Nafsi Angavu
Member
- Jan 10, 2025
- 12
- 20
Kujiua ni dhambi, wewe Kwa nini hujajiua ili uepuke shida za dunia?Mi nadhani anayeamini Mungu yupo ndo anapaswa kujinyonga ili aachane na taabu za hii Dunia awahi kwa Baba yake.
Prove if he existsHe exist
Mungu hajawekwa na mtu wala kitu chochote Kwa sababu Mungu ni 'Timeless', 'spaceless' na 'immaterial' Kwa hiyo by necessity Mungu anakuwa uncreated creator kwa kuwa yeye ndiye aliye umba 'Time', 'space' na 'Material'.Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa, Huyo Mungu aliwekwa na nani?
There is no physical evidence that proves he exist but He ExistsProve if he exists
Something cannot come from nothingKwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa?
He just came into existence imagine how powerful He is..Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa, Huyo Mungu aliwekwa na nani?
Shetani yupo kutimiza ahadi ambayo Mungu alimpa Bindamu ya freedom ;either mankind to choose evil or rightKwanini Mungu hamuui Shetani ?
Sababu Mungu alimpa bindamu uwezo wa kujua Baya na zuri na licha ya hayo yote kampa Holy spirit ya kumuongoza .Kama Shetani ndio chanzo cha uovu kwanini huyo Mungu anakuja kumuadhibu binadamu Kwa kuwa muovu wakati chanzo ni Shetani ambae aliumbwa na Mungu pia?
Ingekuwa hana akili angekupa pumziHuyo Mungu ana akili kweli ?
Kwa nini huyo Mungu atoe option ya kuchagua mazuri au mabaya ilhali yeye hapendi mabaya?
Kama huyo Mungu hapendi mabaya, Kwa nini hakuweka option ya kutenda mazuri tu?
Kama huyo Mungu hapendi mabaya, kwa nini aweke option ya kuweza kutenda mabaya?
Kulikuwa na haja gani kuumba maisha ya kupita, ilhali kuna maisha ya milele?
Kulikuwa na haja gani kuumba viumbe na binadamu vije viteseke kwanza duniani, Halafu eti baadae ndio tuje tupate raha huko mbinguni?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Kama una amini akili yako tu ndio inakuongoza na ndio ina uwezo, Kwa nini unahangaika kusali na kumuomba huyo Mungu?
Ninyi si ndio mna amini maisha yenu yote ni God's plan?
Kama una amini maisha yako yote ni God's plan, Kwa nini unasema tunaongozwa na akili zetu?
Mimba ikitungwa sio maiti. Acha upotoshaji.
Inaonekana hata Biology hukusoma.
Hizi ni hadithi na hekaya za vitabuni tu zisizo na uthibitisho wowote ule.
Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
Basi huyo Mungu ni Nothing.Mungu hajawekwa na mtu wala kitu chochote Kwa sababu Mungu ni 'Timeless', 'spaceless' na 'immaterial' Kwa hiyo by necessity Mungu anakuwa uncreated creator kwa kuwa yeye ndiye aliye umba 'Time', 'space' na 'Material'.
If something cannot come from nothing, where did God come from?Something cannot come from nothing
"He just came into existence" from where?He just came into existence imagine how powerful He is..
God came from nothingIf something cannot come from nothing, where did God come from?
He was there from begining and till the end .:;alpha and Omega"He just came into existence" from where?
Where was God before coming into existence?
Timeless: God is not limited by time kama sisis binadamuBasi huyo Mungu ni Nothing.
View attachment 3207744
He existed in eternity and he's the one who created time means He is Timeless ...AgelessWhere was God before coming into existence?
You are contradicting yourself.God came from nothing
Where was God before the beginning?He was there from begining and till the end .:;alpha and Omega
Then he is nothing.Timeless: God is not limited by time kama sisis binadamu
Something cannot come from nothing but if God came from something He is not to be worshippedYou are contradicting yourself.
You said something cannot come from nothing. But now again you are saying God came from nothing!!
Don't you see, you're contradicting yourself?
In a place called heavenWhere was God before the beginning?
He cannot be nothing because he's a being that exists. 1.independentlyThen he is nothing.
Kwa nini huyo Mungu aiadhibu nafsi yangu wakati alikuwa na uwezo wa kuniumba niwe na nafsi isiyofanya mabaya?1) wewe hauna mabaya ya kufanyia Mungu
Unaweza kufanya Mabaya kuifanyia
binadamu mwenzako
Au utafanya mabaya kuifanyia nafsi yako Kwa mfano unapopinga uwepo wa Mungu hapo unafanya mabaya lakini unaifanyia nafsi yako maana nafsi yako ndio itakayoadhibiwa Kwa hilo
Jua halikutengenezwa na Mungu.2) Pia nimesha kuambia Mungu uwezo wa kuumba viumba wasiotenda mabaya anao na viumbe hao ni malaika
3) Option uliyopewa
Yani hayo unayosema na kuamini kuwa Mungu hakuna hiyo ndio inaitwa option ambayo wewe umepewa na malaika hawakupewa
4) Akili uliyopewa unaweza kuitumia vizuri ikakupeleka peponi na unaweza kuitumia vibaya ikakupeleka motoni ndio hiyo option
Mungu anasema ndani ya Quran mtu anayeitumia vizuri akili yake akiamka asubuhi akiona jua linavyochomoza na kuzama jioni anajua kuwa Mungu yupo
Sasa kama wewe Kila siku unaliona jua linachoma jioni linazama haujui Wala haufikilii kuhusu hilo basi akili yako umeshindwa kuitumia vizuri
5) Tafuta kwanza definition ya Maiti
Kwa kukusaidia mimba inaputunga unakuwa maiti Hadi siku ambayo moyo wako unaanza kudunda ndio unakuwa hai na kuanza movement za hapa na pale
Na siku moyo wako ukiacha kudunda unakuwa umerudi kuwa maiti
6) Quran ndio kitabu pekee Kwa Sasa kilichopo hapa Duniani ndio kinatoa definition ya kwali kuhusu Mungu
Na hata nyinyi ambao mnasema hakuna Mungu ni Kwa sababu hamjapata bahati ya kufundishwa kujumjua Mungu kupitia Quran it's means nyinyi chimbuko lenu ni Ugalatia
Hata siku Moja hautamkuta mtu aliyekulia katika uislam akasema hakuna Mungu hata kama atatoka katika uislam atapinga tu baadhi ya mambo lakini hata siku Moja hawezi kusema hakuna Mungu
Jiandae bro Jahanamu inakusubiri
Yani Mungu atengeneze Jua ashindwe kutengeneza Jahanamu?
Basi huyo Mungu ni Nothing.
View attachment 3207744