Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
You just say without proofs and evidences.I say He exist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You just say without proofs and evidences.I say He exist
Ona sasa, Mimi nazungumzia maisha wewe unaleta story za kwenye Biblia.Kumbuka taifa la Israel lilikuwa si kitu baba Yao Yakobo alikuwa mtoto wa mama na nduguye Esau alikuwa mchakalikaji kama usemavyo Ila kwa kumtegemea Mungu alimpita kaka yake na Leo hakuna taifa kama Israel
Jibu kwanza swali langu na mimi nitakujibuKwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa?
Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Kwa nini hujiulizi na huyo Mungu aliumbwa na nani?
Kwa nini unalazimisha tu, na unataka kufosi kwamba sisi tumeumbwa?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Huyo Mungu aliumbwa na nani?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa, Huyo Mungu aliwekwa na nani pia?
Asante ndugu mwerevuIla nyie watu ni wajinga sana. Wild fires zimekuwa zikitokea kila mahali duniani. Nyinyi mnalishwa matango pori mnabugia tu bila ku reason
Hakuna aliyetuumba.Jibu kwanza swali langu na mimi nitakujibu
Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Ww endelea umeona wa califonia bado ww
Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Ww endelea umeona wa califonia bado ww
Jaribu kuchunguza complexity ya viumbe hai. Kwa binaadamu, zaidi ya misuli 600 ambayo inakuwezesha kutembea, kugeuka au hata kukimbia kila unapokutana na mazingira hatari. Fahamu yanayoendelea akilini mwa binaadamu yanayoweza kumpa binaadamu huyu fahamu. Kama vile kuona, kusikia au kugusa kitu. Mtoto anayekua tumboni mwa mama yake mpaka kufikia hatua ya kuzaliwa akiwa na viungo vyote na kukua mpaka kufikia hatua ambayo anaanza kujifunza kuongea. Hayo niliyoyajadili yanahusu binaadamu tu. Utagundua kwamba viumbe hai vyote vina characteristics tofauti tofauti zinazo wafanya kuwa unique. Tofauti na muundo wa miili ya viumbe hai, utagundua kwamba wanadamu wote wapo unique kwenye personalities zao. Yaani hata kwenye dunia yenye mabilioni ya watu, kila mtu yuko tofauti. Angalia pia mabadiliko ya hali ya hewa. Kwenye nchi zenye seasons, ikifika tu mwezi wa kumi na mbili, theluji huanza kuanguka kutoka angani. Hata hapa Tanzania, kuna vipindi vya mvua ambavyo havija badilika kwa zaidi ya miaka 30. Wanasayansi ambao ni wagumu kuamini kwamba Mungu yupo wamefanya tafiti Sana kuhusu evolution. Yaani kuna characteristics za binaadamu ambazo huendelea kubaki kwasababu zina wawezesha watu kusurvive (natural selection). Sidhani kama maelezo hayo yana jitosheleza kuelezea maajabu yaliyopo duniani. Kwangu mimi, sihitaji kumuona Mungu ila maajabu yaliyopo duniani yanatosha kunifanya nidumu kwenye imani yangu. Kama ni kuwa mkristo au muislam basi dini zote hizi zina hitilafu kubwa mno. Ila kama unahitaji sababu ya kuwepo kwa supreme being basi hili haliwezi kuwa gumu. Katika Imani yangu, nina kubali pia kwamba Mungu ametupa free will inayoweza kutufanya tuwe in control of our own destiny.Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.
hopelesssinner maana yake ni mtenda dhambi aliyepoteza tumainiOna sasa, Mimi nazungumzia maisha wewe unaleta story za kwenye Biblia.
Ushaathirika hakuna kitu utaelewa maana unareference moja tena inayokujenga katika kuamini badala ya kujua.
Mi nadhani anayeamini Mungu yupo ndo anapaswa kujinyonga ili aachane na taabu za hii Dunia awahi kwa Baba yake.Kama Mungu hayupo Kwa nini usijinyonge? Kuna haja gani ya kuishi miaka 80 wakati mwisho ni kufa tu kama ulvyo Sema? Kwa nini usife sasa hivi?
Sawa, shikilia msimamo wako. Unachotafuta utakipata.
think moreNgoja wasabatho watoke kanisani wakushambulie
Ukiangalia historia ya dini utagundua kwamba katika nyakati tofauti tofauti, binaadamu ameabudu Miungu mingi sana. Ila dini zilizodumu sana ni ukristo na uislam. Kujua aliyesahihi na sababu ya dini hizi kudumu ni ngumu sana. Archeological evidence ya mambo mengi kwenye Biblia pia haipoNaona watu wanachanganya mambo, kuna Dini na kuna Mungu. Binafsi naamini Mungu yupo ila hizi dini ndo nna mashaka nazo, nahisi ni miradi ya watu na imefanikiwa sana huku Afrika na Asia.
Mtu mweusi jiulize: kabla ya ujio wa hizi dini mababu zako walikuwa wanaabudu nini? Walikuwa na dhambi au laana kwa kutozijua na kuzifata dini zenu? Mmepokea mafundisho mkajibinafshia na sasa mnajifanya ku,ijua hizo dini zaidi ya waliowaletea!!!! Mtu mweusi ni mzigo wa Dunia.
Sawa mkuuThen prove his existence as he himself.
Don't use things which are already in existence to say that, They were created by God.
First prove the existence of that God
Kama kila kilicho complex na chenye maajabu kina supreme being, Hata huyo supreme being ni wa ajabu vilevile na ni complex.Jaribu kuchunguza complexity ya viumbe hai. Kwa binaadamu, zaidi ya misuli 600 ambayo inakuwezesha kutembea, kugeuka au hata kukimbia kila unapokutana na mazingira hatari. Fahamu yanayoendelea akilini mwa binaadamu yanayoweza kumpa binaadamu huyu fahamu. Kama vile kuona, kusikia au kugusa kitu. Mtoto anayekua tumboni mwa mama yake mpaka kufikia hatua ya kuzaliwa akiwa na viungo vyote na kukua mpaka kufikia hatua ambayo anaanza kujifunza kuongea. Hayo niliyoyajadili yanahusu binaadamu tu. Utagundua kwamba viumbe hai vyote vina characteristics tofauti tofauti zinazo wafanya kuwa unique. Tofauti na muundo wa miili ya viumbe hai, utagundua kwamba wanadamu wote wapo unique kwenye personalities zao. Yaani hata kwenye dunia yenye mabilioni ya watu, kila mtu yuko tofauti. Angalia pia mabadiliko ya hali ya hewa. Kwenye nchi zenye seasons, ikifika tu mwezi wa kumi na mbili, theluji huanza kuanguka kutoka angani. Hata hapa Tanzania, kuna vipindi vya mvua ambavyo havija badilika kwa zaidi ya miaka 30. Wanasayansi ambao ni wagumu kuamini kwamba Mungu yupo wamefanya tafiti Sana kuhusu evolution. Yaani kuna characteristics za binaadamu ambazo huendelea kubaki kwasababu zina wawezesha watu kusurvive (natural selection). Sidhani kama maelezo hayo yana jitosheleza kuelezea maajabu yaliyopo duniani. Kwangu mimi, sihitaji kumuona Mungu ila maajabu yaliyopo duniani yanatosha kunifanya nidumu kwenye imani yangu. Kama ni kuwa mkristo au muislam basi dini zote hizi zina hitilafu kubwa mno. Ila kama unahitaji sababu ya kuwepo kwa supreme being basi hili haliwezi kuwa gumu. Katika Imani yangu, nina kubali pia kwamba Mungu ametupa free will inayoweza kutufanya tuwe in control of our own destiny.
Kwanini Mungu muweza wa yote asizuieCampaign za freemason kutayarisha ujio wa 666
Kwanini Mungu hamuui Shetani ?Mungu yupo na shetani yupo,siku zaja ambazo kila ulimi utakili kwamba,Hakika hukumu zako na Sheria zako ni za Haki Eeh Mwenyezi Mungu!
Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa?Kama Mungu hayupo,ni baba yako ndiyo aliweka chumvi kwenye maji ya ziwa la chumvi Hanang?