Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

Soon itaanza andikwa RIP Ray C.... juhudi zifanyike kuhakikisha anakuwa kwenye mikono salama tafadhali...... wasanii ingilieni kati mmsaidie huyu mrembo wet sio mnasubiri selfie akisha kufa.... plz msaidieni huyu dada etu....
 
Hivi Unga unakuaje hadi mtu anashindwa kuacha. Nimetumia vilevi vyote ila hii kitu hii ndo kabisa wala sikujaribu.

Ukishakuwa addict wa kitu chochote inahitajika nguvu ya ziada kuacha iwe ni unga,chakula,pombe,sex,etc
chukulia mfano wa mtu ambae yuko addicted/obssesed na mume au mke wake(siongelei upendo) unaeza kuta anajua kabisa haya mahusiano hayaendi vizuri ila hana nguvu ya kumuacha,mwingine anaambulia magonjwa kabisa.

Addiction ya kitu chcochote inaweza kuwa hatari,ndio maana Mungu alituonya na kuwa na KIASI.

Mungu amsaidie.
 
unga /ngada sio kabisaaaa,tuombe sana watoto wetuwasifikie huko kwani ni janga
hii kitu ina stage ukifikia hatua ya sindano wao huita bundasliga baasi huwezi aacha ,hata wafanye nini utapumzika kwa muda utaendelea
 
Mungu wangu msaidie, aweze kupata nafuuu na uzima, na uninusuru mimi na vizazi vyaku.
 
Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.

Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!

Nilikwambia huyu mtu ni mbishi sana, sio msikivu. Wakati wote anaamini yuko sahihi, na anaamini anaweza kuficha mabaya anayofanya, hataki kufikiria kama sasa nchi nzima inamtazama yeye kwa kuwa alianza kupata tiba kwa msaada wa Rais akimsaidia kwa hali na mali.
Kusema kweli ukiyasikia yote ya Ray C yanaumiza sana, tena yanaumiza kupita kiasi. Ukikaa naye mkazungumza atasema mikwamo yake iliyosababishwa na Ruge hadi atakulilia kupita kiasi, mama yake akisafiri nje anafikia wakati anakuwa hana hata nauli ya kufikia kituoni kunywa dawa.

Rais alikuwa tayari kumsaidia masomo ya uigizaji wa filamu Marekani baada ya kumaliza tiba, kama Ray C alivyoomba, lakini Ruge akamuahidi mbele ya Rais kuwa amtasaidia kumfanya arudi juu kimuziki, na kumfanya Ray C aamue kurudi tena kwenye muziki ambao alishaukatia tamaa.
Akapoteza nafasi aliyopewa na Rais, na baada ya muda Ruge naye akamtosa, akamkatalia kulipia video ya wimbo wake kwa sababu amenenepa sana, kwa hiyo anamtaka apungue ndio atoe hela ya kurekodi video. Na Ray C alinenepa kwa sababu ya dawa za uteja anazokunywa, ni ngumu kupungua.

Kwa kauli hiyo akaamini ameshatoswa, ndio maana alishawahi kutangaza kutafuta mtu wa kumsimamia kimuziki kwani tayari ana nyimbo nane amesharekodi, lakini hazina video. Alishatoa hadi namba zake za simu kwa anayetaka kumsaidia awasiliane naye, ila hakupata.
Sasa kwa akili ndogo za Ray C akashindwa kukabiliana na hiyo hali kwa kutafuta namna ya kutoka hapo, kwani hata Jide alipitia hali kama hiyo kwa Ruge, lakini akapambana akasonga.

Yeye kwa akili zake haba akarudi kutumia dawa za kulevya akidhani anaweza kutuficha tusijue.
Sasa jana kulifanywa mpango akakutanisha na Seven anayemsimamia Alikiba na Jide, na wakafanya mazungumzo kwa ajili ya kumsaidia kimuziki, sasa kama unavyoona matokeo yake leo unakuja kusikia amezima baada ya kupitiliza matumizi ya dawa za kulevya, sasa kama ni kweli nadhani ni ngumu kumuokoa.

Ova
 
kama ni matokeo ya drugs wala simuonei huruma...
 
Nilikwambia huyu mtu ni mbishi sana, sio msikivu. Wakati wote anaamini yuko sahihi, na anaamini anaweza kuficha mabaya anayofanya, hataki kufikiria kama sasa nchi nzima inamtazama yeye kwa kuwa alianza kupata tiba kwa msaada wa Rais akimsaidia kwa hali na mali.
Kusema kweli ukiyasikia yote ya Ray C yanaumiza sana, tena yanaumiza kupita kiasi. Ukikaa naye mkazungumza atasema mikwamo yake iliyosababishwa na Ruge hadi atakulilia kupita kiasi, mama yake akisafiri nje anafikia wakati anakuwa hana hata nauli ya kufikia kituoni kunywa dawa.
Rais alikuwa tayari kumsaidia masomo ya uigizaji wa filamu Marekani baada ya kumaliza tiba, kama Ray C alivyoomba, lakini Ruge akamuahidi mbele ya Rais kuwa amtasaidia kumfanya arudi juu kimuziki, na kumfanya Ray C aamue kurudi tena kwenye muziki ambao alishaukatia tamaa.
Akapoteza nafasi aliyopewa na Rais, na baada ya muda Ruge naye akamtosa, akamkatalia kulipia video ya wimbo wake kwa sababu amenenepa sana, kwa hiyo anamtaka apungue ndio atoe hela ya kurekodi video. Na Ray C alinenepa kwa sababu ya dawa za uteja anazokunywa, ni ngumu kupungua.
Kwa kauli hiyo akaamini ameshatoswa, ndio maana alishawahi kutangaza kutafuta mtu wa kumsimamia kimuziki kwani tayari ana nyimbo nane amesharekodi, lakini hazina video. Alishatoa hadi namba zake za simu kwa anayetaka kumsaidia awasiliane naye, ila hakupata.
Sasa kwa akili ndogo za Ray C akashindwa kukabiliana na hiyo hali kwa kutafuta namna ya kutoka hapo, kwani hata Jide alipitia hali kama hiyo kwa Ruge, lakini akapambana akasonga. Yeye kwa akili zake haba akarudi kutumia dawa za kulevya akidhani anaweza kutuficha tusijue.
Sasa jana kulifanywa mpango akakutanisha na Seven anayemsimamia Alikiba na Jide, na wakafanya mazungumzo kwa ajili ya kumsaidia kimuziki, sasa kama unavyoona matokeo yake leo unakuja kusikia amezima baada ya kupitiliza matumizi ya dawa za kulevya, sasa kama ni kweli nadhani ni ngumu kumuokoa.

Ova
duh nimesoma nikasikitika sana jamani pole yake ray c
 
Neno pole limetumika kimakosa. unampaje pole mtu ambaye anabwia unga kwa starehe zake! ! ana akili timamu, anajua athari zake. na amepewa elimu juu ya hayo madawa. lakini bado anaendelea kubwia halafu anapewa pole.! utamu wa pilipili ni ule muwasho wake. mwacheni binti ajidunge. cha msingi mngemshauri apigwe mimba azae mapema kabla hajabadilishwa jina.
 
Toka asubuhi mpaka usiku huu bado tetesi tu??

Leteni updates.
 
Ray c ashapewa msaada wa halo ya juu!ili aachane na matumizi ya madawa ya kulevyaa!
Kitendo cha kupelekwa ikulu na yeye kukiri kuwa hatorudia tena ktk matumizi ya madawa,ile nilikuwa changamoto kubwa Sana kwake....
Mtu kuacha madawa ni wewe mwenyewe na nafsi yako tu kuachana na hii kitu....
Tatizo kubwa watumiaji wengi huwa wanatafuta sympathy toka kwa watu Fulani
 
Back
Top Bottom