Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

kipinidi cha miaka ya kuanzia 2005 mwanza ulikuja huu mtindo wa makundi sema tu kulikua hakuna bunduki ila vijana waliuana sana kwa visu makundi kama
Wa2facka
Wakutimba
Akadabradabra
i1{inasomeka ai one}
Mazabe
36chambers
Mapimpiro
Watoto wa wakoma
na mengine mengi zilianza mishe kama hizi hizi uvutaji na uuzaji bangi, pariki na kuberi pamoja na mademu yalikua yanaleta ugomvi na kutemeshana unakuta mtu anakitu ananyang'anywa shukuru mungu aliingia kamanda mroto wakavidhibiti
Hatari sana wangekuwa na risasi ndo balaa
 
Tatizo ukiwa kwenye gang then ukatusua basi wenzako wote wanataka mgawo wao, ukiwatosa unakuwa target, ndio maana wengi wanauliwa na gang members wenzao, tatizo lingine ni biashara ya madawa, gang zina tabia ya kumiliki mtaa akitokea mwingine kutoka gang nyingine kufanya biashara eneo lao ni kifo tuu, na kwenye gang culture hakuna nafasi ya kufanya makosa na unaweza kuuliwa kwa ajiri ya dola 20 au demu, vijana wengi sana kutoka familia za Kiafrica kama Liberia, Somalia etc ambao wamezaliwa US siku hizi nao wameingia kwenye culture hii ya ovyo, like Minneapolis nasikia vijana wa Kiafrica wanakufa kama kuku na wanauana wenyewe kwa wenyewe
Noma sana
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Jeffery ila najua ni mhuni na jambazi. Tatizo lake anataka kuwafurahisha machokoraa wenzie alioishi nao hood. Hata aliowabebelea YSL wengi kawatoa uko na ukitazama producers wake wengi ni Atlanta natives.

Gunna hana hatia kabisa tena mpole vile. Aliyeniuma zaidi ni Lil Keed alikufa ile wiki kina Thugger wanakamatwa na kwenye kesi hakuwepo. Bado lean na percocets zitawamaliza tena kina Future hao.

Snitch alikuwa 6ix9ine, we tangu lini mzaliwa wa New York akawa mhuni. Kalifungwa siku chache kakaropoka yote. Yani ni kama ukutane na Mzalamo wa Kijichi eti anajichanganya na wavuta bangi wa Unga limited utarajie awe kama wao, ukimbinya tu anayataja.
Gunna nina wasiwasi na usalama wake pia
New York hakuna wahuni?
 
Pac kauliwa kwa chuki kivipi? Pac aliuawa kwa kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu. Mbaya zaidi ulikuwa ugomvi wa kitaa (street beef). Kumvamia Orlando na kumpiga lilikuwa kosa kubwa sana. Hakuna gang banger ambaye angekubali kupigwa na raia halafu apotezee.
Lazima wakushoot
 
Jay Z ni mzaliwa wa Brooklyn na hilo limembeba sana kwenye career yake. Ana tofauti kubwa na wahuni wazaliwa wa hasa Atlanta kina Future, Lil Baby, PrayBoi Carti, Young Thug na Young Stoner Life yake ambalo lote ni genge la wahuni. Atlanta imejaa wahuni na ndio inatoa rappers wengi.

Na makundi yanawalinda vilevile pamoja na kwamba yanawaumiza. Maisha yao ya ovyo, wakati YSL wanapanga kumuua YFN Lucci naye alikuwa na genge lake. Wote hawa wako jela mwendesha mashtaka wa Atlanta wa sasa ni mkali hakawii kufyatua RICO charges.

Na uhuni wa kipuuzi ilimradi kuuishi ugangster. YNM Melly kafunguliwa mashtaka kwa kumuua rafiki yake na kumuendesha hadi kwenye mamlaka akidai sijui wamevamiwa. Wakaja tumia nyimbo zake mbili kuconnect dots kilichoimbwa na kilichofanyika. NBA Youngboy yuko kifungo cha nyumbani kwa kosa gani sijui lilikuwa. Last month Tory Lanez niliona mzee wake anafoka mahakamani baada ya mwanae kukutwa na hatia ya kutumia silaha dhidi ya Cardi B.
Wanaforce uhuni
Atlanta ndio core ya wahuni
 
Atlanta ndio core ya wahuni
Wale sio watu, niliangalia documentary moja and of the clip wakamwonyesha 21 Savage anavyoishi, nyumba ina camera kama 100 wanaona angle zote unapoingia kutoka mbali sana, alikuwa na guns kama 50 ndani, yaani unajiuliza yote ya nini haya? lakini kumbe ni kweli jamaa wanauana kama kuku ukizubaa kidogo tuu lazima waondoke na kichwa , alionyesha makovu aliyopigwa risasi yalivyo mengi sikuamini, akaanza kuonyesha tattoos zake kwa homies wake waliouliwa nilitingisha kichwa, nakumbuka Snoop kuna time alisema alipoanza music walipokuwa wanaingia studio ilikuwa lazima uingie na timu nzima (bodyguards) full loaded la sivyo unaweza usitoke, lakini kwa murder and violent crimes Atlanta haifikii East side Chicago na East St Louis , kule ni bora uishi Manzese tuu
 
Hilo life noma sana
 
Back
Top Bottom