implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Hata firauni alitamka maneno kama yako na kujiita ye mungu,,mungu mwenyewe alimuangamiza kwa kufuru zake hizo,unajua hilo,,??,na sasa kiwiliwili chake kilishindikana kuzikwa,kwa uweza wa mungu,nenda kashuhudie pale misri,Hizi ni stori uchwara zisizo na uthibitisho wowote ule.
Mnatunga vistori uchwara kutetea uwepo wa Mungu ambaye hayupo kujitetea mwenyewe.
Huyo Mungu kama yupo, Ajitokeze hadharani yeye mwenyewe ajidhihirishe yupo, Kama ana huo uwezo.
Mnahangaika sana kumwelezea na kumtetea huyo Mungu aonekane yupo kumbe hayupo.
Huyo Mungu kama yupo, Anacho jifichia huko alipo ni nini?
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him kinda proves his non-existence.