Nilichogundua jf ni tamu sana kwa upande wangu kama sina hela..
Happy valentine wote mnaokojolea patamu
Hata sikumuelewa Ummy mwalimu kaingiaje ujinga mzigo.Ummy mwalimu sio msanii
Kweli hii huwa inauma Sana , kuna mwamba alikuwa anakula sana wake za watu na vibinti , eeh bhana eeh sku akuta SMS namlegeza mke wake , jamaa alimind kinyama π€£ alifura mbaya , moja ya sababu zilizonifanya nisanue MwanzaAkuna cha faragha mkuu,shida ni kuliwa kimaskhara.
Wahuni mabinti zao wakiliwa kimaskhara uwa wakali sana.
Amerisit June anaanza advance...Nimeona habari na video mitandaoni zikisema Rayvanny ana mahusiano ya kimapenzi na Paula mtoto wa kajala. Nijuavyo ni kuwa Paula alifeli form four wazazi wake wakamrudisha shule akawa anarisiti huku anasoma five na six, hivyo habari hizi za rayvanny zimenishtua kidogo. Vipi Paula ameacha shule? Na Kama bado anasoma kudate wanafunzi ni kosa linaloweza kumpeleka mtu jela miaka 30.
Na hata Kama ameacha shule bila shaka atakuwa underage huyo Paula ambapo pia ni statutory rape chini ya sheria kutembea na msichana chini ya miaka 18.
NB: Mamlaka zilifuatilie hili swala na ikibainika Kuna jinai zichukue hatua stahiki, yaani sheria ifuate mkondo wake wasanii ni vioo vya jamii hivyo wanapaswa kuwa wa mfano wa kuigwa, watoto waachwe wasome kwanza.
Hahaaaa msaga sumu mweee!!!Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
HahaaaaaWewe nawe tunakuunganisha kwenye kesi ya jinsi
Umekula nyara ya serikali
Ndicho anachotaka mama yake tukioneMtoto anatako
Je aliwahi kumrecord?Kabla Pfunk jajatoa povu aueleze uma wa watanzania alianza ku date Kajala mpaka akazaa naye Paula akiwa na Umri gani? Hivi hajui utendalo wakati mwingine yanakurudia? Atulie shindano iingie taratibu.
Kumbe ni ka kuwadi kazuri tu.
Mama P msee...yykee demu kamuangushia jumba bovu mobeto kaona hapa pa kutokea
Basi aliwe tuNdicho anachotaka mama yake tukione
πmalezi ya kimtandao..
Msanii ana cha kimya kimya basi ππHuyu Rayvanny na yeye kumbe ni fala sana aisee. Yaani hawezi kula vyombo kimyakimya?
Majani anasema akimshika atamla jichoMsanii ana cha kimya kimya basi [emoji3][emoji3]