Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
SWALI:
1.Rais Kikwete ametambua sasa madhara ya madawa ya kulevya, Je, atawachukulia hatua sasa wote wanauzia madawa ya kulevya maana kuna tetesi kuwa anayo majina ya DRUG DEALERS?
2. Je, ni Ray C tu mwenye aliyekumbwa na tatizo la kuwa TEJA? Watanzania wengine tena nguvu kazi kubwa ambayo imeshadhirika na madawa ya kulevya ana mpango upi wa kuwasaidia? Ama wao hawastahili msaada?
Jamani jamaa kamsaidia msanii mwenzie halafu kuna kitu inaitwa sijui ni payback yaani baada ya kufanya biashara unarejesha kiasi fulani kwa customers wako kama kifuta jasho
Tanzania zaidi uijuavyo.........?????!!!!!!
yaani huyu rais, ni JANGA LA KITAIFA!! SIJUI TULIROGWA???
Ndugu wa jf,sio siri nchi yetu inaudhi,ukipita mitaani utakutana na rundo la vijana wakisinzia kwa sababu ya madawa ya kulevya,awa awana ndugu,awana kipato,wala awana elimu yoyote,no body cares,jana kwenye taarifa ya habari nilimuona mh, kikwete akifanya promosheni ya wema wake kwa kumtibia rayc,Rayc huyu si maskin,nimsomi anandugu wa kumjali lakin mh,aliona inafaa kuwaacha majority walioko mitaa na kukimbilia kumtibu mtu aliye zuzuka kwa amaarufu wake,Nlitegemea kama kweli janga ili limemgusa mh,basi angetafuta namna ya kupunguza upatkanaji wa hawa madawa nchni kwake, si aibu aloifanya ya kumtibia mtu mmoja na kuwaacha wengne tena walio wengi!kama mh,angekua na wema wakutosha angeanza na wanawe,mwanae miraji yuko addicted na pombe kwakua anajua kwa hlo awezi pata sifa kachuna,hvo hvo kwa ridhiwani,nifisadi kuliko kijana yoyote yule hapa tanzania nae pia kamchunia,mwanae wa kike mwnaasha kapiga div 4ya mwshomwsho pia kachuna(a good family makes a better nation),hi yote inaonesha mh,alivo na malezi ya ovyo kabisa asi fake kwa wema asokua nao, namshauri kikwete janga la madawa ya kulevya aliangalia kwa mapana na sio kututania kwa kutafuta sifa za mda mfupi.sifa za muda mfupi ni sifa za kijinga.
MWACHE AMTIBIE KWANI WEWE UNATAKIA NINI??NYIE MUMEMUONA HAFAI MWENZENU KAONA KAMA KAOKOTA DODO CHINI YA MKOROSHO,TOTO RAY C LINATIBIWA FRESH,NA LITAPIGWA SOAP SOAP LIKINAWIRI TUH KAZI ANAYO,,
ATAPEWE DUSHELELE HADI AKOME ZAKE,,KWANI JEIKEI UJINGA YE ANATAKA??
SI MLISHAMSIKIA AKISEMA YA KWAMBA UKITAKA KULA SHARTI NAWEWE ULIWE??
HAYA SASA AJIANDE KABISA KUTOA SODA YA KOPO..
:madgrin: :madgrin:
Ndugu wa jf,sio siri nchi yetu inaudhi,ukipita mitaani utakutana na rundo la vijana wakisinzia kwa sababu ya madawa ya kulevya,awa awana ndugu,awana kipato,wala awana elimu yoyote,no body cares,jana kwenye taarifa ya habari nilimuona mh, kikwete akifanya promosheni ya wema wake kwa kumtibia rayc,Rayc huyu si maskin,nimsomi anandugu wa kumjali lakin mh,aliona inafaa kuwaacha majority walioko mitaa na kukimbilia kumtibu mtu aliye zuzuka kwa amaarufu wake,Nlitegemea kama kweli janga ili limemgusa mh,basi angetafuta namna ya kupunguza upatkanaji wa hawa madawa nchni kwake, si aibu aloifanya ya kumtibia mtu mmoja na kuwaacha wengne tena walio wengi!kama mh,angekua na wema wakutosha angeanza na wanawe,mwanae miraji yuko addicted na pombe kwakua anajua kwa hlo awezi pata sifa kachuna,hvo hvo kwa ridhiwani,nifisadi kuliko kijana yoyote yule hapa tanzania nae pia kamchunia,mwanae wa kike mwnaasha kapiga div 4ya mwshomwsho pia kachuna(a good family makes a better nation),hi yote inaonesha mh,alivo na malezi ya ovyo kabisa asi fake kwa wema asokua nao, namshauri kikwete janga la madawa ya kulevya aliangalia kwa mapana na sio kututania kwa kutafuta sifa za mda mfupi.sifa za muda mfupi ni sifa za kijinga.
Big up mr president!!!watz tuko pamoja na wewe..
ni kweli huyo ni Ray C
Dah masikini Hawa Ngulume umeugua peke yako mpaka umauti umekukuta.
asigwa NO!
WASIO NA MAMA WADOGO WAKUU WA WILAYA WANATIBIWA NA NANI?
wasio na majina hapa wanatibiwa wapi
hiki kizazi kinachoangamia kila siku kwa ajili ya madawa ya kulevya kinatetewa na nani?
Vipi kuhusu hao mateja wengine walioko mtaa?? Mfano pale Manyanya wamejazana na serikali inajua.. Na polisi ndio wamefanya kama mradi wao wa kukusanya mapato.! Kweli Tanzania ni zaidi ya ujuavyo.