Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Hakuna mzazi wa kwanza kabisa duniani wa binadamu wote.

Kwa sababu zifuatazo;

1- Utofauti wa vinasaba (DNA) 🧬 baina ya watu.

Kama binadamu wote tungekuwa tumetokana na mzazi mmoja tu, Basi wote tungekuwa na vinasaba vinavyo fanana. Lakini sivyo, Binadamu tuna tofautiana vinasaba. Hivyo hii ni dhahiri kuwa hakuna mzazi wa kwanza.

2- Utofauti wa rangi zetu sisi binadamu.

Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wahindi weupe, weusi na wekundu. Kuna wajapani, wachina, wakorea, wafilipino, waarabu n.k Utofauti huu ni uthibitisho tosha kwamba hakuna mzazi wa kwanza kwa watu wote.

Kama mzazi wa kwanza kwa watu wote angekuwepo basi kusingekuwa na utofauti huu wa rangi. Binadamu wote tungekuwa na rangi moja na kufanana wote dunia nzima.

3- Uwepo wa hali za kurithi kama ualbino.

Kuna binadamu huzaliwa na ualbino. Na wengine huzaliwa kawaida. Sasa kama binadamu wote tungekuwa tumetokana na mzazi mmoja tu, Either wote tungekuwa maalbino, Au kusingekuwa na maalbino. Wote tungekuwa kawaida tu.

4- Magonjwa ya kurithi.

Kuna familia zina magonjwa ya kurithi na familia zingine hazina. Hivyo huu ni uthibitisho tosha kwamba hakuna mzazi wa kwanza kwa binadamu wote.

Hivyo, Hakuna mzazi wa kwanza duniani wa binadamu wote.
Kiumbe wa kwanza alitoka wapi?

Ikiwa hakuumbwa alizaliwa na nani?

Yule aliye mzaa naye alizaliwa na nani?

Ni mpumbavu tu anayeweza kusema kuwa hakuna muumbaji wa vyote.

Ikiwa kiswaswadu chako kilitengenezwa na mchina (hakikujizalisha wala kuzalisha) basi hata kundu lako lina aliyelitengeneza ili lile linamwaga uchafu kutoka mwilini mwako.

Huyo aliyekuzaa hahusiki kabisa na vile ulivyo...

Kama unabisha ziba hilo kundule lako uache kunya kama utaweza.

Mheshimu na kumwabudu aliyekuumba, acha ubishi wa kipumbavu.
 
Mkuu matusi ya nini, maana mtu aliyeishiwa hoja mara nyingi huishia kutukana au kupigana. Taratibu baba wewe!!
 
Ukiona kwamba Mungu anahangaikiwa kutetewa na wanadamu, Jua kwamba huyo Mungu ni mchovu na mdhaifu sana.

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It proves his non-existence.
🤔 🤔 🤔
 
Mtoa mada hili ulichokiandika kimethibitisha ya kuwa hufikirii mambo katika uhalisia.

Unadai umegundua, lakini hujazingatia hatua za kiungunduzi mpaka ukafikia hitimisho hili. Hili huwa linatufanya tuzidi kuwaona mna matatizo ya AKILI.

Swali la msingi umejuaje kama Mungu hayupo na Shetani kadhalika hayupo ?

Una uhahika unavijua viwili kwa uhalisia wake ?

Shida nyingine, mliyo nayo huwa mnajadili vitu ambavyo hamna elimu navyo Wala hamvijui. Huu ni ugonjwa wa akili.
Mkuu unakosea, unapoamua kutoshughulisha akili yako, basi usiwachukulie wanao shughulisha akili zao kuwa wanaumwa akili. Hii inaitwa utundu wa akili. Tulia Kisai.
 
Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli​

Thread hii umeianzisha wewe, so the burden of proof ipo kwako kuthibitisha kuhusu hoja yako.
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka na yalianzia kwenu ninyi watu wa dini na imani.

Ninyi waamini Mungu ndio mnadai na kuamini kuna Mungu. Hivyo hivyo mnaamini na kudai kuna Shetani.

Hivyo ninyi ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu na shetani. Mnaodai wapo.

Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya kusema kwamba kuna Mungu, Ina maana kwamba madai yenu ni ya uongo.

Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
 
Mkuu matusi ya nini, maana mtu aliyeishiwa hoja mara nyingi huishia kutukana au kupigana. Taratibu baba wewe!!
Kuna tusi hapa?

Unayajua matusi wewe?

Kama kuna tusi umeliona basi nenda kashtaki.
 
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wasio na uwezo wa kutenda dhambi?

Huyo Mungu kama aliangamiza binadamu wote wadhambi wakati wa Nuhu, Je Dhambi ilikujaje na iliingiaje tena duniani?

Kama kweli huyo Mungu aliangamiza watu wote wenye dhambi kipindi cha Nuhu, Mbona mpaka leo hii bado dhambi zipo?

Kwa hiyo huyo Mungu aliplani na alikuwa anafahamu toka mwanzoni kwamba binadamu watakuja kutenda maovu ila akaamua atulie tu?

Kama huyo Mungu aliplani na alikuwa anafahamu toka mwanzo kwamba binadamu tutakuja kutenda maovu, Sasa anachotaka tumrudie ni nini?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii siku zote na wakati wote?

Huyo Mungu, Kwa nini aliruhusu binadamu wawe na uwezo wa kutenda maovu, ilhali anajijua yeye hapendi maovu?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio na uwezo wa kutenda maovu?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?

Kama huyo Mungu alituumba binadamu tupo watiifu, Uwezo wa kutenda maovu tuliupata kutoka kwa nani?

Kwa nini huyo Mungu atupe uhuru wa kupitiliza halafu aanze tena kutulaumu kwa maovu tunayofanya kwa kutumia uhuru huohuo aliotupa?

Kwa nini huyo Mungu hakutupa uhuru kidogo ili tusiweze kupitiliza kufanya maovu?
Maswali kuntu!!
 
Mkuu hatua kwa hatua utaeleweka.
Na hizo hadithi zako za Quran zinasema kwamba Mungu hana muumbaji, it means alizuka tu?

Jua halijazuka.

Jua limekuwepo milele.

Kwa sababu Jua ☀️ ni mmoja tu.

Lilikuwepo, lipo na litaendelea kuwepo milele yote.

Quran 112:1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
112:2 - Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
112:3 - Hakuzaa wala hakuzaliwa.
112:4 - Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Hizi Aya nimekuwekea Ili kukuonyesha kile ambacho Mimi nakiamini kuhusu uwepo wa Mungu kiimani

Wala sijakuambia au kukulazimisha na wewe uamini kama Mimi

Ila Mimi nataka wewe uthibishe kile ambacho unakiamini Kwa sababu wewe unasema hauwezi kuamini kitu ambacho hauwezi kukithibisha Kwa akili zako

Sasa Cha ajabu na wewe tena unaamini kitu ambacho hauwezi kukithibisha Kwa kutumia akili yako

Na kama Kila unachokiamini unaweza kukithibisha Kwa akili zako haya thibisha Sasa hi kauli yako

1) Jua halijazuka
2) Jua limekuwepo milele
3) Jua litaendelea kuwepo milele

Na mwisho thibitisha kama wewe unazo akili Kwa kuzipiga picha hizo akili zako uweke picha yake hapa tuzione Ili tujue akili zako zinafananaje
 
Infropreneur I'm being Open minded and respectfuul kuheshimu mawazo Yako and trying to understand why you don't believe if God exits na kumkufuru...
What did he do to offend you?!
Usisahau na mazuri aliyokufanyia
Since nobody has ever asked you this before allow me to know
Mkuu kufikiri kwa kina sio lazima uwe umefanyiwa jambo baya. Simsemei ila atakujibu mwenyewe.
 
Kiumbe wa kwanza alitoka wapi?
Kuna viumbe wengi sana wa aina tofauti tofauti.

Hakuna kiumbe wa kwanza.
Ikiwa hakuumbwa alizaliwa na nani?
Alizaliwa na kiumbe kilicho tangulia kabla yake.
Yule aliye mzaa naye alizaliwa na nani?
Alizaliwa na kiumbe kilicho tangulia kabla yake.

Hivyo hivyo pasipo kukoma.

Endless to infinity.
Ni mpumbavu tu anayeweza kusema kuwa hakuna muumbaji wa vyote.
Ni Mpumbavu tu awezaye kufosi kwamba kuna muumbaji wa vyote, Halafu akiulizwa huyo muumbaji wa vyote, Aliumbwa na nani? Hajui.

Huyo muumbaji wa vyote, Kabla ya kuumba chochote alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Na kuliumbwa na nani?
Ikiwa kiswaswadu chako kilitengenezwa na mchina (hakikujizalisha wala kuzalisha) basi hata kundu lako lina aliyelitengeneza ili lile linamwaga uchafu kutoka mwilini mwako.
Pia hata huyo mtengenezaji wa "kundu", lazima awe ametengenezwa na mtengenezaji mwingine.

Mtengenezaji huyo wa "kundu" hawezi kuwepo tu from nowhere.
Huyo aliyekuzaa hahusiki kabisa na vile ulivyo...

Kama unabisha ziba hilo kundule lako uache kunya kama utaweza.
"Kunya na kundu" Hakuthibitishi uwepo wa Mungu.

Ni wewe tu unafosi kwamba kunya kuna sababishwa na Mungu.

Hakuna Mungu anayefanya watu wanye.
Mheshimu na kumwabudu aliyekuumba, acha ubishi wa kipumbavu.
Huyo Mungu kama alitaka kuheshimiwa, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumheshimu siku zote?

Mungu pamoja na wewe ndio WAPUMBAVU wakubwa.
 
Mbana maswali yako rahisi sana Kwa sisi watu tunayemjua Mungu na kumuamini?

1) Mungu ameumba malaika hawajui kumuasi Mungu Wala kukumkuru Mungu hivyo ndivyo alivyo waumba
Malaika hawana option ya kutenda maovu

2) Akaumba binadamu na majini akawapa option ya kuchagua aidha afanye mabaya au mazuri

Na akateua miongoni mwa binadamu na majini kuwapelekea ujumbe wenzao kuwa mkifanya maovu Kuna moto na mkifanya mazuri Kuna pepo na haya maisha ya Dunia ni ya kupitia tu ila Kuna maisha ya milele Baada ya haya maisha ya Dunia

Akili aliyepewa binadamu inauwezo wa kumuongoza akaenda anapotaka kama ni motoni au peponi

Siku ilipotungwa mimba yako ulikuwa maiti alafu ukapewa uhai na kuanza maisha tumboni mwa mama yako na hatimaye hapa Duniani

Ipo siku utakuwa tena maiti

Na ipo siku utakuwa hai tena na huo ndio utakuwa uhai wa milele

Mwenyezi Mungu ni nani?

Quran 2:255
Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
Mkuu kwa mujibu wa misahafu yote miwili;- Quran na biblia, una uhakika kuwa malaika hawaasi au kutenda baya??? Refer, ugomvi wa shetani na Mungu au chanzo cha uzao wa manefeli.
 
Cosmological arguments ni hoja zilizojaribu ku assume kuna Mungu kwa kupitia mifano ya mazingira. Hazithibitishi uwepo wa Mungu.

Hoja za ontolojia, kosmolojia na hiyo ya intelligent design ni assumptions tu. Sio uthibitisho wa uhakika wa uwepo wa Mungu.

Kutumia mifano ya mazingira na viumbe kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potof

Cosmological arguments ni hoja zilizojaribu ku assume kuna Mungu kwa kupitia mifano ya mazingira. Hazithibitishi uwepo wa Mungu.

Hoja za ontolojia, kosmolojia na hiyo ya intelligent design ni assumptions tu. Sio uthibitisho wa uhakika wa uwepo wa Mungu.

Kutumia mifano ya mazingira na viumbe kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.View attachment 3208855
Hakuna non sequitur hapo, hizo hoja ni deductive reasoning ambapo if premises are valid the conclusion must follow. Hiyo siyo logical fallacy ni deductive logic.
 
Nimeuliza hili swali naona sijibiwi na wenye hoja kama zako, hivi kubaka watoto wadogo ni kosa? Kama ni kosa ni Kwa mujibu wa standards za Nani?
 
Hakuna non sequitur hapo, hizo hoja ni deductive reasoning ambapo if premises are valid the conclusion must follow. Hiyo siyo logical fallacy ni deductive logic.
Haziwezi kuwa valid.

Kwa sababu hujatoa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Umefanya assumptions tu kwamba ulimwengu na vyote vilivyomo viliumbwa na Mungu bila kuthibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu.
 
Kosa lako kubwa ni kuita tunaomwaminu Mungu wajinga. Hujalazumishwa kuamini, hata mimi nikikuita mjinga kwa sababu huamini Mungu ni kosa pia. Wewe ni mwerevu sana ndiyo maana huamini vile wanavyoamini watu wengine.
Mkuu kuitwa mjinga sio kosa, maana unajifunza kila siku. Ndio Infropreneur hajakuita mpumbavu. Tuendelee kujifunza mawazo kinzani.
 
Back
Top Bottom