , kule ni bora uishi Manzese tuu