luckievans
Member
- Aug 30, 2024
- 9
- 11
Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Ww endelea umeona wa califonia bado ww
Ww endelea umeona wa califonia bado ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huyo Mungu "He can't reveal himself" Basi yeye sio muweza wa vyote (omnipotent).That's why he uses human like us kukwaambia kuwa he exists ....He can't reveal himself but he uses bishops... pastors ili ujue Kuwa yupo sababu yy ni roho
Atheists 24:7 Mpumbavu mfia dini amesema moyoni, Kuna Mungu; Wanaamini vitu bila uthibitisho na kutetea imani zao uchwara. Hakuna afikiriaye kwa utimamu.Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Ww endelea umeona wa califonia bado ww
I can't judgeKama huyo Mungu "He can't reveal himself" Basi yeye sio muweza wa vyote (omnipotent).
Huyo Mungu kama huwezi kujidhihirisha mwenyewe, Basi ni Mungu Mchovu, Goigoi na Mdhaifu sana.
Atheists 15:8, Amkeni enyi mliopumbazwa na imani uchwara. Fungueni bongo zenu na msiaminishwe na kupumbazwa vitu bila kuhoji.Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Kumbuka kutubu maana litakukuta jambo lililo baya zaidi!
If you can't judge, Why are you struggling to defend that God?I can't judge
Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa?Acha kupotosha watu, kwahiyo wewe umejiumba mwenyewe?, Hebu tuambie basi nani kaweka sukari kwa ndizi, embe, nanasi, chungwa n.k
Huyo Mungu, Kwa nini aliumba binadamu wenye uwezo wa kutokumwamini?Ni vema kuamini afu usikute kuliko kutokuamini afu ukute
Ndio ningekuwa na uhai.Sasa bila uwepo wa Mungu ungekuwa na uhai?
Me nakupa main points
Only God can judgeIf you can't judge, Why are you struggling to defend that God?
Hii debate sio yakuisha LeoNdio ningekuwa na uhai.
Hakuna Mungu anayetoa uhai.
Uhai nimeupata kwa kuzaliwa kutoka kwa wazazi wangu.
Hakuna Mungu anayetoa uhai.
Ndio maana hata nyie waamini Mungu mkiumwa na kukaribia kufa.
Hata mkimlilia, kusali na kumwomba huyo Mungu awape uhai muendelee kuishi, Nothing happens.
Bado tu mnakufa.
Kwa sababu kuzaliwa na kufa ni asili. Lazima kila mwanadamu apitie.
God doesn't exist.Only God can judge
GOD doesn't exist.Hii debate sio yakuisha Leo
Ata nikijibu maswali yako yote Bado utaendelea kuuliza ..
Only ask if you ready to turn back to GOD
He existGod doesn't exist.
I say He existGOD doesn't exist.
Then prove his existence as he himself.He exist