Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Akuna cha faragha mkuu,shida ni kuliwa kimaskhara.
Wahuni mabinti zao wakiliwa kimaskhara uwa wakali sana.
Kweli hii huwa inauma Sana , kuna mwamba alikuwa anakula sana wake za watu na vibinti , eeh bhana eeh sku akuta SMS namlegeza mke wake , jamaa alimind kinyama 🤣 alifura mbaya , moja ya sababu zilizonifanya nisanue Mwanza
 
Nimeona habari na video mitandaoni zikisema Rayvanny ana mahusiano ya kimapenzi na Paula mtoto wa kajala. Nijuavyo ni kuwa Paula alifeli form four wazazi wake wakamrudisha shule akawa anarisiti huku anasoma five na six, hivyo habari hizi za rayvanny zimenishtua kidogo. Vipi Paula ameacha shule? Na Kama bado anasoma kudate wanafunzi ni kosa linaloweza kumpeleka mtu jela miaka 30.

Na hata Kama ameacha shule bila shaka atakuwa underage huyo Paula ambapo pia ni statutory rape chini ya sheria kutembea na msichana chini ya miaka 18.

NB: Mamlaka zilifuatilie hili swala na ikibainika Kuna jinai zichukue hatua stahiki, yaani sheria ifuate mkondo wake wasanii ni vioo vya jamii hivyo wanapaswa kuwa wa mfano wa kuigwa, watoto waachwe wasome kwanza.
Amerisit June anaanza advance...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kweli siku hazigandi kumbe P funk majani anamtoto mkali namnahiii
 
Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Hahaaaa msaga sumu mweee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla Pfunk jajatoa povu aueleze uma wa watanzania alianza ku date Kajala mpaka akazaa naye Paula akiwa na Umri gani? Hivi hajui utendalo wakati mwingine yanakurudia? Atulie shindano iingie taratibu.
Je aliwahi kumrecord?
 
Huyu Rayvanny na yeye kumbe ni fala sana aisee. Yaani hawezi kula vyombo kimyakimya?
 
official_mtani-photo-2021_02_14_16_51.jpg

Tupo hapa na majani tunamjaza upepo mwamba ... R.I.P vanny boy mtu mbaya
 
Back
Top Bottom