Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Yaani huyu babe hadi nimechoka sasa, na hajifichi tabia zake anajionesha wazi😪 kama vipi naomba nikupe kama zawadi dear Wit japo nipumzike kidogo😂
Babe mie nawewe hatuachani yani tutalamba glukonz mpaka kifo kitutenganishe 😅😅😅 kwanza witty yeye ndio ananitaka ila mie nimekataa hadi kaona anichongee kwako bebi!
 
Back
Top Bottom