Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Amka usije ukajikojolea
 
Kwa hiyo huyo Mungu analipiza kisasi kwa kuleta moto?

Huyo Mungu ni mjinga sana.

Kama anajijua ana uwezo mkubwa kuliko kiumbe chochote kile hapa duniani, Kwa nini anahangaika kutafuta kiki za kuaminiwa na viumbe alio waumba yeye mwenyewe?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?
 
 
Fanya hiyo test hapa sio blah blah
Je,we unahitaji kuushuhudia uchawi.

Km jibu lako ndio,andika hili neno TIRASITIRAROM kwenye paji la usowako kwa kutumia vumbi la mkaa.

Niishie hapo,naomba jibu kwanza ili nikupe hatua inayofuata!
 
Je,we unahitaji kuushuhudia uchawi.

Km jibu lako ndio,andika hili neno TIRASITIRAROM kwenye paji la usowako kwa kutumia vumbi la mkaa.

Niishie hapo,naomba jibu kwanza ili nikupe hatua inayofuata!
Nimeshaandika leta hatua inayofuata
 
ZABURI 14:1
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Atheist 12:7
Mpumbavu amesema moyoni, Kuna Mungu; Maana anaamini vitu vya kusadikika na kufikirika bila uthibitisho wowote ule, Amepumbazwa hakuna akiwazacho kwa kufikiri kwa kina.
MITHALI 27:22
Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
Atheist 24:6
Hata ukimwelewesha mfia dini kwa facts, evidences, logic na reasoning hawezi kukuelewa maana amepumbazwa kuamini jambo bila kuhoji kwa kina.
 
Kwa kweli inashangaza ila ndio hivyo
 
Mithali 1:22

"Enyi Wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa? "

Hosea 4:6

'Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako."

Zaburi 52: 3 -5

" Umependa mabaya kuliko mema, Na uongo kuliko kusema Kweli. "
"Umependa maneno yote ya kupoteza watu, Ewe ulimi wenye hila. "

" Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung'oa katika nchi ya walio hai "
 
Acha ujinga
 
Kwa nini unalazimisha awepo aliyeumba viumbe, ardhi na binadamu?

Mbona hujiulizi na huyo aliyeumba ardhi, viumbe na binadamu, Na yeye aliumbwa na nani?

Au unataka kutetea imani zako uchwara ulizo pumbazwa na kuaminishwa?
Acha nipumbazwe,hivi wewe kutoamini uwepo wa mungu kunakusaidiaje,zipi faida wapata!!?,,na mi unadhani hasara gani napata kwa kuamini uwepo wa mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…