PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM ni chama kinapenda kitonga...
Kitonga watakikuta ICC. Trump anawaangalia tu. Kuna kitu ambacho hatukijui marekani na ulaya wanajua nchi zao ambazo wanapenda raia wao kutembelee kwa isalama zaidi wanapokuwa likizo.

Samia ajichanganye na akina Makonda aletewe mzigo. Ila asiseme anaonewa kwa sababu ni mwanamke akubali kuvumilia kwa ajili ya demokrasia.
 
Napekua makabrasha nione kama naweza kusaidia chochote

Tuliasisi hiki chama kwa lengo jema kabisa japo wengine tulirudi CCM lakini ni sehemu ya historia ya Chadema

Ahsanteni sana 🇹🇿
Kilisajiliwa chama au viongozi, mbona mnauwezo mdogo sana wa kujadili vitu

USSR
 
Napekua makabrasha nione kama naweza kusaidia chochote

Tuliasisi hiki chama kwa lengo jema kabisa japo wengine tulirudi CCM lakini ni sehemu ya historia ya Chadema

Ahsanteni sana 🇹🇿
Ulitakaje?
 
Sasa kwenye huo uchaguzi mnaenda kushindana na Nani??
 
Napekua makabrasha nione kama naweza kusaidia chochote

Tuliasisi hiki chama kwa lengo jema kabisa japo wengine tulirudi CCM lakini ni sehemu ya historia ya Chadema

Ahsanteni sana 🇹🇿
Jibu ni rahisi "aliyeko madarakani hajiamini"
 
Sarakasi +dana dana +drama ni nyingi sana.
Hadi itimie October
 
Mim naona kuna chuki kubwa inapandwa dhidi ya watu wa Tanganyika, tuwe makini sana
Na hatari zaidi sio hata huo Utanganyika na Uzanzibar, kama unaangalia vizuri kuna kete ya udini inapangiliwa vizuri sana na Watawala
 
Bila reform mashoga watafanya erection na kutiki October.
 
Katika mambo ambayo Nyerere aliboronga ni pamoja na kutuingiza kwenye siasa ya vyama vingi pasipo ridhaa ya wananchi na pasipo mabadiliko ya katiba inayoendana na vyama vingi.Ameliacha taifa Likiwa na mpasuko mkubwa🤔
 
Ina maana mawakili wote chamani wametimkia kwenye kesi ya lisu na kuacha kesi km hizi? Kuna nini huko? Au kuna mshiko toka kwa wafadhiri wa ushoga ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…