Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

Mtoto hapatikani kwenye ndoa

Kataa ndoa,ndoa una watoto sio wako

Ndoa ni utapeli

Ndoa inamnufaisha mwanamke kuliko Mwanaume.

Kataa Azimio la Beijing.
 
Kwani wachumba wanafanya tendo la ndoa???? hiyo ni dhambi mbele za Mungu atakama watafunga ndoa Mungu anakuwa hayupo pamoja nao labda waombe toba mbele la Mungu na wasirudie kufanya icho kitendo kwa hao wachumba wasubirie mpaka hapo watakapofunga ndoa kuzini kwenye uchumba ni dhambi mbaya sana Mungu anachukia dhambi maana yeye ni Mtakatifu
 
Mtoto hapatikani kwenye ndoa

Kataa ndoa,ndoa una watoto sio wako

Ndoa ni utapeli

Ndoa inamnufaisha mwanamke kuliko Mwanaume.

Kataa Azimio la Beijing.
subiri dada zako home waanxishe kampeni kuondoa uhkhanithi wachumba sugu wana watoto 6 na wajukuu 2. Wanatarjia kufunga ndoa wakipata pesa ya ukumbi
 
yaani Mwenyezi Mungu atuhurumie sisi wakosefu 😭😭😭😭😭😭😭😭
Embu chukua muda wako kidogo, Mshukuru Mungu sana,

Mwambie Mungu asante sana kwa kuficha aibu zangu,

Na kuchukua huzuni zangu,

Asanti Mungu kwa Kunihurumia..
Aimen...
 
Mkuu hii research ya kusema mwanamke anapata hamu mara moja kwa mwezi uliifanyia wapi.

Labda demu wangu hakuwepo
 
Du anakuadhibu au

Damnnn...seriously?

Mnachangamoto yeyote? Kutoelewana ne menginey

Kipindi cha uchumba wetu miaka 13 nyuma nilikuwa na madem wawil huyu na mwingine.wote kwa baht nzur wakawa wajawazito but hakuna aliemjua mwenzie...unajua mambo ya ujana tena.ye akajua mchongo akadai nmemsalit nikaomba sana msamaha na nkamchagua yeye. Tukazaa mtoto wa pil na watatu ila kila siku ni kama lile kosa nmelitenda jana. Matokea yake kupewa kwa mwez mara mbil amenihurumia sana mara tatu...ila saiv kaninyoosha had leo hii miez saba. Nakaa nae kwa aajili tu ya watoto.sina sababu nyingine kwa kwel.
 
Umenikumbusha show moja Netflix nilikuwa naangalia, inaitwa "First Wives Club". No spoilers.

Kuna couple ina ratiba kufanya tendo kila Jumatano.

Yani ikifika Jumatano, uwe kwenye mood, usiwe kwenye mood, ni siku ya tendo. Na ukipata hamu siku nyingine, unasubiri mpaka Jumatano.

Couple ilipata matatizo sana kwenye ndoa yao.
 
Wana ndoa,ubunifu kwenye sex ni nguzo wa ndoa yenu.Fanyeni kila mbinu,mradi msifanye kwa mpalange,ila mengine fanyeni bila woga
 
[emoji16][emoji16]

Vipi mtu akiwa P inakuaje.

Itabid tujaribu hii na my wangu

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…