Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Ww endelea umeona wa califonia bado ww
 
That's why he uses human like us kukwaambia kuwa he exists ....He can't reveal himself but he uses bishops... pastors ili ujue Kuwa yupo sababu yy ni roho
Kama huyo Mungu "He can't reveal himself" Basi yeye sio muweza wa vyote (omnipotent).

Huyo Mungu kama hawezi kujidhihirisha mwenyewe, Basi ni Mungu Mchovu, Goigoi na Mdhaifu sana.
 
Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Kumbuka kutubu maana litakukuta jambo lililo baya zaidi!
 
Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Ww endelea umeona wa califonia bado ww
Atheists 24:7 Mpumbavu mfia dini amesema moyoni, Kuna Mungu; Wanaamini vitu bila uthibitisho na kutetea imani zao uchwara. Hakuna afikiriaye kwa utimamu.
 
Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Kumbuka kutubu maana litakukuta jambo lililo baya zaidi!
Atheists 15:8, Amkeni enyi mliopumbazwa na imani uchwara. Fungueni bongo zenu na msiaminishwe na kupumbazwa vitu bila kuhoji.
 
Acha kupotosha watu, kwahiyo wewe umejiumba mwenyewe?, Hebu tuambie basi nani kaweka sukari kwa ndizi, embe, nanasi, chungwa n.k
 
Acha kupotosha watu, kwahiyo wewe umejiumba mwenyewe?, Hebu tuambie basi nani kaweka sukari kwa ndizi, embe, nanasi, chungwa n.k
Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa?

Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Kwa nini hujiulizi na huyo Mungu aliumbwa na nani?

Kwa nini unalazimisha tu, na unataka kufosi kwamba sisi tumeumbwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Huyo Mungu aliumbwa na nani?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa, Huyo Mungu aliwekwa na nani pia?
 
Ni vema kuamini afu usikute kuliko kutokuamini afu ukute
Huyo Mungu, Kwa nini aliumba binadamu wenye uwezo wa kutokumwamini?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mwamini yupo siku zote na wakati wote?

Kwa nini uhitaji kuamini Mungu yupo, Badala ya kujua Mungu yupo kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho?

Huyo Mungu kama anataka ajulikane yupo, Anacho jifichia huko alipo ni nini?

Si ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, Tupate kumjua yupo kwa uhakika kabisa pasipo utata na utofauti wa kiimani?
 
Sasa bila uwepo wa Mungu ungekuwa na uhai?
Ndio ningekuwa na uhai.

Hakuna Mungu anayetoa uhai.

Uhai nimeupata kwa kuzaliwa kutoka kwa wazazi wangu.

Hakuna Mungu anayetoa uhai.

Ndio maana hata nyie waamini Mungu mkiumwa na kukaribia kufa.
Hata mkimlilia, kusali na kumwomba huyo Mungu awape uhai muendelee kuishi, Nothing happens.

Bado tu mnakufa.

Kwa sababu kuzaliwa na kufa ni asili. Lazima kila mwanadamu apitie.
Me nakupa main points
 
Hii debate sio yakuisha Leo
Ata nikijibu maswali yako yote Bado utaendelea kuuliza ..
Only ask if you ready to turn back to GOD
 
Back
Top Bottom