Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
No reform no election.Hakuna honeymoon wala kula bata.Baada ya kuitumia taasisi inayokula kiapo kwa mwenyekiti wa CCM kusitisha shughuri zote za msumbufu wao Chadema, CCM inapumzika kwa raha zake na mwenza mpya Chaumma. Hongereni maharusi.
Mods, isomeke HONEYMOON.
Hilo kasha juu ya shingo inaonesha halina kitu chochote ndani, jitahidi uweke hata mawe tu.KAISEMEE KAULI HII BAFUNI AU CHOONI? πππ
Mwanga anafanya yake! No reform no election
No reform no electionewaa sasa endelea ivo ivo kucomment mpaka vidole viote sugu sisi kama kawaida oktoba tunatiki na amna mnachoweza kufanya zaidi ya kwenda nairobi kupata matibabu ya bega
Chini ya ccm ni peremende na zaidi ya peremende.kwani ujaji ni peremende gentleman?π
unamanisha ile NO PERFORM NO ERECTION ndiyo kwisha kabisa?Baada ya kuitumia taasisi inayokula kiapo kwa mwenyekiti wa CCM kusitisha shughuri zote za msumbufu wao Chadema, CCM inapumzika kwa raha zake na mwenza mpya Chaumma. Hongereni maharusi.
Mods, isomeke HONEYMOON.
Hela anazo kila mtu mimi natafuta PESA kijana ,labda kama wewe huna hela ndio maana umeamua kuwa chawa wa mama Wanutafuta ela sio sifa nzuri hio
Hii ndiyo formula ya kuwakamata Lema na Heche pia.Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa
Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk
Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,
Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,
Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.
View attachment 3363251
Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku
View attachment 3363259
Source: Jambo TV
No reform no election.Mbona mlikuwa mkiisemea chooni kwa hofu huku mkitetemeka.Ila sasa kwa kuwa tawi lingine la shetani limeamua kuwa upande wenu sasa unathubutu kuongea ukiwa nje ya choo.KAISEMEE KAULI HII BAFUNI AU CHOONI? πππ
Kapigwe tena mti wa Nguruka usoze muchupiWakikaidi amri ya mahakama,polisi watapata haki uhalali wakupiga virungu vya ugoko , Ngoja tuone.
Binafsi sikutegemea hata shekhe Ponda anaweza kutumika na serikali iliyemtesa kisa dini... Am so glad sikufuata uislam wa baba anguWaislamu sikuzote utumika kipumbavu .....ππ ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
Huu ni ipumbavu zaidi ya upumbavu uliofanywa na hakimu wa CCM.Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa