Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

siku ikikubali mwilini unakataa, muda na umri umekwenda, majutro yanatamalaki, mguu wa tatu hausimami, pumzi hakuna, huna kijana hata wa kusingiziwa....

shutuma na maneno ya jamii zinakumaliza zaidi kabisa, utaskia aah jamaa alikubkhanithi mnara ulikua haupandi ,sasa angepataje mtoto
Mtoto hapatikani kwenye ndoa

Kataa ndoa,ndoa una watoto sio wako

Ndoa ni utapeli

Ndoa inamnufaisha mwanamke kuliko Mwanaume.

Kataa Azimio la Beijing.
 
Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba.

Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu, ustadi, maarifa, umahihiri, unyenyekevu, utayari na kwa utoshelevu.

Lakini pia likitumiwa vibaya kana kwamba ni adhabu, karaha, usumbufu, uchafu au uonevu basi, upendo ndani ya ndoa au uchumba huo unaweza kuchomoka na kutafuta makazi mahala pengine kwa faraja ya muda ya kificho.

Kupanga ratiba ya kufanya tendo la ndoa kwa wana ndoa au wachumba ni mwanya au uchepushaji wa upendo wa ndani ya ndoa kwenda nje ya ndoa. Tendo la ndoa lifanyike wakati wowote bila ratiba, wanandoa au wachumba wanapopata joto la kuhisi kufanya tendo, iwe sebuleni nyakati za usiku mkalai, jikoni watoto wakiwa shule, chumbani na mahali popote tulivu pa faragha panapo weza kuwapa uhuru na kuwasitiri haja stahiki.

Kila la kheri sana...
Kwani wachumba wanafanya tendo la ndoa???? hiyo ni dhambi mbele za Mungu atakama watafunga ndoa Mungu anakuwa hayupo pamoja nao labda waombe toba mbele la Mungu na wasirudie kufanya icho kitendo kwa hao wachumba wasubirie mpaka hapo watakapofunga ndoa kuzini kwenye uchumba ni dhambi mbaya sana Mungu anachukia dhambi maana yeye ni Mtakatifu
 
Mtoto hapatikani kwenye ndoa

Kataa ndoa,ndoa una watoto sio wako

Ndoa ni utapeli

Ndoa inamnufaisha mwanamke kuliko Mwanaume.

Kataa Azimio la Beijing.
subiri dada zako home waanxishe kampeni kuondoa uhkhanithi
Kwani wachumba wanafanya tendo la ndoa???? hiyo ni dhambi mbele za Mungu atakama watafunga ndoa Mungu anakuwa hayupo pamoja nao labda waombe toba mbele la Mungu na wasirudie kufanya icho kitendo kwa hao wachumba wasubirie mpaka hapo watakapofunga ndoa kuzini kwenye uchumba ni dhambi mbaya sana Mungu anachukia dhambi maana yeye ni Mtakatifu
wachumba sugu wana watoto 6 na wajukuu 2. Wanatarjia kufunga ndoa wakipata pesa ya ukumbi
 
yaani Mwenyezi Mungu atuhurumie sisi wakosefu 😭😭😭😭😭😭😭😭
Embu chukua muda wako kidogo, Mshukuru Mungu sana,

Mwambie Mungu asante sana kwa kuficha aibu zangu,

Na kuchukua huzuni zangu,

Asanti Mungu kwa Kunihurumia..
Aimen...
 
Mawazo Ya kimasikini kabisaa haya.. Mara nyingi masikini ndiyo wenye tabia za kufikiria zaidi mambo km haya...! Tendo LA ndoa lipo Kwa ajili Ya kupatia watoto na si Kwa ajili Ya starehe km mleta Mada alivyotafsiri. Binadamu amepewa kila kitu kwenye uumbaji. Kapewa akili, nguvu, maarifa na utashi. Lkn huyu binadamu ndo Mjinga zaidi kwenye baadhi Ya maamuzi kuliko hata wanyama. Mfano mnyama km mbuzi, anafanya tendo LA ndoa akiwa kwenye siku Ya hatari tu.. Yaani siku ambayo akifanya tendo ni Kwa ajili Ya kupata Mtoto tu. Hata dume LA mbuzi huwa linanusa ute kwenye K Ya jike.. Likijiridhisha ute ni wenyewe dume linampanda jike.. Jike likishapandwa halifanyi tena tendo LA ndoa mpaka atakapojifungua.. Hapo tu inaonyesha jinsi huyo mnyama alivyomstaarabu kwenye tendo kuliko binadamu.. Binadamu ato****a mpaka siku Ya kujifungua huu ni ujinga. Kumbuka binadamu mwanamke anapata hamu Ya kufanya tendo mara Moja tu Kwa mwezi.. Haha tofauti na mbuzi.... Tafuteni pesa vijana achaneni na huu upuuzi WA kuwaza ngono kila wakati. Hivi bakharessa anapata wapi muda WA kuwaza upuuzi km huu!?? Wanawake kwenye hela huwa hawaondoki...
Mkuu hii research ya kusema mwanamke anapata hamu mara moja kwa mwezi uliifanyia wapi.

Labda demu wangu hakuwepo
 
Du anakuadhibu au

Damnnn...seriously?

Mnachangamoto yeyote? Kutoelewana ne menginey

7 months anachepuka,vipi mkewe naye anasaidiwa na njemba nyingine nje?😅 hii life ..

Wakieleza changamoto zao basi hata kidogo watuambie tatizo lilipoanzia maana hatuwezi kuruka moja kwa moja "kataa ndoa,wanawake or wanaume wanasumbua,ndoa ni upuuzi" changamoto inaweza kuwepo kwa mlalamikaji or mlalamikiwa na haijalishi jinsia.
Kipindi cha uchumba wetu miaka 13 nyuma nilikuwa na madem wawil huyu na mwingine.wote kwa baht nzur wakawa wajawazito but hakuna aliemjua mwenzie...unajua mambo ya ujana tena.ye akajua mchongo akadai nmemsalit nikaomba sana msamaha na nkamchagua yeye. Tukazaa mtoto wa pil na watatu ila kila siku ni kama lile kosa nmelitenda jana. Matokea yake kupewa kwa mwez mara mbil amenihurumia sana mara tatu...ila saiv kaninyoosha had leo hii miez saba. Nakaa nae kwa aajili tu ya watoto.sina sababu nyingine kwa kwel.
 
Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba.

Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu, ustadi, maarifa, umahihiri, unyenyekevu, utayari na kwa utoshelevu.

Lakini pia likitumiwa vibaya kana kwamba ni adhabu, karaha, usumbufu, uchafu au uonevu basi, upendo ndani ya ndoa au uchumba huo unaweza kuchomoka na kutafuta makazi mahala pengine kwa faraja ya muda ya kificho.

Kupanga ratiba ya kufanya tendo la ndoa kwa wana ndoa au wachumba ni mwanya au uchepushaji wa upendo wa ndani ya ndoa kwenda nje ya ndoa. Tendo la ndoa lifanyike wakati wowote bila ratiba, wanandoa au wachumba wanapopata joto la kuhisi kufanya tendo, iwe sebuleni nyakati za usiku mkalai, jikoni watoto wakiwa shule, chumbani na mahali popote tulivu pa faragha panapo weza kuwapa uhuru na kuwasitiri haja stahiki.

Kila la kheri sana...
Umenikumbusha show moja Netflix nilikuwa naangalia, inaitwa "First Wives Club". No spoilers.

Kuna couple ina ratiba kufanya tendo kila Jumatano.

Yani ikifika Jumatano, uwe kwenye mood, usiwe kwenye mood, ni siku ya tendo. Na ukipata hamu siku nyingine, unasubiri mpaka Jumatano.

Couple ilipata matatizo sana kwenye ndoa yao.
 
Wana ndoa,ubunifu kwenye sex ni nguzo wa ndoa yenu.Fanyeni kila mbinu,mradi msifanye kwa mpalange,ila mengine fanyeni bila woga
 
Umenikumbusha show moja Netflix nilikuwa naangalia, inaitwa "First Wives Club". No spoilers.

Kuna couple ina ratiba kufanya tendo kila Jumatano.

Yani ikifika Jumatano, uwe kwenye mood, usiwe kwenye mood, ni siku ya tendo. Na ukioata hamu siku nyingine, unasubiri mpaka Jumatano.

Couple ilipata matatizo sana kwenye ndoa yao.
[emoji16][emoji16]

Vipi mtu akiwa P inakuaje.

Itabid tujaribu hii na my wangu

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom