Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Kumbuka taifa la Israel lilikuwa si kitu baba Yao Yakobo alikuwa mtoto wa mama na nduguye Esau alikuwa mchakalikaji kama usemavyo Ila kwa kumtegemea Mungu alimpita kaka yake na Leo hakuna taifa kama Israel
Ona sasa, Mimi nazungumzia maisha wewe unaleta story za kwenye Biblia.
Ushaathirika hakuna kitu utaelewa maana unareference moja tena inayokujenga katika kuamini badala ya kujua.
 
Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa?

Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Kwa nini hujiulizi na huyo Mungu aliumbwa na nani?

Kwa nini unalazimisha tu, na unataka kufosi kwamba sisi tumeumbwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Huyo Mungu aliumbwa na nani?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa, Huyo Mungu aliwekwa na nani pia?
Jibu kwanza swali langu na mimi nitakujibu
 
Hakuna aliyetuumba.

Hakuna aliyeweka sukari kwenye nanasi, ndizi na embe. Matunda yana sukari yake ya asili.

Binadamu Hawaumbwi na wala hatujaumbwa.

Binadamu tunazaliwa kwa kuzaliana.

Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
 
Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Ww endelea umeona wa califonia bado ww

Attachments

  • Religion & There Is No God .mp4
    13.5 MB
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.
Jaribu kuchunguza complexity ya viumbe hai. Kwa binaadamu, zaidi ya misuli 600 ambayo inakuwezesha kutembea, kugeuka au hata kukimbia kila unapokutana na mazingira hatari. Fahamu yanayoendelea akilini mwa binaadamu yanayoweza kumpa binaadamu huyu fahamu. Kama vile kuona, kusikia au kugusa kitu. Mtoto anayekua tumboni mwa mama yake mpaka kufikia hatua ya kuzaliwa akiwa na viungo vyote na kukua mpaka kufikia hatua ambayo anaanza kujifunza kuongea. Hayo niliyoyajadili yanahusu binaadamu tu. Utagundua kwamba viumbe hai vyote vina characteristics tofauti tofauti zinazo wafanya kuwa unique. Tofauti na muundo wa miili ya viumbe hai, utagundua kwamba wanadamu wote wapo unique kwenye personalities zao. Yaani hata kwenye dunia yenye mabilioni ya watu, kila mtu yuko tofauti. Angalia pia mabadiliko ya hali ya hewa. Kwenye nchi zenye seasons, ikifika tu mwezi wa kumi na mbili, theluji huanza kuanguka kutoka angani. Hata hapa Tanzania, kuna vipindi vya mvua ambavyo havija badilika kwa zaidi ya miaka 30. Wanasayansi ambao ni wagumu kuamini kwamba Mungu yupo wamefanya tafiti Sana kuhusu evolution. Yaani kuna characteristics za binaadamu ambazo huendelea kubaki kwasababu zina wawezesha watu kusurvive (natural selection). Sidhani kama maelezo hayo yana jitosheleza kuelezea maajabu yaliyopo duniani. Kwangu mimi, sihitaji kumuona Mungu ila maajabu yaliyopo duniani yanatosha kunifanya nidumu kwenye imani yangu. Kama ni kuwa mkristo au muislam basi dini zote hizi zina hitilafu kubwa mno. Ila kama unahitaji sababu ya kuwepo kwa supreme being basi hili haliwezi kuwa gumu. Katika Imani yangu, nina kubali pia kwamba Mungu ametupa free will inayoweza kutufanya tuwe in control of our own destiny.
 
Ona sasa, Mimi nazungumzia maisha wewe unaleta story za kwenye Biblia.
Ushaathirika hakuna kitu utaelewa maana unareference moja tena inayokujenga katika kuamini badala ya kujua.
hopelesssinner maana yake ni mtenda dhambi aliyepoteza tumaini

Kwanini ujiite mtenda dhambi? Dhambi ni nini na hatma yake ni ipi?
 
Infact umekosea.

Huwezi kuthibitisha kitu hakipo ambacho umeshakitaja Tayari.

Kwasababu umetaja "Mungu na Shetani".
 
Kama Mungu hayupo Kwa nini usijinyonge? Kuna haja gani ya kuishi miaka 80 wakati mwisho ni kufa tu kama ulvyo Sema? Kwa nini usife sasa hivi?
Mi nadhani anayeamini Mungu yupo ndo anapaswa kujinyonga ili aachane na taabu za hii Dunia awahi kwa Baba yake.
 
Naona watu wanachanganya mambo, kuna Dini na kuna Mungu. Binafsi naamini Mungu yupo ila hizi dini ndo nna mashaka nazo, nahisi ni miradi ya watu na imefanikiwa sana huku Afrika na Asia.
Mtu mweusi jiulize: kabla ya ujio wa hizi dini mababu zako walikuwa wanaabudu nini? Walikuwa na dhambi au laana kwa kutozijua na kuzifata dini zenu? Mmepokea mafundisho mkajibinafshia na sasa mnajifanya ku,ijua hizo dini zaidi ya waliowaletea!!!! Mtu mweusi ni mzigo wa Dunia.
 
Ukiangalia historia ya dini utagundua kwamba katika nyakati tofauti tofauti, binaadamu ameabudu Miungu mingi sana. Ila dini zilizodumu sana ni ukristo na uislam. Kujua aliyesahihi na sababu ya dini hizi kudumu ni ngumu sana. Archeological evidence ya mambo mengi kwenye Biblia pia haipo
 
Jaribu kuchunguza complexity ya viumbe hai. Kwa binaadamu, zaidi ya misuli 600 ambayo inakuwezesha kutembea, kugeuka au hata kukimbia kila unapokutana na mazingira hatari. Fahamu yanayoendelea akilini mwa binaadamu yanayoweza kumpa binaadamu huyu fahamu. Kama vile kuona, kusikia au kugusa kitu. Mtoto anayekua tumboni mwa mama yake mpaka kufikia hatua ya kuzaliwa akiwa na viungo vyote na kukua mpaka kufikia hatua ambayo anaanza kujifunza kuongea. Hayo niliyoyajadili yanahusu binaadamu tu. Utagundua kwamba viumbe hai vyote vina characteristics tofauti tofauti zinazo wafanya kuwa unique. Tofauti na muundo wa miili ya viumbe hai, utagundua kwamba wanadamu wote wapo unique kwenye personalities zao. Yaani hata kwenye dunia yenye mabilioni ya watu, kila mtu yuko tofauti. Angalia pia mabadiliko ya hali ya hewa. Kwenye nchi zenye seasons, ikifika tu mwezi wa kumi na mbili, theluji huanza kuanguka kutoka angani. Hata hapa Tanzania, kuna vipindi vya mvua ambavyo havija badilika kwa zaidi ya miaka 30. Wanasayansi ambao ni wagumu kuamini kwamba Mungu yupo wamefanya tafiti Sana kuhusu evolution. Yaani kuna characteristics za binaadamu ambazo huendelea kubaki kwasababu zina wawezesha watu kusurvive (natural selection). Sidhani kama maelezo hayo yana jitosheleza kuelezea maajabu yaliyopo duniani. Kwangu mimi, sihitaji kumuona Mungu ila maajabu yaliyopo duniani yanatosha kunifanya nidumu kwenye imani yangu. Kama ni kuwa mkristo au muislam basi dini zote hizi zina hitilafu kubwa mno. Ila kama unahitaji sababu ya kuwepo kwa supreme being basi hili haliwezi kuwa gumu. Katika Imani yangu, nina kubali pia kwamba Mungu ametupa free will inayoweza kutufanya tuwe in control of our own destiny.
Kama kila kilicho complex na chenye maajabu kina supreme being, Hata huyo supreme being ni wa ajabu vilevile na ni complex.

Hivyo na yeye huyo
"supreme being" atahitaji awe na supreme being wake mwingine.

Na kama si lazima kila kilicho complex na chenye maajabu kina supreme being, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na supreme being.
 
Kama Mungu hayupo,ni baba yako ndiyo aliweka chumvi kwenye maji ya ziwa la chumvi Hanang?
 
Mungu yupo na shetani yupo,siku zaja ambazo kila ulimi utakili kwamba,Hakika hukumu zako na Sheria zako ni za Haki Eeh Mwenyezi Mungu!
Kwanini Mungu hamuui Shetani ?

Kama Shetani ndio chanzo cha uovu kwanini huyo Mungu anakuja kumuadhibu binadamu Kwa kuwa muovu wakati chanzo ni Shetani ambae aliumbwa na Mungu pia?

Huyo Mungu ana akili kweli ?
 
Kama Mungu hayupo,ni baba yako ndiyo aliweka chumvi kwenye maji ya ziwa la chumvi Hanang?
Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa, Huyo Mungu aliwekwa na nani?
 
Religion is the most successful colonial rule in Africa whether there's god or not
 
Back
Top Bottom