Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π π π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]haahaa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Niliwahi kuambiwa na mwanamke mwenzangu ni mzuri sana kama nimejiumba.Ebu tushirikishe
π€£π€£π€£π€£ Ni nadra Sana kuona mwanamke anamsifia mwanamke mwenzake naona huyo alijitoa ufahamu.Ukiona hivyo ujue we ni kisu ile mbayaNiliwahi kuambiwa na mwanamke mwenzangu ni mzuri sana kama nimejiumba.
Astaghfirullah [emoji849]
Mkuu bila shaka wewe humfahamu majani vizuri πMaumivu ya majani naya feel
Watu wanambandua binti yako na kurekodi kabisa..na kurusha online..
Mkuu nilianza kuielewa michango yako juu ya hii maada,ila uliposema H.Baba kawekezaa daaah[emoji23][emoji23]Uwezo alikuwa nao ila hakujenga mpaka anakufa. Wala sina dharau kwa mtu maarufu bali kwa nchi yetu uwa wanajisahau sana. Mwisho wa Ruge haukuwa mzuri hata kidogo nakumbuka mpaka tulipitishiwa bakuli la michango siku za mwisho.
Mimi binafsi sina wivu na mtu yoyote ila nachukia watu wanaopata nafasi lakini wanazichezea kwa kuendekeza anasa kama hawa wasanii wa sasa. Mbona kuna wanaofanya vizuri na kuwekeza kama kina Sugu, H. Baba, P. Funky, Master Jay, n.k
Ukweli usemwe ili wajifunze pia kupata hela umri mdogo ni tatizo inabidi uwe na adabu sana ya maisha ndio utoboe. Wasanii na watu maarufu upande wa burudani majority wana mwisho mbovu sana