JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Ila siyo mbaya mwenza wake nae anaonekana age imeenda kidogo
Kila la heri kwa wanandoa wapyaMzee Lyatonga Mrema akiwa anafunga ndoa muda huu Kanisani na mrembo wake mweupe...
Hapana she is around 30'sIla siyo mbaya mwenza wake nae anaonekana age imeenda kidogo
Hapana she is around 30's
Hapo Mkuu Hujaelewa Nini? Anaondoa Ukakasihongera kwao. sijaelewa kwanini bibi harusi kuvaa shades kanisani 😎
Hata mimi nimeshangaa.hiv kwaresma imeisha?
Too many cameras!!!!hongera kwao. sijaelewa kwanini bibi harusi kuvaa shades kanisani 😎