maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,340
- 1,832
Je atavaa jezi namba ngapi? Zilizopo wazi 2, 4, 16, 19, 20, 26, 29
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pound 40000 per week
Uefa samata ataisikilizia kwenye bomba
Yaan Aston Villla kuja kucheza UEFA, ni ndoto za mchana aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea mwambaHivi nikisema mchezaji aliyewahi kukipiga Simba SC na Mtanzania wa kwanza kucheza EPL nitakuwa nimekosea? Kongole kwake..!
Kwani akiwa Ubeleji hao hawakufuatilia ligi yetu? Mbona sasa Simba na Yanga wanamakocha toka huko? Waingereza hawako hivo unavofikiria wewe.isajorsergio,
Habari nzuri hii kwa Tanzania hususan watu duniani Watatamani kuchungulia ligi ya Tanzania VPL . Kubwa kituo cha television cha Azam TV waboreshe uonekanaji wa mechi za ligi kuu zionekane vizuri youtube na wachezaji wengine waonekane dunia labda watasainiwa kupitia mgongo wa nyota ya Mbwana Samatta. Kazi kwao wadau wote kuchangamkia fursa.
Kwani akiwa Ubeleji hao hawakufuatilia ligi yetu? Mbona sasa Simba na Yanga wanamakocha toka huko? Waingereza hawako hivo unavofikiria wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
bagamoyo said, Habari nzuri hii kwa Tanzania hususan watu duniani Watatamani kuchungulia ligi ya Tanzania VPL . Kubwa kituo cha television cha Azam TV waboreshe uonekanaji wa mechi za ligi kuu zionekane vizuri youtube na wachezaji wengine waonekane dunia labda watasainiwa kupitia mgongo wa nyota ya Mbwana Samatta. Kazi kwao wadau wote kuchangamkia fursa.
Di canio alikuwa Westham na sio Aston Villa
Wewe mshahara wake umeujuaje?