Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kataa ndoaMwez wa saba nafunga leo no sex the same bed...hatar sana ndoa zina mengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kataa ndoaMwez wa saba nafunga leo no sex the same bed...hatar sana ndoa zina mengi sana
Huo ni mtego wa mali na pesa.Cha maana upendo uwepo, haijalishi huo upendo upo ndani ya ndoa au nje ya ndoa ilimradi ni upendo.
Mtoto hapatikani kwenye ndoasiku ikikubali mwilini unakataa, muda na umri umekwenda, majutro yanatamalaki, mguu wa tatu hausimami, pumzi hakuna, huna kijana hata wa kusingiziwa....
shutuma na maneno ya jamii zinakumaliza zaidi kabisa, utaskia aah jamaa alikubkhanithi mnara ulikua haupandi ,sasa angepataje mtoto
Halafu Kuna Mbwa atakuja ataniambia "NDOA TAMUU"Mwez wa saba nafunga leo no sex the same bed...hatar sana ndoa zina mengi sana
Kwani wachumba wanafanya tendo la ndoa???? hiyo ni dhambi mbele za Mungu atakama watafunga ndoa Mungu anakuwa hayupo pamoja nao labda waombe toba mbele la Mungu na wasirudie kufanya icho kitendo kwa hao wachumba wasubirie mpaka hapo watakapofunga ndoa kuzini kwenye uchumba ni dhambi mbaya sana Mungu anachukia dhambi maana yeye ni MtakatifuTendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba.
Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu, ustadi, maarifa, umahihiri, unyenyekevu, utayari na kwa utoshelevu.
Lakini pia likitumiwa vibaya kana kwamba ni adhabu, karaha, usumbufu, uchafu au uonevu basi, upendo ndani ya ndoa au uchumba huo unaweza kuchomoka na kutafuta makazi mahala pengine kwa faraja ya muda ya kificho.
Kupanga ratiba ya kufanya tendo la ndoa kwa wana ndoa au wachumba ni mwanya au uchepushaji wa upendo wa ndani ya ndoa kwenda nje ya ndoa. Tendo la ndoa lifanyike wakati wowote bila ratiba, wanandoa au wachumba wanapopata joto la kuhisi kufanya tendo, iwe sebuleni nyakati za usiku mkalai, jikoni watoto wakiwa shule, chumbani na mahali popote tulivu pa faragha panapo weza kuwapa uhuru na kuwasitiri haja stahiki.
Kila la kheri sana...
subiri dada zako home waanxishe kampeni kuondoa uhkhanithiMtoto hapatikani kwenye ndoa
Kataa ndoa,ndoa una watoto sio wako
Ndoa ni utapeli
Ndoa inamnufaisha mwanamke kuliko Mwanaume.
Kataa Azimio la Beijing.
wachumba sugu wana watoto 6 na wajukuu 2. Wanatarjia kufunga ndoa wakipata pesa ya ukumbiKwani wachumba wanafanya tendo la ndoa???? hiyo ni dhambi mbele za Mungu atakama watafunga ndoa Mungu anakuwa hayupo pamoja nao labda waombe toba mbele la Mungu na wasirudie kufanya icho kitendo kwa hao wachumba wasubirie mpaka hapo watakapofunga ndoa kuzini kwenye uchumba ni dhambi mbaya sana Mungu anachukia dhambi maana yeye ni Mtakatifu
Eeh ni dhambi lakini mbele za Mungusubiri dada zako home waanxishe kampeni kuondoa uhkhanithi
wachumba sugu wana watoto 6 na wajukuu 2. Wanatarjia kufunga ndoa wakipata pesa ya ukumbi
yaani Mwenyezi Mungu atuhurumie sisi wakosefu 😭😭😭😭😭😭😭😭actually sio kwa Mungu tu. Hao ni public sinerz.
Hii comment iwe pinned pale mwanzo wa uzi[emoji419][emoji375][emoji375]fukuza
Kataa ushoga
Mkuu hii research ya kusema mwanamke anapata hamu mara moja kwa mwezi uliifanyia wapi.Mawazo Ya kimasikini kabisaa haya.. Mara nyingi masikini ndiyo wenye tabia za kufikiria zaidi mambo km haya...! Tendo LA ndoa lipo Kwa ajili Ya kupatia watoto na si Kwa ajili Ya starehe km mleta Mada alivyotafsiri. Binadamu amepewa kila kitu kwenye uumbaji. Kapewa akili, nguvu, maarifa na utashi. Lkn huyu binadamu ndo Mjinga zaidi kwenye baadhi Ya maamuzi kuliko hata wanyama. Mfano mnyama km mbuzi, anafanya tendo LA ndoa akiwa kwenye siku Ya hatari tu.. Yaani siku ambayo akifanya tendo ni Kwa ajili Ya kupata Mtoto tu. Hata dume LA mbuzi huwa linanusa ute kwenye K Ya jike.. Likijiridhisha ute ni wenyewe dume linampanda jike.. Jike likishapandwa halifanyi tena tendo LA ndoa mpaka atakapojifungua.. Hapo tu inaonyesha jinsi huyo mnyama alivyomstaarabu kwenye tendo kuliko binadamu.. Binadamu ato****a mpaka siku Ya kujifungua huu ni ujinga. Kumbuka binadamu mwanamke anapata hamu Ya kufanya tendo mara Moja tu Kwa mwezi.. Haha tofauti na mbuzi.... Tafuteni pesa vijana achaneni na huu upuuzi WA kuwaza ngono kila wakati. Hivi bakharessa anapata wapi muda WA kuwaza upuuzi km huu!?? Wanawake kwenye hela huwa hawaondoki...
hii imeendaKataa ushoga
Du anakuadhibu au
fukuza
Damnnn...seriously?
Mnachangamoto yeyote? Kutoelewana ne menginey
Kipindi cha uchumba wetu miaka 13 nyuma nilikuwa na madem wawil huyu na mwingine.wote kwa baht nzur wakawa wajawazito but hakuna aliemjua mwenzie...unajua mambo ya ujana tena.ye akajua mchongo akadai nmemsalit nikaomba sana msamaha na nkamchagua yeye. Tukazaa mtoto wa pil na watatu ila kila siku ni kama lile kosa nmelitenda jana. Matokea yake kupewa kwa mwez mara mbil amenihurumia sana mara tatu...ila saiv kaninyoosha had leo hii miez saba. Nakaa nae kwa aajili tu ya watoto.sina sababu nyingine kwa kwel.7 months anachepuka,vipi mkewe naye anasaidiwa na njemba nyingine nje?😅 hii life ..
Wakieleza changamoto zao basi hata kidogo watuambie tatizo lilipoanzia maana hatuwezi kuruka moja kwa moja "kataa ndoa,wanawake or wanaume wanasumbua,ndoa ni upuuzi" changamoto inaweza kuwepo kwa mlalamikaji or mlalamikiwa na haijalishi jinsia.
Umenikumbusha show moja Netflix nilikuwa naangalia, inaitwa "First Wives Club". No spoilers.Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba.
Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu, ustadi, maarifa, umahihiri, unyenyekevu, utayari na kwa utoshelevu.
Lakini pia likitumiwa vibaya kana kwamba ni adhabu, karaha, usumbufu, uchafu au uonevu basi, upendo ndani ya ndoa au uchumba huo unaweza kuchomoka na kutafuta makazi mahala pengine kwa faraja ya muda ya kificho.
Kupanga ratiba ya kufanya tendo la ndoa kwa wana ndoa au wachumba ni mwanya au uchepushaji wa upendo wa ndani ya ndoa kwenda nje ya ndoa. Tendo la ndoa lifanyike wakati wowote bila ratiba, wanandoa au wachumba wanapopata joto la kuhisi kufanya tendo, iwe sebuleni nyakati za usiku mkalai, jikoni watoto wakiwa shule, chumbani na mahali popote tulivu pa faragha panapo weza kuwapa uhuru na kuwasitiri haja stahiki.
Kila la kheri sana...
[emoji16][emoji16]Umenikumbusha show moja Netflix nilikuwa naangalia, inaitwa "First Wives Club". No spoilers.
Kuna couple ina ratiba kufanya tendo kila Jumatano.
Yani ikifika Jumatano, uwe kwenye mood, usiwe kwenye mood, ni siku ya tendo. Na ukioata hamu siku nyingine, unasubiri mpaka Jumatano.
Couple ilipata matatizo sana kwenye ndoa yao.