Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #181
Binadamu katokea Kwa binadamuBinadamu wa kwanza ametoka wapi? Na kwanini huyo binadamu amekuwa wa Me na Ke kama alitokea naturally? Factors zipi zilisababisha binadamu awe na jinsia ya kike na mwingine wa kiume? Yupi alianza kutokea katika hizo jinsia?
Binadamu hajatokea mahali popote.Binadamu wa kwanza ametoka wapi?
Ndivyo asili ilivyo.Na kwanini huyo binadamu amekuwa wa Me na Ke kama alitokea naturally?
Hakuna factors zilizo sababisha binadamu awe wa kike na mwingine wa kiume.Factors zipi zilisababisha binadamu awe na jinsia ya kike na mwingine wa kiume? Yupi alianza kutokea katika hizo jinsia?
Sawa Baki na Imani yako mkuuMawazo ya huyo Mungu ni ya kijinga na kipumbavu sana.
Tena afadhali hata mawazo ya kibinadamu yana logic.
Mawazo na njia za huyo Mungu ni Nonsense kabisa!
Kwani yeye si ndiye aliyetuumba na kutupa uwezo wa kufanya kila kitu?
Kwa nini huyo Mungu atupe uwezo wa kwenda kinyume na matakwa yake, Halafu tukienda kinyume anakasirika?
Kama huyo Mungu alikuwa hataki tufanye vitu kinyume na mapenzi yake, Kwa nini alitupa uwezo wa kutenda vitu kinyume na mapenzi yake wakati anatuumba?
Huyo Mungu Alishindwaje kutufanya tuenende kwenye mapenzi na matakwa yake siku zote na wakati wote?
Huyo Mungu Alishindwaje kuumba dunia isiyo na shetani?
Huyo Mungu je hakujua kwamba shetani atakuja kuwepo amdhibiti na kumzuia mapema asiwepo?
Hivi huyo Mungu wako anajielewa kweli?
Mimi sina imani ya aina yeyote ile.Sawa Baki na Imani yako mkuu
And that's how HE tests our faith..hali ikiwa ngumu, matatizo yakizidi, ni rahisi kusema hayupo
He allows people to die since he has not broken his promises ambayo inasema binadamu lazima arudi mavumbini....Huyo God ambaye unasema is good, ndio anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto wadogo na wanawake wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani.
He wants us to turn back to him so so we overcome negative effects as suffering..Mungu hamtupi mja wake ata siku.moja utachukulia mfano wa Job kwenye bibliaHalafu unakuja hapa kumsifia na kumpa sifa uchwara huyo God mdhaifu ambaye hawezi hata kuwasaidia watu kama hawa👇👇
View attachment 3205295
Huyo Mungu kama yupo ni muovu sana na anastahili kufurushwa huko alipo. Hana wema wowote ule.
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zinduke I dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini
Huna akili 1890 ulikuwepo au umedataUnanikumbusha mwanzoni mwa mwaka 1890 kuelekea 1900, ndio theory za mawimbi ya radio kusafiri hewani yalitolewa na wajinga walipinga vikali kuwa haiwezekani mawimbi yapite hewani bila nguzo wala waya. Baadae wakapata Aibu baada ya ugunduzi wa Radio kuanza kufanya kazi na hatimaye simu zikagunduliwa.
Turudi kwenye mada; masuala yanayo muhusu Mungu sio mepesi mepesi kama unavyofikiri, na nakushauri uachane nayo!
Post vitu vingine ulivyo na Elimu navyo, kwani haya yanayo muhusu Mungu yanahitaji watu walio soma vizuri,. ACHA KUCHANGIA VITU USIVYO KUWA NA ELIMU NAVYO!!!
Kama huyo Mungu alituumba ili tuje kufa kwa nini alisema zaeni mkaijaze dunia?He allows people to die since he has not broken his promises ambayo inasema binadamu lazima arudi mavumbini....
Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?He wants us to turn back to him so so we overcome negative effects as suffering..Mungu hamtupi mja wake ata siku.moja utachukulia mfano wa Job kwenye biblia
Kua hai na kuishi ni haki yako ya msingi, ulevi ni ujinga wako.Kuna vitu pesa haiwezi kununua anavyotoa Mungu tu hasa Amani Biblia inasema "mwenye dhambi huna Amani". Na "hakuna Amani kwa wabaya" Lakini kwa habari ya maisha haya saa yangu inasoma sawa hasa kimaisha . Mungu huyu kaniketisha na wakuu ambao kwa akili zangu isingekuwa rahisi kuketi nao. Ni mengi ndugu. Aliniponya na mauti ya ulevi nikaomba akaniponya.
We die because ana plans na sisi katika maisha yetu na ni ukumbusho kwa watu kuweza em kumrudia yy maana baada ya kifo Kuna eternal lifeKama huyo Mungu alituumba ili tuje kufa kwa nini alisema zaeni mkaijaze dunia?
Alituumba kama tupo watiifu ...and he gave us freedom ..uhuru wa kupitiliza ndo umeleta maovu ...kwasababu mtu anaweza kuzini..kuiba...kutukana na asiweze ku.intervene kwa namna yyteWatu wataijazaje Dunia, ilhali wanakufa na kupungua?
Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zinduke I dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini
Ishi maisha Yako mzee we endelea kuwa zombiSuala la kuamini Mungu lipo palepale, unaweza usiamini habari za Mungu wa Abraham, lakini ukaamini miungu wengine. Hili suala sio jipya humu duniani. Ukiperuzi kidogo tu kuhusu tawala za Dunia hii, kuna ushahidi lumbesa kuhusu watu na Imani. Kuamini Mungu vs kuamini miungu ni mjadala unaokoma kwenye personal level.
Ishi maisha Yako mzee we endelea kuwa zombi
Kwa hiyo huyo Mungu aliplani na alikuwa anafahamu toka mwanzoni kwamba binadamu watakuja kutenda maovu ila akaamua atulie tu?We die because ana plans na sisi katika maisha yetu na ni ukumbusho kwa watu kuweza em kumrudia yy maana baada ya kifo Kuna eternal life
Kama huyo Mungu alituumba binadamu tupo watiifu, Uwezo wa kutenda maovu tuliupata kutoka kwa nani?Alituumba kama tupo watiifu
Kwa nini huyo Mungu atupe uhuru wa kupitiliza halafu aanze tena kutulaumu kwa maovu tunayofanya kwa kutumia uhuru huohuo aliotupa?...and he gave us freedom ..uhuru wa kupitiliza ndo umeleta maovu ...kwasababu mtu anaweza kuzini..kuiba...kutukana na asiweze ku.intervene kwa namna yyte
Ametulia sababu he gave us ability to know what's good and what's evilKwa hiyo huyo Mungu aliplani na alikuwa anafahamu toka mwanzoni kwamba binadamu watakuja kutenda maovu ila akaamua atulie tu?
Anatka tumrudie ili tupate mwangaza and to have eternal lifeKama huyo Mungu aliplani na alikuwa anafahamu toka mwanzo kwamba binadamu tutakuja kutenda maovu, Sasa anachotaka tumrudie ni nini?
He couldnt create us righteous sababu he gave us freedom...freedom ambayo we human can choose right and evil pathHuyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii siku zote na wakati wote?
Hio ilitokana na freedom we human have to choose either evil or right pathHuyo Mungu, Kwa nini aliruhusu binadamu wawe na uwezo wa kutenda maovu, ilhali anajijua yeye hapendi maovu?
Kutenda maovu kumetokana na sisi bindamu kutokataa uovu we have the ability to resist evil but we are ingnorantHuyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio na uwezo wa kutenda maovu?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Kama huyo Mungu alituumba binadamu tupo watiifu, Uwezo wa kutenda maovu tuliupata kutoka kwa nani?
Huo uhuru unapaswa kuchagua njia ilio sahigi au isio sahihiKwa nini huyo Mungu atupe uhuru wa kupitiliza halafu aanze tena kutulaumu kwa maovu tunayofanya kwa kutumia uhuru huohuo aliotupa?
He alwanted us to be purely freeeKwa nini huyo Mungu hakutupa uhuru kidogo ili tusiweze kupitiliza kufanya maovu?
Kama ametupa uhuru wa kuchagua mema na mabaya, Kwa nini sasa anakasirika akitendewa mabaya.Ametulia sababu he gave us ability to know what's good and what's evil
Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote?Anatka tumrudie ili tupate mwangaza and to have eternal life.
Kama huyo Mungu "He couldn't create us righteous" basi hana uwezo wa vyote.He couldnt create us righteous sababu he gave us freedom...freedom ambayo we human can choose right and evil path
Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu ignorant?Hio ilitokana na freedom we human have to choose either evil or right path
Kutenda maovu kumetokana na sisi bindamu kutokataa uovu we have the ability to resist evil but we are ingnorant
Kama huyo Mungu alitaka sisi tuwe purely free, Basi akae kwa kutulia akufuriwe vya kutosha.Huo uhuru unapaswa kuchagua njia ilio sahigi au isio sahihi
He alwanted us to be purely freee
Hakuna kampeni yeyote ya Freemason ya ujio wa 666.
Nenda katafute uzi wa Maxence Melo upo hapa JF ume elezea vizuri kuhusu Freemason.
Sio kuleta stori uchwara za vijiweni huko, kwa mambo ambayo huyaele
Ni hivo wanatayarsh ujio wa mungu wao ndio maana wanasambaza Iman mbili sad hv 1.Mungu hayupo na 2. Mungu na shetani Wana nguvu sawa ili wakati Antichrist akifika kundi la kwanza na la pili pamoja na freemason wote watakuwa upande wakeHakuna kampeni yeyote ya Freemason ya ujio wa 666.
Nenda katafute uzi wa Maxence Melo upo hapa JF ume elezea vizuri kuhusu Freemason.
Sio kuleta stori uchwara za vijiweni huko, kwa mambo ambayo huyaelewi.
Nenda kajielimishe kwanza kuhusu Freemason. Sio kuongea vitu ambavyo huvielewi.Ni hivo wanatayarsh ujio wa mungu wao ndio maana wanasambaza Iman mbili sad hv 1.Mungu hayupo na 2. Mungu na shetani Wana nguvu sawa ili wakati Antichrist akifika kundi la kwanza na la pili pamoja na freemason wote watakuwa upande wake