GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo ni hiyo 30%; kwa maana ikipatikana tu, Samia na GENGE wanajitangazia ushindi, tena kwa furaha kuu kabisa.
Lakini usisahau pia kwamba hayo masanduku ya kura yatajazwa na kura FEKI!

Kwa hali ilivyo angwa sasa hivi; hata 10% wakijitokeza kuiga kura; masanduku yataonyesha 40 au zaidi waliiga kura na **** ushindi Samia!

Kuzuia ujinga huu, ni lazima zipatikane njia za kuzuia uchaguzi usifanyike kabisa. Njia za kufanya hivyo zipo.
 
Hata wangeshiriki CCM isingewapa jimbo hata moja kwa sheria na kanuni za sasa za uchaguzi ni bora kutoshiriki tu uchaguzi. Hata hao wanaoshiriki upande wa upinzani wanapoteza muda tu.
 
Hoja za kipumbavu mno kutoka kwa wapumbavu wale wale,, CCM ni waopumbavu mno, eti serikali, serikali au kichaka cha wezi?
 

Kwani ulidhani NRNE ilikuwa kutikisa kiberiti?
 
Kwani wewe unaona kuna dalili za uchaguzi?
 
Kuwa sisiem sio lazima uwe mjinga bhana!

Nionyeshe ni wapi Chadema walisema watazuwia ratiba wala kampeni
Napingana nawe ndugu.
Ukiwa CCM, akili zote unaziacha huko nnje ya chama, kwao mwenye akili pekee na anayefikiri badala yao ni mwenyekiti pekee.
 
Ogopa kijana kuwa mchawi, badala mambo ya kusaidia nchi ,unawekeza kwenye uchawi, alafu mseme Afrika itaendelea kweli
 
Ogopa kijana kuwa mchawi, badala mambo ya kusaidia nchi ,unawekeza kwenye uchawi, alafu mseme Afrika itaendelea kweli
 
CCM bana...CHADEMA hawataki kushiriki lkn mnaumiiiiiiaaaaa....hadi hampati usingizi,nini shida?
Wao ndiyo wanaendelea na hiyo No Reforms No Elections, kama hawataki wangefunga midomo yao
 
Haijawa mpaka iwe nduguyangu hivyo usishangilie saaana, kwa vile mbaya wako bado yuko hai usijitape saaana. Wadigo tunasema ‘usinene ukamara’
Imekwisha hiyo, hakuna pimbi anaweza kuzuia uchaguzi uliopo kikatiba. Haya mambo ya NRNE tako mitandani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…