Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Sasa kama kweli unaota, umewezaje kuandika kwa usahihi na utimamu?Una uhakka gani kama Mimi sioti kwamba najibizana na wewe sasa hivi? Au labda nimechanganyikiwa Kwa hiyo naona kama Niko jamiiforums kumbe ni mawazo yangu tu Ila siyo kwamba wewe uko hai
Yawezekana naota, Ila siyo kwamba na reply Meseji zako. Ndio maana nakwambia siyo kwamba nakujibu hapa JF bali tukio lote linalo endelea sasa hivi ni ndoto(njozi) Thibitisha wewe unaishi na hii si ndotoSasa kama kweli unaota, umewezaje kuandika kwa usahihi na utimamu?
Na pia umeweza kupress hicho kidude cha blue kilicho andikwa "post reply"?
Kama umechanganyikiwa, Mbona Hujachanganya kum quote mtu mwingine tofauti na mimi?
Mbona umeni quote exactly mimi infropreneur ukijua kwa hakika ndio mimi tunaye jibizana?
Mbona huja quote JF member mwingine let say Maxence melo kwa kuchanganya kwamba ni infropreneur?
Hivyo viumbe vinavyosababisha kiumbe kipya kitokee yenyewe vilitokea kwa kusababishwa na nini?Ili kiumbe kipya kitokee, Lazima kuwepo viumbe viwili, female na male.
Huyo Mungu aliumbwa na nani?Hivyo viumbe vinavyosababisha kiumbe kipya kitokee yenyewe vilitokea kwa kusababishwa na nini?
Usije sema hata yai lilijitaga na kijiatamia ndipo ndege wa kwanza duniani akatokea.
Acha uzoba ndugu viumbe vyote viliumbwa na Mungu na wala havikutokea tu na kuanza kuzaana.
Kama unaota na kama unaona tunavyo chati hapa ni ndoto(njozi), Basi wahi kituo cha afya haraka sana kwa matibabu.Yawezekana naota, Ila siyo kwamba na reply Meseji zako. Ndio maana nakwambia siyo kwamba nakujibu hapa JF bali tukio lote linalo endelea sasa hivi ni ndoto(njozi) Thibitisha wewe unaishi na hii si ndoto
Jibu kwanza swali la yai kujitaga ama kutagwa then uulize hilo swali la aliko tokea Mungu...Huyo Mungu aliumbwa na nani?
Huyo Mungu kabla ya kuumba mbingu na ulimwengu alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kulitoka wapi?
Na kuliumbwa na nani?
wewe ulijuaje hakuna mungu?
Hujagundua lolote bali umeingia chaka. Kuna mfano mmoja uliwahi kutolewa kuhusu Daktari aliyekuwa anafanya tathmini ya wagonjwa wa akili. Basi akachora mlango ubaoni akawaambia wagonjwa wake wakapite hapo mlangoni (Akiwa anapima progress yao baada ya kupatiwa dawa). Mmoja hakwenda na daktari akadhani pengine huyo kaanza kupona. Akamwuliza mbona wewe hukwenda kugombea kupita mlango uliochorwa ubaoni? Akajibu hao hawawezi kupita hapo maana mimi ndiye mwenye ufunguo. Basi kwa hoja yako hii nakufananisha na huyo kichaa.Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.
kaka unatumia nguvu kubwa sana kusoma script za maigizo ya watu.Kwa kuanzia, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (Allah, Jehovah etc).
Nimeanzia kujua hayupo kwa kutumia proof by contradiction ya Epicurean paradox na the problem of evil.
Hususan kama ilivyoandikwa katika "Philosophy of Religion : An Anthology".
Part IV, The Problem of Evil, page 276.
Attached.
Kama unaota na kama unaona tunavyo chati hapa ni ndoto(njozi), Basi wahi kituo cha afya haraka sana kwa matibabu.
You have hallucinations, You need mental rehabilitation therap
Umeshindwa kuthibitisha Kwamba unaishi na Sisi jinsi tunavyo iangalia DNA ya viumbe ilivyo na tunasikia watu Kama wewe mnasema eti hiyo DNA ilijitengeneza yenyewe tunaona kabisa kuwa mnahitaji mental treatment Kwa kuwa ni kichaa pekee atakaye amini DNA ilitoka kwenye nothing.Kama unaota na kama unaona tunavyo chati hapa ni ndoto(njozi), Basi wahi kituo cha afya haraka sana kwa matibabu.
You have hallucinations, You need mental rehabilitation therapy.
Infropreneur 14:7Quran 112:1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
112:2 - Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
112:3 - Hakuzaa wala hakuzaliwa.
112:4 - wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
Hizi aya nimekuwekea kukuonyesha vile logic ilivyo kifalsafa.Hizi Aya nimekuwekea Ili kukuonyesha kile ambacho Mimi nakiamini kuhusu uwepo wa Mungu kiimani
Hukatazwi kuwa na imani yako, unaweza kuamini hata mawe, milima mapango, majabali n.kWala sijakuambia au kukulazimisha na wewe uamini kama Mimi
Sihitaji kuamini.Ila Mimi nataka wewe uthibishe kile ambacho unakiamini Kwa sababu wewe unasema hauwezi kuamini kitu ambacho hauwezi kukithibisha Kwa akili zako
Mimi siamini kwenye kuamini.Sasa Cha ajabu na wewe tena unaamini kitu ambacho hauwezi kukithibisha Kwa kutumia akili yako
Mimi siamini kwenye kuamini.Na kama Kila unachokiamini unaweza kukithibisha Kwa akili zako haya thibisha Sasa hi kauli yako
Hakuna wakati wowote ule ambapo Jua ☀️ halikuwepo, kisha likawepo.1) Jua halijazuka
2) Jua limekuwepo milele
3) Jua litaendelea kuwepo milele
Akili ni dhana ya kufikirika isiyo katika umbo la kuonekana au kushikika.Na mwisho thibitisha kama wewe unazo akili Kwa kuzipiga picha hizo akili zako uweke picha yake hapa tuzione Ili tujue akili zako zinafananaje
Hata Biblia na Quran ni script za kutungwa na watu tu.kaka unatumia nguvu kubwa sana kusoma script za maigizo ya watu.
nimeziita script kwasabb ni mambo ya kutungwa tu
Kwa hiyo mimi nimekufa?Umeshindwa kuthibitisha Kwamba unaishi
Pia ni kichaa pekee ndio ataamini Mungu alitokea from Nothing.na Sisi jinsi tunavyo iangalia DNA ya viumbe ilivyo na tunasikia watu Kama wewe mnasema eti hiyo DNA ilijitengeneza yenyewe tunaona kabisa kuwa mnahitaji mental treatment Kwa kuwa ni kichaa pekee atakaye amini DNA ilitoka kwenye nothing.
InshaAllah usipo badilika utalipwa kwa kiburi chako.Hata Biblia na Quran ni script za kutungwa na watu tu.
Viumbe wote pamoja na ndege wote watagao mayai, Wamekuwepo milele.Jibu kwanza swali la yai kujitaga ama kutagwa then uulize hilo swali la aliko tokea Mungu...
Unataka twende hatua kwa hatua, Wakati tayari umesharuka hatua na kukwepa swali la muumbaji wa huyo Mungu ni nani?Majibu kuhusu alikotokea Mungu utapewa na wadau hapa....
Haya twende hatua kwa hatua....
Hakuna yai lililoleta ndege wa kwanza.Yai lililo leta ndege wa kwanza kabisa lilitoka wapi?
Hivi ni vitisho uchwara mlivyo pumbazwa na hizo hekaya zenu uchwara Biblia na Quran.InshaAllah usipo badilika utalipwa kwa kiburi chako.
Stress...Atheism inakuwa kwa kasi sana nchini, why?
I second you.Funny thing is:
No one can prove God exists.
And
No one can be prove he doesn't.
My take is : I don't know if he does or doesn't.
Hakuna wakati wowote ule ambapo Jua ☀️ halikuwepo, kisha likawepo.
Jua limekuwepo milele yote na wakati wote litaendelea kuwepo.