Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

Sasa tpaul ulikuwa unahorohoja nini sasa?
Mimi bado msimamo wangu ni uleule mkuu. Wazee hawafai kuonyesha uchi wao kwa watoto wao. Ndio mana inchi hii inapata laana kwa sababu ya mambo kama haya yasiyompendeza Mungu 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 cc: FaizaFoxy
 
Ni yule yule mkuu; alitaka kuchomoa lakini wazee wamembembeleza amekubali, Pesa si mchezo aisee!!
Una wazimu si bure!!!!
Huyu wa picha anafanana na huyu hapa chini?
mrema-23-1024x636.jpeg

 
Una wazimu si bure!!!!
Huyu wa picha anafanana na huyu hapa chini?
View attachment 2162831
Ni yuleyule ila kajikoboa.....wewe huijui nguvu ya mkorogo; shauri yako.
 
Back
Top Bottom