Rasmi Putin aonesha sample za noti mpya za BRICS. Je, huu ndio mwisho wa US Dollar?

Hata kuishusha thamani US Dollar ni muhimu sana mkuu.Marekani wameionea sana dunia kwa kutumia dola yao,hiyo haikubaliki kabisa.

WHAT DO OTHER BRICS LEADERS THINK?​

South African officials had said a BRICS currency was not on the agenda for the summit.

In July, India's foreign minister said, "there is no idea of a BRICS currency". Its foreign secretary said before departing for the summit that boosting trade in national currencies would be discussed.

 
Bora wewe naelewa point yako lkn wengi humu wanachangia hoja wakiwa na ushabiki wa upande wanao upendelea na sio uhalisia.
 


Mjinga mjinga China ananunua bond za Marekani kila siku. Huu usanii tu!!
 
Shida miongoni mwao kuna wanafiki, USA akianza crackdown watakaa pembeni na kumuacha Russia peke yake.
Huu muunganiko haujaingiwa kienyeji Russia ana akili sana. Wale founding members wote wanavVETO powers na wamesaini agreement ambayo Kila mmoja lazima aitekeleze ndio maana umeona uturuki amepingwa na India kujoin kwa sababu kwanza Bado yupo NATO na ana ushirika na Pakistan. Kwahiyo huu muungano utashape nchi wanachama na hilo ndio anguko la upande wa pili
 
Umeongea vizuri sana.
Lakini huyo uliemjibu Yuko upande wako.
Yaani mnaongea lugha moja ila hamjaelewana.
 
Sasa ni kwa nini upost thread ya habari ya uongo?
 
Niuwie radhi
 
Dunia
Dola itaanguka, brics currency itaanguka, na sarafu zingine zoooote zitaanguka very soon kutakuwa na currency moja dunia nzima asikiaye na afahamu
 
Hata kuishusha thamani US Dollar ni muhimu sana mkuu.Marekani wameionea sana dunia kwa kutumia dola yao,hiyo haikubaliki kabisa.
USD itashuka thaman at least kwa nusu au chini ya nusu ni suala la muda tu uchumi wa US unacollapse na USD inaisha kuwa global currency mwakani kipindi kama hiki tutakuwa tunajionea dhahiri hiki nilichoandika.
 
Unajua marekani itabaki kuwa taifa kubwa na hakuna mtu wakuitoa katika ramani ya hii dunia. Nasema hivi nikiwa mtu neutral ila huo ndio ukweli

Dola imeanza kutumika dunia hii lini? Unazani itachukua muda gani kwa hiyo ela ya brics kuja ku dominate dola.

Online shopping zote kubwa kama alibaba na wengineo wanauza bidhaa zao kwa dola wala hawatumii sarafu ya china.

Angalia waasisi wa taifa hili ni kina nani na jaribu kufanya tafiti ya kusoma historia yao.... Hawa watu walikuwa ni vichwa na hawakuibuka kama kina Hitler .
 
Najua.

Biashara kati ya Marekani na Urusi ama Ulaya/EU na Urusi ni biashara zenye thamani ndogo sana kidunia ukilinganisha na biashara kati ya Marekani na China au Marekani na Ulaya.

Urusi sio mshirika mkuu wa kibiashara wa Marekani na Ulaya/EU hivyo medium of exchange haina impact yoyote ya maana yenye kuathiri thamani ya Dollar kwenye international trade. Medium of exchange kati ya Marekani na Urusi ama Ulaya/EU na Urusi inategemeana na mikataba iliyopo au kanuni za kibiashara kati ya pande mbili husika.
 
Ramaphosa na chama chake [ANC] anaongoza serikali ya nusu mkate South Africa. Aliyebishana na Ramaphosa si mimi pekee bali hata washirika wao kwenye serikali ya nusu mkate [DA] wameipinga kauli yake kwa facts.

Urusi haipo hata kwenye top 10 ya washirika wa karibu wa South Africa kibiashara. Ushirika wa Urusi na South Africa unatokana na historia ya itikadi kati ya chama cha ANC na Urusi. Ukija kwenye biashara (trade ties) kati ya Urusi na South Africa hakuna cha maana.
 
Hata kuishusha thamani US Dollar ni muhimu sana mkuu.Marekani wameionea sana dunia kwa kutumia dola yao,hiyo haikubaliki kabisa.
Itakuwa mshindani lakin sio kwa kiwango hicho au kwa haraka hiyo. Maana nakumbuka wakati wa euro inatoka kulikuwa na stor kama hiz pia. Nachojiuliza pia hiv kwa upande wa soft payed itakuwaje
 
Itakuwa mshindani lakin sio kwa kiwango hicho au kwa haraka hiyo. Maana nakumbuka wakati wa euro inatoka kulikuwa na stor kama hiz pia. Nachojiuliza pia hiv kwa upande wa soft payed itakuwaje
Mkuu don't mix things.Kwenye Euro hapakua na issue ya replacement of a currency.Now nations are seeking to replace a currency in their transactions,which is still a legal tender in the US.What does this mean,this means that the currency will crumble in terms of value worldwide and even in the US itself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…