Raymond kutoka WCB avuta mjengo wa maana

Raymond kutoka WCB avuta mjengo wa maana

Watu kitu hawajui huyu dogo raymond tayari ameshasaini endorsement deals 2 na kampuni kubwa hapa bongo na amevuta mpunga wa kutosha
Soon hizo deals zitatangazwa
 
Funny and heart-breaking when i see africans hating their color!!...so you have posted those two pic of that guy to show a difference in color and superiority in color...right?..so your point is that life-advancement is indicated by skin color change..right?...i don insult you but i can feel the spirit of mental slavery eating you out so so savegely!!!...wake-up and emancipate yourself from that worst form of slavery!!!!!
 
hapo alipoandika ........ inamana mnatakiwa mmalizie BADO!!
kwamba kafanya kama kik tu
ila kashasema kuwa swala la nyumba na gari yeye bado.
 
Aise maisha haya...kumbe ukiwa huna hela unafubaaa hela zikikutembelea unang'aa kama saruji chapa tembo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu mtoto atafika mbali kimaendeleo kuliko mdogo wangu harmonize anayesukia kamba jikoni
 
Guys naona hamjamuelewa dogo! Kabla ya hapo inaonyesha alikuwa akikaa geto na wadau/kaka/mama/etc sasa hivi anasema ana kwake si lazima nyumba iwe yake hata ukipanga nyumba nzima utasema kwangu...maana naona watu kule insta na hpa ni full povu! Low #iq#
Toka zako
 
hapo alipoandika ........ inamana mnatakiwa mmalizie BADO!!
kwamba kafanya kama kik tu
ila kashasema kuwa swala la nyumba na gari yeye bado.
Akili za maskini utazijua tu, kwake yeye kila kitu anaona hakiwezekani, na hii ndio tofauti ya masikini na tajiri, tajiri kila kitu anaona kinawezekana na masikini kila kitu anaona ni ndoto.
 
Akili za maskini utazijua tu, kwake yeye kila kitu anaona hakiwezekani, na hii ndio tofauti ya masikini na tajiri, tajiri kila kitu anaona kinawezekana na masikini kila kitu anaona ni ndoto.
nahisi hujanielewa
nmeelewesha watu tu... kama alivofanya diamond kwenye ile rolls
kik ni kitu cha kawaida
sijamsema kwa ubaya
tena mm ni shabiki wake mzuri tu
wa WcB kwa ujumla
nahisi hukunielewa..
sio kila anaelewesha ni team kimba hapana.
 
Komenti yangu haijasema kama wewe ni timu gani ...... Na sijakuongelea kwa ubaya,ila nilipenda kuona kwa mtoto wa kike kujijengea mazoea ya kuona kila kitu kinawezekana.Achana na sisi wakiume wenyewe tuna kazi nyingi ambazo ziko kirafiki sana kwa jinsia yetu.
 
yamsodhaaa[emoji122][emoji122]
 
Hongera zake kijana,ila kwa jinsi ninavyo wajua wcb wanavyo penda sifa hiyo nyumba ingekuwa ni kweli ya huyo kijana wangefanya sherehe sasa naona kimya basi kijana atakuwa kapanga!
 
diamond mbagala imetoka tangu 2009 na ametawala sana music ila madale kapajenga mwaka jana tu..

ila huyu raymond katoka mwaka huu na mjengo mwaka huu.. nyimbo mbili tu katoboaaa... mmmh
mkuu usifananishe nyumba ya ray na dai,dai lazima ichukue miaka mkuu
 
Back
Top Bottom