Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

Hongera kwake mzee ila mwambieni kama anataka vumbi la congo/putururu naliuza kwa bei rahisi tu..pure product came straight from Kisangani hiyo unaweza kuweka hata kwenye ubwabwa
 
Ndoa kipindi cha Kwaresma uwiii katoliki mnaelekea wapi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…