Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

Taarifa zote hazisemi huyo Kibu alikuwa Raia wa Nchi gani?
Ni raia wa D R Congo aliyeingia nchini mwetu na wazazi wake mwaka 1998 akiwa na umri wa miaka 6, kwa sababu ya kukimbia machafuko.

Siku zote hizi ameishi kama digidigi! Uhamiaji wakamshtukia, lawama zinaenda kwa Yanga.
 
Ni raia wa D R Congo aliyeingia nchini mwetu na wazazi wake mwaka 1998 akiwa na umri wa miaka 6, kwa kigezo cha kukimbia machafuko.

Siku zote hizi ameishi kama digidigi! Uhamiaji wakamshtukia, lawama zinaenda kwa Yanga.
Just imagine uhamiaji wafanye kazi yao afu lawama wabebeshwe yanga. Mchawi wa simba ni simba yenyewe.
 
Kumbe mlimchezesha mchezaji ambaye sio raia wa Tanganyika ktk mechi na Malawi. Asanteni kwa taarifa sisi wa Malawi tunakata rufaa ushahidi tunao na hivi mnavyo tunyanyasa kwa kututesa na kutuning'iniza Kama popo ili tubambikie watu kesi za uongo ndio mmelikoroga.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mashule Wanafunzi wanakaa chini,Maji ni ya shida halafu ulaghai wa kusifia vitu visivyokuwa muhimu,CCm imeshatufanya Wananchi kuwa wajinga.
 
Kwa uandishi huu inaonenekana serikali ya CCM mmekwama sehemu , kiki sijuhi ni mvuto unaolazimishwa .
 
.... aliyetoa uraia kwa huyo kijana kwa mujibu wa sheria za nchi ni Rais au Waziri? Hivi mkinyoosha maelezo mnakosa nini?
Basi tufanye alipewaga uraia na dikteta sio Samia,

Mna chuki nyie watu
 
Upo sawa mkuu halafu issue imekuja kujulika siyo raia,na anapewa uraia haraka sana. Hakuna uchunguzi wala nini.
Kunashida mahara,huyu mtu hakuwa na paspot ila anakitambulisho cha Nida,alikipate je? Kama siyo Mtz.
 
Think maturely.Kazi ya kutoa uraia ni ya rais?
 
Je, hayo malalamiko yalikua yana ukweli, au yalikua ni ya uongo?

Tuachane na ile sababu isiyo na mashiko ya kwamba eti wamekalamika baada ya huyo mchezaji kukataa kusajiliwa na Yanga.
Mlikuwa wapi kulalamika mpaka alipokuja simba ndio muende TFF!! Nyie Utopolo mna shida sana[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…