chiba89
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 424
- 196
ha ha wasanii eti dahWasanii walikutana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha wasanii eti dahWasanii walikutana.
Toka zakoGuys naona hamjamuelewa dogo! Kabla ya hapo inaonyesha alikuwa akikaa geto na wadau/kaka/mama/etc sasa hivi anasema ana kwake si lazima nyumba iwe yake hata ukipanga nyumba nzima utasema kwangu...maana naona watu kule insta na hpa ni full povu! Low #iq#
Akili za maskini utazijua tu, kwake yeye kila kitu anaona hakiwezekani, na hii ndio tofauti ya masikini na tajiri, tajiri kila kitu anaona kinawezekana na masikini kila kitu anaona ni ndoto.hapo alipoandika ........ inamana mnatakiwa mmalizie BADO!!
kwamba kafanya kama kik tu
ila kashasema kuwa swala la nyumba na gari yeye bado.
nahisi hujanielewaAkili za maskini utazijua tu, kwake yeye kila kitu anaona hakiwezekani, na hii ndio tofauti ya masikini na tajiri, tajiri kila kitu anaona kinawezekana na masikini kila kitu anaona ni ndoto.
Komenti yangu haijasema kama wewe ni timu gani ...... Na sijakuongelea kwa ubaya,ila nilipenda kuona kwa mtoto wa kike kujijengea mazoea ya kuona kila kitu kinawezekana.Achana na sisi wakiume wenyewe tuna kazi nyingi ambazo ziko kirafiki sana kwa jinsia yetu.nahisi hujanielewa
nmeelewesha watu tu... kama alivofanya diamond kwenye ile rolls
kik ni kitu cha kawaida
sijamsema kwa ubaya
tena mm ni shabiki wake mzuri tu
wa WcB kwa ujumla
nahisi hukunielewa..
sio kila anaelewesha ni team kimba hapana.
yamsodhaaa[emoji122][emoji122]Komenti yangu haijasema kama wewe ni timu gani ...... Na sijakuongelea kwa ubaya,ila nilipenda kuona kwa mtoto wa kike kujijengea mazoea ya kuona kila kitu kinawezekana.Achana na sisi wakiume wenyewe tuna kazi nyingi ambazo ziko kirafiki sana kwa jinsia yetu.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] ndio wanaharibu vijana!!!!!Wcb wanashirikiana na riz one kupoteza mchele nchini
Hahahaha!Kwa show za Fiesta? Nitakuwa wa mwisho kuamini hili, labda kama anamradi ule mwingine
Atakuwa anauza ngada.....Kwa show zipi labda....
mkuu usifananishe nyumba ya ray na dai,dai lazima ichukue miaka mkuudiamond mbagala imetoka tangu 2009 na ametawala sana music ila madale kapajenga mwaka jana tu..
ila huyu raymond katoka mwaka huu na mjengo mwaka huu.. nyimbo mbili tu katoboaaa... mmmh
Unamaanisha show yake moja 10m?Hivi hiyo nyumba si milioni 70?, sasa akipiga show kumi si zaidi ya hiyo pesa jamani. Tuache wivu jamani inawezekana.