Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Kiumbe wa kwanza alitoka wapi?Hakuna mzazi wa kwanza kabisa duniani wa binadamu wote.
Kwa sababu zifuatazo;
1- Utofauti wa vinasaba (DNA) 🧬 baina ya watu.
Kama binadamu wote tungekuwa tumetokana na mzazi mmoja tu, Basi wote tungekuwa na vinasaba vinavyo fanana. Lakini sivyo, Binadamu tuna tofautiana vinasaba. Hivyo hii ni dhahiri kuwa hakuna mzazi wa kwanza.
2- Utofauti wa rangi zetu sisi binadamu.
Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wahindi weupe, weusi na wekundu. Kuna wajapani, wachina, wakorea, wafilipino, waarabu n.k Utofauti huu ni uthibitisho tosha kwamba hakuna mzazi wa kwanza kwa watu wote.
Kama mzazi wa kwanza kwa watu wote angekuwepo basi kusingekuwa na utofauti huu wa rangi. Binadamu wote tungekuwa na rangi moja na kufanana wote dunia nzima.
3- Uwepo wa hali za kurithi kama ualbino.
Kuna binadamu huzaliwa na ualbino. Na wengine huzaliwa kawaida. Sasa kama binadamu wote tungekuwa tumetokana na mzazi mmoja tu, Either wote tungekuwa maalbino, Au kusingekuwa na maalbino. Wote tungekuwa kawaida tu.
4- Magonjwa ya kurithi.
Kuna familia zina magonjwa ya kurithi na familia zingine hazina. Hivyo huu ni uthibitisho tosha kwamba hakuna mzazi wa kwanza kwa binadamu wote.
Hivyo, Hakuna mzazi wa kwanza duniani wa binadamu wote.
Ikiwa hakuumbwa alizaliwa na nani?
Yule aliye mzaa naye alizaliwa na nani?
Ni mpumbavu tu anayeweza kusema kuwa hakuna muumbaji wa vyote.
Ikiwa kiswaswadu chako kilitengenezwa na mchina (hakikujizalisha wala kuzalisha) basi hata kundu lako lina aliyelitengeneza ili lile linamwaga uchafu kutoka mwilini mwako.
Huyo aliyekuzaa hahusiki kabisa na vile ulivyo...
Kama unabisha ziba hilo kundule lako uache kunya kama utaweza.
Mheshimu na kumwabudu aliyekuumba, acha ubishi wa kipumbavu.