GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tueleze basi hilo Bunge kwa nini lilipangwa kuvunjwa tarehe 03/08/2025?
Kwani tarehe 3/8 ni mbali, subiri utajuwa
 

Attachments

  • tweeload_8f315202.mp4
    7.6 MB
Kuwa sisiem sio lazima uwe mjinga bhana!

Nionyeshe ni wapi Chadema walisema watazuwia ratiba wala kampeni
Msikilize TUNDU LISSU hapa:-
Your browser is not able to display this video.
 
2019
2020
2024
Hizo chaguzi zote hujajifunza kitu??? Basi ubongo wako unatakiwa ufanyiwe Reforms za Surgery.
 
Nawashauri chadema warudi kwenye ulingo wa mapambano kwa kushiriki uchaguzi.wanaweza pata wabunge wengi sana hata 20-50 wanatosha!! Waje niwape Siri !!
Hakuna namna wanaweza kurudi kwa vile walikataa kusaini kanuni za maadili ambazo ni takwa la lazima kwa vyama vinavyoshiriki
 
Jumapili ijayo ndo utajua ma padri wana vipaji vya kuimba taarabu
 
Hiyo 30% umeipataje?
 
Unaweza ukazuia uchaguzi kwenye keyboard tu. Kwa ground wewe huna lolote ni muoga kuliko kunguru
 
Kwani tarehe 3/8 ni mbali, subiri utajuwa
Sasa wewe niambie ukweli wako.
Samia Suluhu Hassan na Genge lake anayofanya sasa na kujiandaa kuinajisi nchi hii hakustahili kufanywa UASI?

UASI unatakiwa ufanyike kwa mambo gani?
 
Uelewa wa kimantiki ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi, hasa tunaojiita wasomi.

Huyo mleta uzi hana tofauti na Msukuma, Taletale na Kibajaji.
Kichwani ni mtupu.
Mleta uzi ni mimi, ni.mesema NRNE imefeli, na uchaguzi ni Oktoba 29, 2025.
Hutaki kalale, sisi tunatiki
 
Hoja za kipumbavu mno kutoka kwa wapumbavu wale wale,, CCM ni waopumbavu mno, eti serikali, serikali au kichaka cha wezi?
Maumivu ya kichwa huanza polepole, kisha huenea mwili mzima. Andaa tramadol 500 mg
 
Unaweza ukazuia uchaguzi kwenye keyboard tu. Kwa ground wewe huna lolote ni muoga kuliko kunguru
Sasa unataka tutoke kwenye majadiliano ya kistaarabu tuanze kuzozana; na mimi huwa nipo tayari sana kwa hilo.

Unavyotaka kujionyesha ulivyo juha; wewe kwenye hiyo keyboard unafanya kitui gani?
Au unadhani kutegemea bunduki za waTanzania ndiyo kinga; hujui bunduki hizo zinaweza kuwaelekea wapumbavu nyinyi wakati wowote?
Bila hizo bunduki, wewe hata sasa ungekuwa unajikojolea kwenye chupi, kwa kujua uovu wenu utakomeshwa karibuni.

Hopeless Kabisa kujadili chochote na machizi kama wewe.
 
Since you have learned to shoot without missing, we will learn to fly without landing! Subiri uone kama hamtatuita kutubembeleza kunusuru nchi
 
Sasa wewe niambie ukweli wako.
Samia Suluhu Hassan na Genge lake anayofanya sasa na kujiandaa kuinajisi nchi hii hakustahili kufanywa UASI?

UASI unatakiwa ufanyike kwa mambo gani?
Ananajisi kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…