Hicho unachokiongea kinawezekana lakini Hoja yangu inasimama kwenye njia rahisi ya kupambana na suala hili kwani ukianzia na mtumiaji atakutajia muuzaji mdogo na muuzaji mdogo atakutajia muuzaji Mkubwa na mwisho wa siku tutafanikiwa kung'oa shina na mizizi yake nafikiri unanipata R.SweetyKama una taarifa zozote juu ya wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya zipeleke tume ya kupambana na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya. Pale watazifanyia kazi kwa kuwafungulia mashtaka hao unawaongelea.
|
| Ray C amshukuru Kikwete na Shehe Semtawa |
Kila kitu kina malengo yake, umejaliwa kumuona huyo dada mtu wa RayC? sijui kama mkulu hajakamua au hatakamua.
.Hapana mdau, mimi nadhani hapa kuna faida kubwa ya kumsaidia dada huyu ambaye kwa kweli ni kioo cha jamii.Alichofanya Mkuu wa Kaya naamini kinalenga kumfanya mwanadada huyu kuwa balozi mzuri wa kuelezea madhara ya wazi yanayotokana na utumiaji wa madawa ya kulevya kwa yeye mwenyewe amekumbana nayo,na jamii inajua hivyo.Na kwa kuzingatia kipaji cha hali juu cha uimbaji alichonacho mwanamama,itakuwa ni rahisi sana kwake kutumia jukwaa la sanaa ya muziki katika kupiga vita utumiaji wa unga na hivyo vijana wengi ambo ni wadau wakubwa wa athari hizo na ambao pia ni wadau wakubwa sana wa muziki,kupata elimu na ujumbe huo kirahisi zaidi.
Sote tunafahamu namna muziki ulivyo na nguvu katika kusambaza ujumbe kwa jamii.Hivyo basi,ninachokitegemea kutoka kwa mdada huyu ni kutunga tungo na kutumia majukwaa yake ya muziki kupiga vita utumiaji wa kilevi hiki hatari ili vijana wengi wapate kupona kwenye janga hili. Hivyo, nashawishika kuamini kuwa hilo bila shaka ndio lililokuwa kusudio la Mkuu wa Nchi katika kumsaidia binti huyu.
hivi kwanza alikuwa anaumwa nini hadi raisi akaingilia kumsaidia matibabu??
je wasanii wangapi ambao rais huwa anawasaidia kimatibabu ila hawajaonyesha moyo wa shukurani??
we mamito hebu achana na haya makitu juzi nilitoka povu humu!kama sina akili nzuri!
mi nachoka sana na haya mambo we acha tu!tukajilie zetu tu mbuzi wa foilini pale uhuru park basi!ah
Kiranga kabla hatujafikiria concepts of fairness and favoritism hebu kwanza nieleweshe Ray C alikuwa anaumwa nini?? seriously sijui.Tanzania concept ya fairness haipo, at least kwa rais wetu.
Marekani ukiwa na watoto wako wawili, mmoja ana miaka minne na mwingine sita, ukimfanyia kitu mmoja bila kumfanyia mwingine lazima mmoja atalia "That's not fair".
But I guess Tanzania is Tanzania and the U.S.A is the U.S.A.
The question is, is this ethos of fairness something we should emulate?
Should President Kikwete be concerned about issues of favoritism before parading himself with the Ray Cs of Tanzania (who apparently had other avenues and a whole fan base to garner the requisite funds, as opposed to countless other Tanzanians who shall remain unknown and uncared for).
Why is Ray C so special?
Kuna Watanzania wangapi wanaohitaji msaada kama huu ambao hawana uwezo kabisa? Kigezo gani kimetumika kumchagua Ray C?
kwani mai dia ishu ilikuwaje?? binafsi sijui lolote sijui nimezeeka ama??we mamito hebu achana na haya makitu juzi nilitoka povu humu!kama sina akili nzuri!
mi nachoka sana na haya mambo we acha tu!tukajilie zetu tu mbuzi wa foilini pale uhuru park basi!ah
don't tell! Ray c aaalikuwa teja?? so raisi wetu akamsaidia pesa za matibabu sio, ni jambo jema sana tena lapaswa kuigwa. but naomba mnijuze jambo hapa hivi anayejeruhika katikati ya starehe na anayejeruhika katikati ya kazi who needs sympathy??hahahahahah alikuwa tejaaaaa! eti anasema raisi baba yake kamponya ,this is absurd kwani kikwete ni MUNGU hadi amponye??? unafki tu...mr.dhaifu@work
Mudi u can't be serious kwa hii statement. so ndicho alichokisema??"...Nashukuru rais ameniponyesha..." I am speech less.
alikuwa teja bana!kwani mai dia ishu ilikuwaje?? binafsi sijui lolote sijui nimezeeka ama??