Siasa haikutenganishi na maisha ya kijamii,inaonekana ukibahatika kuwa mwanasiasa hata wakati wa kulala uatapanda na kaunda suti kitandani.
JK KUMSAIDIA RAY C NI VIZURI, BUT UNETHICAL
Ni vizuri kwa Rais Jakaya Kikwete amemsaidia Rehema Chalamila Ray C matibabu kutokana na addiction za madawa ya kulevya iwe kwa moyo au publicity. Nampenda Rehema ni dada mzuri, alikua ana tu intertain n.k.
Maoni yangu binafsi;
Tanzania kuna wagonjwa wengi ambao wapo mahospitalini na wengine wanavilema vya kuto kujitakia wanahitaji msaada. Raisi JK anajua hili na amewaona watu wanao hitaji misaada mahospitalini wengi ambao ni INNOCENT ila magonjwa tu yamewapa afya mbaya bila kujitakia. Hawana vyandarua, hawana vitanda, hawana madawa.
Ray C ni mtu mwenye akili timamu, alijiingiza kwenye madawa ya kulevya kwa hiari yake, iwe kwa influence ya marafiki, frustrations, au whatever. Nakubali ni celebrity na ni kioo cha jamii, ameshindwa kuwa kioo cha jamii at the first place ataweza kuwa kioo cha jamii sasa? Anasaidiwa sasa tuna uhakika gani hii tabia haita jirudia?
Binafsi, naona Raisi Jakaya Kikwete amecommit unethical act kwa wale wanao hitaji msaada kabla ya Ray C, wapo mahospitalini bila KUJITAKIA. Sioni sababu ya kusaidiwa yeye kabla ya watu wanao hitaji misaada mahospitalini. Sioni sababu ya kusaidiwa Ray C na kuweka kwenye vyombo vya habari kabla ya kutatua mgogoro wa madaktari ambao wanainfluence afya ya mtanzania na wagonjwa ambao wapo hospitalini kabla ya Ray C.
Muongozo:
Wamarecan wanafanya hivi; kama una hitaji organ transplant, unawekwa kwenye waiting list. Sasa basi, kama wewe uli haribu organs zako kwa ajili ya anasa, madawa, pombe na sigara, hawakuweki hata kwenye waiting list. Wanakuacha unakufa tu kwa kuwapa kipaumbele wale ambao hawakuabuse pombe, sigara n.k. Wanasema hivi tukimpa organ mpya ATAENDA KUIHARIBU TENA kwa hiyo inabidi awe wa mwisho kufikiriwa.
Kilicho fanyika:
Kama Tanzania tunge kuwa tuna organ waiting list, watu wanahitaji liver, heart, kidney, lungs n.k. Lets say kuna watu 1000 wanasubiri. Harafu Ray C analetwa na JK na anawekwa namba moja mbele ya watu 1000. Ingekuwa ni haki au ethical kwa sababu ni CELEBRITY? HILI NDILO LIMEFANYIKA HAPA KWA MTAZAMO WANGU. Na ni risk kumsaidia huyu mtu kwani anaweza kwenda ku BLOW organ hiyo tena.
Mwisho;
Ni mtazamo wangu na naamini wewe pia una wako. Tanzania imefika wakati tufanye mambo ki ethical na sio political.
GREAT THINKERS, LETS THINK ETHICAL-
Rehema Chalamila "Ray C" nakutakia afya njemba
udini huu utaliponza taifa..ray c ni kwasabu ya uislam wake ndo maana kasaidiwa
JK KUMSAIDIA RAY C NI VIZURI, BUT UNETHICAL
Anajifariji kua bado anasaidia watanzania na siku moja utamsikia km si yeye bas mpambe yoyote akizungumzia jukwaan. Acha nisizungumze kuhusu yeye/wanaomhusu kwa karibu kuhusika ktk hii biashara coz sina ushahidi nalo,ila naeza kusema yeye anawalinda wanaosupply na kuharibu maelfu zaid ya Ray C ambao hawapat msaada kama huo kwakua alishasema anawafahamu wasambazaji but wanashugulikia kwa ubaguzi.
Zaid angepunguza anasa za serikali yake/na kupambana kwa dhati na ufisadi na kupeleka resources kwe huduma bora za afya angekua amefanya la maana zaid otherwise mi naona kitendo hichi ni sawa tu na kupiga picha na Steve Sieger. Hopeless
mimi nadhani angefanya msaada mkubwa kama angepambana na kuhakikisha hakuna uingizwaji wa madawa ya kilevya nchini. Suppose huyo aliyesaidiwa arudi tena kwenye madawa atamsaidia tena? Solution ya kuwasaidia wote wanaoteseka kama rais nadhani ni hiyo.
- Ulitakiwa kuwa na facts kwanza ni kwa nini JK amemsaidia Ray C kabla hujakurupuka na hukumu za kimitaani taani, JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!
- Sometimes mnakuwa kama watoto wadogo flani hivi, sio kila ishu ni lazima museme ndio muonekane ni upinzani wa kweli, daaaamn!!
Es!
- Ulitakiwa kuwa na facts kwanza ni kwa nini JK amemsaidia Ray C kabla hujakurupuka na hukumu za kimitaani taani, JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!
- Sometimes mnakuwa kama watoto wadogo flani hivi, sio kila ishu ni lazima museme ndio muonekane ni upinzani wa kweli, daaaamn!!
Es!
Unajua kikwete amemsaidia Ray C kama rais au kama Jakaya Kikwete? Unajua maana ya msaada?
JK ni binadam ana marafiki ana ndugu, Marahemu Baba Mkubwa wa Ray C amefanya kazi na JK mambo ya nje kwa muda mrefu sana kabla ya kufariki miaka michache iliypoita, sasa kwa nini JK asimsaidie mtoto wa Rafiki yake wa karibu aliyefanya kazi naye ka muda mrefu sana!
Kama rais anatoa pesa yake mfukoni ni halali yake kufanya apendavyo isipokuwa hakuwa na haja ya kujitangaza maana hajapata kujitangaza pindi anapowasaidia ndugu zake huko Bagamoyo au Msoga.
Kwa vile rais kumsaidia Ray C ilifanywa kuwa habari na watu wa ikulu basi naamini msaada huo ni wa kiserikali.