Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Kiumbe wa kwanza alitoka wapi?

Ikiwa hakuumbwa alizaliwa na nani?

Yule aliye mzaa naye alizaliwa na nani?

Ni mpumbavu tu anayeweza kusema kuwa hakuna muumbaji wa vyote.

Ikiwa kiswaswadu chako kilitengenezwa na mchina (hakikujizalisha wala kuzalisha) basi hata kundu lako lina aliyelitengeneza ili lile linamwaga uchafu kutoka mwilini mwako.

Huyo aliyekuzaa hahusiki kabisa na vile ulivyo...

Kama unabisha ziba hilo kundule lako uache kunya kama utaweza.

Mheshimu na kumwabudu aliyekuumba, acha ubishi wa kipumbavu.
 
Mkuu matusi ya nini, maana mtu aliyeishiwa hoja mara nyingi huishia kutukana au kupigana. Taratibu baba wewe!!
 
Ukiona kwamba Mungu anahangaikiwa kutetewa na wanadamu, Jua kwamba huyo Mungu ni mchovu na mdhaifu sana.

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It proves his non-existence.
🤔 🤔 🤔
 
Mkuu unakosea, unapoamua kutoshughulisha akili yako, basi usiwachukulie wanao shughulisha akili zao kuwa wanaumwa akili. Hii inaitwa utundu wa akili. Tulia Kisai.
 

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli​

Thread hii umeianzisha wewe, so the burden of proof ipo kwako kuthibitisha kuhusu hoja yako.
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka na yalianzia kwenu ninyi watu wa dini na imani.

Ninyi waamini Mungu ndio mnadai na kuamini kuna Mungu. Hivyo hivyo mnaamini na kudai kuna Shetani.

Hivyo ninyi ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu na shetani. Mnaodai wapo.

Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya kusema kwamba kuna Mungu, Ina maana kwamba madai yenu ni ya uongo.

Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
 
Mkuu matusi ya nini, maana mtu aliyeishiwa hoja mara nyingi huishia kutukana au kupigana. Taratibu baba wewe!!
Kuna tusi hapa?

Unayajua matusi wewe?

Kama kuna tusi umeliona basi nenda kashtaki.
 

Maswali kuntu!!
 
Mkuu hatua kwa hatua utaeleweka.
Na hizo hadithi zako za Quran zinasema kwamba Mungu hana muumbaji, it means alizuka tu?

Jua halijazuka.

Jua limekuwepo milele.

Kwa sababu Jua ☀️ ni mmoja tu.

Lilikuwepo, lipo na litaendelea kuwepo milele yote.


Quran 112:1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
112:2 - Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
112:3 - Hakuzaa wala hakuzaliwa.
112:4 - Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Hizi Aya nimekuwekea Ili kukuonyesha kile ambacho Mimi nakiamini kuhusu uwepo wa Mungu kiimani

Wala sijakuambia au kukulazimisha na wewe uamini kama Mimi

Ila Mimi nataka wewe uthibishe kile ambacho unakiamini Kwa sababu wewe unasema hauwezi kuamini kitu ambacho hauwezi kukithibisha Kwa akili zako

Sasa Cha ajabu na wewe tena unaamini kitu ambacho hauwezi kukithibisha Kwa kutumia akili yako

Na kama Kila unachokiamini unaweza kukithibisha Kwa akili zako haya thibisha Sasa hi kauli yako

1) Jua halijazuka
2) Jua limekuwepo milele
3) Jua litaendelea kuwepo milele

Na mwisho thibitisha kama wewe unazo akili Kwa kuzipiga picha hizo akili zako uweke picha yake hapa tuzione Ili tujue akili zako zinafananaje
 
Mkuu kufikiri kwa kina sio lazima uwe umefanyiwa jambo baya. Simsemei ila atakujibu mwenyewe.
 
Kiumbe wa kwanza alitoka wapi?
Kuna viumbe wengi sana wa aina tofauti tofauti.

Hakuna kiumbe wa kwanza.
Ikiwa hakuumbwa alizaliwa na nani?
Alizaliwa na kiumbe kilicho tangulia kabla yake.
Yule aliye mzaa naye alizaliwa na nani?
Alizaliwa na kiumbe kilicho tangulia kabla yake.

Hivyo hivyo pasipo kukoma.

Endless to infinity.
Ni mpumbavu tu anayeweza kusema kuwa hakuna muumbaji wa vyote.
Ni Mpumbavu tu awezaye kufosi kwamba kuna muumbaji wa vyote, Halafu akiulizwa huyo muumbaji wa vyote, Aliumbwa na nani? Hajui.

Huyo muumbaji wa vyote, Kabla ya kuumba chochote alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Na kuliumbwa na nani?
Ikiwa kiswaswadu chako kilitengenezwa na mchina (hakikujizalisha wala kuzalisha) basi hata kundu lako lina aliyelitengeneza ili lile linamwaga uchafu kutoka mwilini mwako.
Pia hata huyo mtengenezaji wa "kundu", lazima awe ametengenezwa na mtengenezaji mwingine.

Mtengenezaji huyo wa "kundu" hawezi kuwepo tu from nowhere.
Huyo aliyekuzaa hahusiki kabisa na vile ulivyo...

Kama unabisha ziba hilo kundule lako uache kunya kama utaweza.
"Kunya na kundu" Hakuthibitishi uwepo wa Mungu.

Ni wewe tu unafosi kwamba kunya kuna sababishwa na Mungu.

Hakuna Mungu anayefanya watu wanye.
Mheshimu na kumwabudu aliyekuumba, acha ubishi wa kipumbavu.
Huyo Mungu kama alitaka kuheshimiwa, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumheshimu siku zote?

Mungu pamoja na wewe ndio WAPUMBAVU wakubwa.
 
Mkuu kwa mujibu wa misahafu yote miwili;- Quran na biblia, una uhakika kuwa malaika hawaasi au kutenda baya??? Refer, ugomvi wa shetani na Mungu au chanzo cha uzao wa manefeli.
 

Hakuna non sequitur hapo, hizo hoja ni deductive reasoning ambapo if premises are valid the conclusion must follow. Hiyo siyo logical fallacy ni deductive logic.
 
Nimeuliza hili swali naona sijibiwi na wenye hoja kama zako, hivi kubaka watoto wadogo ni kosa? Kama ni kosa ni Kwa mujibu wa standards za Nani?
 
Hakuna non sequitur hapo, hizo hoja ni deductive reasoning ambapo if premises are valid the conclusion must follow. Hiyo siyo logical fallacy ni deductive logic.
Haziwezi kuwa valid.

Kwa sababu hujatoa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Umefanya assumptions tu kwamba ulimwengu na vyote vilivyomo viliumbwa na Mungu bila kuthibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu.
 
Kosa lako kubwa ni kuita tunaomwaminu Mungu wajinga. Hujalazumishwa kuamini, hata mimi nikikuita mjinga kwa sababu huamini Mungu ni kosa pia. Wewe ni mwerevu sana ndiyo maana huamini vile wanavyoamini watu wengine.
Mkuu kuitwa mjinga sio kosa, maana unajifunza kila siku. Ndio Infropreneur hajakuita mpumbavu. Tuendelee kujifunza mawazo kinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…