GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ungekuwa unasogelea bunduki, leo hii usingekuwa unaandika hapa. Nyinyi kazi zenu ni kuwajaza ujinga vijana kama akina Mdude_Nyagali au Deusdedith Soka wawnde front huku nyinyi mumebaki sebuleni mkiangalia mkong'oto toka kwenye TV.

Tundu huyo yupo Ukonga anasota na nyinyi kazi yenu ni kuandika hashtag tu #FreeTundu Lissu
 
Since you have learned to shoot without missing, we will learn to fly without landing! Subiri uone kama hamtatuita kutubembeleza kunusuru nchi
Ndoto tu hizo, ila ukiona mlango wa choo, amka, usijekunya kitandani
 
Wewe naona huna mchango wowote, kama walivyo mizoga wote walioletwa humu na GENGE la Samia Suluhu Hassan; kwa hiyo ngoja nikuchukulie hivyo hivyo kuwa haPa nashughulika na mzoga unaooza.
Sina haja yoyote ya kujibu kama najibishana na mtu hai.
 
Hili unaniuliza ni swali nilijibu. Wewe ni mzoga kama walivyo wenzako wasiojuwa kitu?
Nyie CDM mumezoea kukaririshwa maneno na akina Tundu au Maria Sarungi ma Mange Kimambi. Wanayoongea viongozi wenu akina Heche ndiyo mnayoongea nyinyi. Maana unasema tu Samia na genge lake wana najisi nchi. Sasa nataka uniambie wanavyo najisi. Siyo kuandika sweeping statements tu.

Mnakaririshwa na wadada malaya akina Maria nanyi kazi kuropoka kama kasuku
 
Wewe ni mzoga wenye mfundo sasa hivi. Chagua moja, tuchome moto au tufukie kwenye shimo?
Kabla ya kugeuka kuwa mzoga kama ulivyo sasa hukunisoma niliyokuwa nikieleza huyo Samia wako anavyo najisi taifa hili; au ulikuwa bado unanyonya uchafu toka kwake kiasi kwamba hukuweza kujua nilichokuwa nikieleza?
 
Sasa nataka ujue kuwa mada kama hizi ambazo ni takataka; nitakuwa nazijibu hivyo hivyo kama zilivyo takataka.
Kwa hiyo nipo hapa na wewe, tuendelee hadi lyamba.
 
Hoja yako ni NN hasa na unajivunia nn ?
Kuonea wanyonge au ?
 
Watz wajinga sijapata kuina, kwani kama kura ya mwananchi ikikosa thamani ni chadema ndio wanaathirika. Hivi watu wanaopigania kura ya mwananchi ndio ichague mgombea anayemtaka ukiwemo na wewe ndio unakuja kumsuta hapa. Hii nchi ndio maana kila mtu anataka kuwa kiongozi kwasabu akili zenu wanazijua
 
Kelele tu za Samia ana najisi ila huwezi kusema ana najisi kivipi?? Nyie mtaishia kulia lia mitandaoni wakati fursa zinawapita. Wenye akili wanatengeneza fedha, wajinga mmekalia majungu
 
Sasa nataka ujue kuwa mada kama hizi ambazo ni takataka; nitakuwa nazijibu hivyo hivyo kama zilivyo takataka.
Kwa hiyo nipo hapa na wewe, tuendelee hadi lyamba.
Ingekuwa mada takataka, unge IGNORE. Kitendo cha kushiriki na kuandika posts zaidi ya 5 kunijibu inaonekana mada yangu imebamba. Hii pekee ni post #137.

Labda wewe ndiyo takataka
 
Ni sawa ila kuvuruga uchaguzi hapana. Reforms zimekuwa zikifanywa toka nchi ipate uhuru mwaka 1961, ila Reforms anazotaka Tundu Lissu kwa njia ya uasi hapana
 
Majuto huja baadae.
 
Uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…