Hujathibitisha kuwa ni mambo ya kutungwa tu.kaka unatumia nguvu kubwa sana kusoma script za maigizo ya watu.
nimeziita script kwasabb ni mambo ya kutungwa tu
Mbingu haipo.Tunasema hivi;
AMINI MUNGU YUPO, HATA UKIFANIKIWA KWENDA MBINGUNI NA UKAMKUTA ISIKUGHARIMU, KULIKO KUAMINI HAYUPO ALAFU UKAMUONA NDIYE HUYU HAPA!.
Nikuthibitishie kupitia nini?Haya uliyoyasema hapo ndio nataka uyathibishe
Logic.Nani aliyekuambia kuwa jua lilikuwepo milele na litaendelea kuwepo milele?
Unataka uthibitisho wa kitu gani?Kwani useme na kuamini vitu ambavyo hauwezi kukithibisha?
Kila kitu kilichopo except man-made things ni uthibitisho tosha kwamba kilikuwepo.Au na wewe upo katika kundi la viumbe ambavyo Kuna vitu hawawezi kukithibisha?
Ahsante ndugu akiuonja Rose Muhando inatosha.Kizuri kula na mwenzako. Karibu uonje uone jinsi Yesu alivyo mwema.
Inawezekana nachat na AI, wewe unaweza kuthibitisha vipi kama Mimi sasa hivi ninaishi? Una uhakka gani kama huoti? Niambie umejuaje kama Mimi ni mtu Niko hai na siyo AIKwa hiyo mimi nimekufa?
Kama siishi nafanyaje?
Hebu eleza hapa.
Pia ni kichaa pekee ndio ataamini Mungu alitokea from Nothing.
Basi umekufa.Inawezekana nachat na AI, wewe unaweza kuthibitisha vipi kama Mimi sasa hivi ninaishi? Una uhakka gani kama huoti? Niambie umejuaje kama Mimi ni mtu Niko hai na siyo AI
Theists ndio mnasumbuka sana.Atheists wanasumbuka Sana.
Hawana utulivu wa nafsi, muda wote wanapeleleza kuona kwamba kwenye dini Kuna Jambo la miujiza wa wazi unaoweza kurudisha imani zao zilizopotezwa lkn wanakuta hakuna. Wala hawachoki kupeleleza na wataendelea hivyo maisha yao yote. Poleni bandugu!
Mungu ndiye kaumba viumbe vyote ukiwemo na wewe...Viumbe wote pamoja na ndege wote watagao mayai, Wamekuwepo milele.
Ni wewe tu unafosi na kulazimisha iwe hivyo. Lakini Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.Mungu ndiye kaumba viumbe vyote ukiwemo na wewe...
Mpe heshima yake aliyekuumba
Kwa haya majibu yako tayari umeshajijua kuwa wewe ni kirazaNikuthibitishie kupitia nini?
Kwani wewe jua hulijui?
Kwani wewe hujawahi kuliona jua?
Sasa unataka uthibitisho gani kwamba jua lipo?
Kama jua lipo si kwamba lilikuwepo ndio maana umeweza kulikuta lipo?
Kama jua lisingekuwepo, ungelikuta lipo?
Si ungekuta halipo?
Jua lilikuwepo ndio maana umelikuta lipo.
Sasa unataka nini zaidi?
Logic.
Unataka uthibitisho wa kitu gani?
Jua tayari lipo.
Sasa unataka nini zaidi?
Kila kitu kilichopo except man-made things ni uthibitisho tosha kwamba kilikuwepo.
Kama kisingekuwepo, Usingeweza kukuta kipo.
Hakuna utata zaidi yakukusikitikia ulivyo mbali na ukweli. Mungu anawapenda japo mnamtoa kasoro kibao mkitamani angefanya mnavyopenda. Hata hivyo kimoyomoyo mnakubali kazi na kutaka aonekane ili mumpe maua yake.Theists ndio mnasumbuka sana.
Kila mara mnakazana sana kuelezea habari za huyo Mungu, mara Allah, mara Yesu n.k
Kila mara nyuzi za mabishano kuhusu Allah, Yesu, Mudi, Biblia na Quran haziishii hapa JF.
Kwa hiyo ninyi waamini Mungu (Theists) ndio hamtulii. Mnapata utata kila mara na hizo imani zenu.
Ndio maana mnakuwa na mabishano yasioisha.
Kama hicho kisimu chako cha kichina ki creator mtu aliye kiunda kina systems kadhaa ambazo ni simple systems kama chaji,sauti na mifumo mingine vipi kuhusu wewe usiwe na creator ambaye ni zaidi ya genius ambaye katengeneza jinsi ulivo bora na unamifumo ming na very complicated na akakupa na mifumo had ya ufahamu ila umeamua kuwa kilaza inasikitisha sana🥹Ni wewe tu unafosi na kulazimisha iwe hivyo. Lakini Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
Hata wewe hukuumbwa na huyo Mungu, Umezaliwa kutoka kwa wazazi wako.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
How can you apply something you don't believe? It's called blind faith. So ukubali wewe ni mtumwa wa kufuata kitu usicho kijua.It's biblical teachings that I apply in my daily life activities
Si ndo hayo ya kwenye bible ambayo ni religious dogma?Namfahamu kwa mambo mengi
Kila mtu ashinde mechi zake 😁😁Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.