Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

Hivi nikisema mchezaji aliyewahi kukipiga Simba SC na Mtanzania wa kwanza kucheza EPL nitakuwa nimekosea? Kongole kwake..!
 
The Samatta Mbwana exclusive story from Mbagala to Europe


Source: OmaSportstv
 
Sijui ni akili yangu ndogo au nini. Mtu unaiacha timu inayocheza UCL na kujiunga na timu hata sita bora za UEFA haina ndoto maadamu tu unachezea timu ya England!!!!?
Sawa hongera zake labda kaona kucheza EPL kwenye timu yoyote ile ndo upeo wake wa juu kisoka. Tatizo linalonisumbua ni hao 'wadandiaji' wa Samata, wanachonga mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani akiwa Ubeleji hao hawakufuatilia ligi yetu? Mbona sasa Simba na Yanga wanamakocha toka huko? Waingereza hawako hivo unavofikiria wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwana vs UTD
 

Attachments

  • Screenshot_20200121-210129.png
    16.3 KB · Views: 2
Hongera kwake! πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Kwani akiwa Ubeleji hao hawakufuatilia ligi yetu? Mbona sasa Simba na Yanga wanamakocha toka huko? Waingereza hawako hivo unavofikiria wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukisoma vizuri maoni yangu yanazungumzia dunia yote ya wapenda soka kuona wachezaji wa Tanzania na siyo Uingereza kuona wachezaji wetu wanaocheza ligi yetu ya Tanzania VPL.

Vyombo vyetu vya habari wakitupia quality video clips YouTube na ktk mitandao mingine itavutia ulimwengu kuziangalia clips hizo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…