Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

Sasa tpaul ulikuwa unahorohoja nini sasa?
Mimi bado msimamo wangu ni uleule mkuu. Wazee hawafai kuonyesha uchi wao kwa watoto wao. Ndio mana inchi hii inapata laana kwa sababu ya mambo kama haya yasiyompendeza Mungu 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 cc: FaizaFoxy
 
Ni yule yule mkuu; alitaka kuchomoa lakini wazee wamembembeleza amekubali, Pesa si mchezo aisee!!
Una wazimu si bure!!!!
Huyu wa picha anafanana na huyu hapa chini?

 
Achana na huyu tpaul ni juha naona kuna mzee kakula mpenzi wake! Amechanganyikiwa huyo
Hivo vitoto mnavyooa mtakuja kufia kifuani mwao; mtapata laana na dhambi kwa sababu ya ubishi wenu wa kijuha.
 
Ni yuleyule ila kajikoboa.....wewe huijui nguvu ya mkorogo; shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…