Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

Tanzania ni nchi ya ajabu sana.. kuna watu walidiriki kusema Samatta anabahatisha tu hana anachojua, wengine wakashangilia dili la msuva kwenda Benfica huku wakimponda Samatta. Ajabu wabongo wanamuona hafai lakini wazungu wanamuona Almasi.

Hizo chuki zenu na mabifu ya kwenye mziki msilete hadi kwenye mpira maana mpira hauendi hivo kumshusha Samatta na kumpandisha Msuva ilhali wote ni watanzania wanaojituma na pia ni marafiki si kitendo cha kiungwana. Kama wewe ni mgeni kwenye mambo ya mpira basi naomba nikwambie mpira hauendi hivyo.

Piga kazi Samatta watu wataelewa kazi za miguu yako
 
Naona miaka minne ni mingi angalau ingekua miwili ili akatumikie vilabu vingine pale Epl akiwa bdo kinda assume saiz ana miaka 27.zaid nampongeza sana mana anaitangaza vema Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akihitajika anauzwa muda wowote mkataba haumzuii kuuzwa kule si kama bongo ukimtaka mchezaji hadi usubiri mkataba uishe.
 
Ma shaa Allah tunataka kumuona Samatta akisujudu kama Salah anapofunga goli au Papa anapotembelea nchi za mataifa.

Si unafahamu wenye kusujudu ni kina nani? Wewe umeshawahi kusujudu toka kuzaliwa?
Hivi kwanini Kapombe hupenda sana kutumia ishara ya msalaba au si muislamu? ila si vyema kupromote mambo ya kidini kwenye mpira inaweza ikachochea fujo au mgawanyiko maana mpira ni mchezo wa furaha na ni mchezo wa wote labda iwe ni kwa kumshukuru mungu kukufikisha hapo ulipofika otherwise si uungwana kama ilivyo siasa kwenye mpira... nimeona mara nyingi unakuta goli limefungwa, kundi la wachezaji kama saba hivi linakimbia kwenda kwenye kibendera wanafika pale sita wanainama kusujudu mmoja anabaki amesimama kisa yeye ni mkristo haileti picha nzuri.
 
Ma shaa Allah tunataka kumuona Samatta akisujudu kama Salah anapofunga goli au Papa anapotembelea nchi za mataifa.

Si unafahamu wenye kusujudu ni kina nani? Wewe umeshawahi kusujudu toka kuzaliwa?
Ukiwa mjinga sana ni tatizo.
Hujaona hapo kashika T-shirt yenye nembo ya kampuni ya kamari?
.
Na mshahara wake utatokana na fedha za kamari?
Kama uko interested na ugonokaji tazama ligi ya saudi arabia huko maana hata Turkey huwezi kuona hicho kitu.
England is a Christianity country
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana.. kuna watu walidiriki kusema Samatta anabahatisha tu hana anachojua.. wengine wakashangilia dili la msuva kwenda Benfica huku wakimponda Samatta... Ajabu wabongo wanamuona hafai lakini wazungu wanamuona Almasi
Hizo chuki zenu na mabifu ya kwenye mziki msilete hadi kwenye mpira maana mpira hauendi hivo... kumshusha Samatta na kumpandisha Msuva ilhali wote ni watanzania wanaojituma na pia ni marafiki si kitendo cha kiungwana... kama wewe ni mgeni kwenye mambo ya mpira basi naomba nikwambie mpira hauendi hivyo
Piga kazi Samatta watu wataelewa kazi za miguu yako
Shida ya bongo ushabiki wa mziki na siasa vimetuharibu sana, ni ajabu kumringanisha msuva na samatta aise!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ndio mpambanaji namba 1 akifuatiwa na Diamond. Tanzania tujivunie kuwa na watu kama hawa..

Ukiisikiliza interview yake kaitaja Tanzania mara nyingi sana. anamzidi hadi Waziri wa mambo ya nje na waziri wa utalii kwa kuotangaza nchi.

Mtanzania pekee ambaye kila mtu anamsupport awe CCM au CHADEMA jamaa anatuunganisha Watanzania[emoji91]

Najiombea mema pia namuombea na yeye atuwakilishe kwa kupiga magoli nyumbu za EPL
Hakika mkuu huyu jamaa mpambanaji sana,jitahada na uweza wa Mungu umemfikisha hapo,hv vip kuhusu yule jamaa wa NBA Hasheem Thabit mbona kimya hatusikii habar zake [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom