Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Kwa mpalange kuna jotooooooooooooooooo-Ney wa mitego.View attachment 1702636
Hata mimi laiti ningekuwa na connection ningemkula, shida sio ubazazi. Kuna muda mtu anatakiwa ajitambue kuwa ni mama na ajue akifanyacho kwa mtoto kitaleta effect kwenye maisha yake ya baadae, lakini Kajala alishindwa kujitambua na kuhisi labda yuko na ahoga yake!
Yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kumfunza ujinga.
View attachment 1702636
Hata mimi laiti ningekuwa na connection ningemkula, shida sio ubazazi. Kuna muda mtu anatakiwa ajitambue kuwa ni mama na ajue akifanyacho kwa mtoto kitaleta effect kwenye maisha yake ya baadae, lakini Kajala alishindwa kujitambua na kuhisi labda yuko na ahoga yake!
Yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kumfunza ujinga.
Acha huyo binti apelekewe moto tu,tena akipigwa 3some na maza ake inakua ndio poa zaidi.Naona mko vizuri sana ku shift responsibility, kosa ni RayVanny kutotambua huyo bado ni mtoto, ku twerk na mama yake sio ticket ya wewe mtu mzima kuanza kumfuatilia huyo mtoto...infact mngemlaumu Kajala na malezi yake kama huyo Paulo angemfuata RayVanny na sio vice versa!........
Naona umeshikilia bado ni mtoto! Inaonekana hupendi Paula apewe raha za dunia?Naona mko vizuri sana ku shift responsibility, kosa ni RayVanny kutotambua huyo bado ni mtoto, ku twerk na mama yake sio ticket ya wewe mtu mzima kuanza kumfuatilia huyo mtoto...infact mngemlaumu Kajala na malezi yake kama huyo Paulo angemfuata RayVanny na sio vice versa!........
Naona umeshikilia bado ni mtoto! Inaonekana hupendi Paula apewe raha za dunia?
Kwanini unashikilia ni mtoto wakati anaumudu mjegejeo? Ni mtoto ndio kwa wazazi wake!
alikuwa Jitegemee SekondariHivi kajala alivyokuwa anaruka na majani si alikuwa secondary au primo?.
Bahari hailindwi mkuu!Yes ni mtoto, wewe unajua ni mtoto, na mimi najua ni mtoto...anapaswa kulindwa sio na wazazi wake tuu bali pamoja na jamii yote!,
Bahari hailindwi mkuu!
Hii ya mtoto kulindwa na jamii yote ilishapotea tangu miaka ya 90 huko! Na kama ipo basi ni vijijini huko tena vijiji vichache sana. Sahv kila mtu anachunga watoto wake mwenyewe!Yes ni mtoto, wewe unajua ni mtoto, na mimi najua ni mtoto...anapaswa kulindwa sio na wazazi wake tuu bali pamoja na jamii yote!,
Mama Kula kifungu cha katiba Kwanza , Paula anaelekea 21 sasa , kimsingi mnamdhalilisha kumuita mwanafunzi ....Yes ni mtoto, wewe unajua ni mtoto, na mimi najua ni mtoto...anapaswa kulindwa sio na wazazi wake tuu bali pamoja na jamii yote!,
Wapi nimehalalisha? Kwa maisha ya Kitanzania miaka 19 anatakiwa awe anajua baya na zuri, pia anatakiwa awe na ukaribu na mama yake na pia mama amjengee misingi mizuri ya kimaadili mwanawe, lakini kwa mtoto huyu mama yake ndio mvunjaji mkubwa wa maadili, je ni nani hapo anaehalalisha ubazazi? Sisi wanaume tunaotamani kumgonga au mama yake anaehamasisha kwa kutwerk?Acha kuhalalisha ubazazi....
Hii ya mtoto kulindwa na jamii yote ilishapotea tangu miaka ya 90 huko! Na kama ipo basi ni vijijini huko tena vijiji vichache sana. Sahv kila mtu anachunga watoto wake mwenyewe!
Mapito tunayopitia sahivi sio yale ya miaka ya 80. Sahv kila mtu na lake usipoweza kuchunga mwenyewe usitegemee mwenzako au jamii ikuchungie, sahau kuhusu hilo. Mambo yamebadilika.Mnhh hauwezi kuchunga mtoto mwenyewe unless unaishi kwenye kisiwa,hili ni jukumu letu mmoja mmoja na jamii yote,..mtoto wa mwenzio ni mtoto wako,mabazazi hawatambui hili
Wapi nimehalalisha? Kwa maisha ya Kitanzania miaka 19 anatakiwa awe anajua baya na zuri, pia anatakiwa awe na ukaribu na mama yake na pia mama amjengee misingi mizuri ya kimaadili mwanawe, lakini kwa mtoto huyu mama yake ndio mvunjaji mkubwa wa maadili, je ni nani hapo anaehalalisha ubazazi? Sisi wanaume tunaotamani kumgonga au mama yake anaehamasisha kwa kutwerk?
Mapito tunayopitia sahivi sio yale ya miaka ya 80. Sahv kila mtu na lake usipoweza kuchunga mwenyewe usitegemee mwenzako au jamii ikuchungie, sahau kuhusu hilo. Mambo yamebadilika.
Kwa maisha ya kitanzania pia mtoto wa miaka 19 asipokuwa na maamuzi yake na ukiendelea kumbana sana kwa kuhisi ndio malezi mwisho wa siku atashindwa kuwa na msimamo na kufanya maamuzi yake na hivyo anaweza kufikisha hadi miaka 25 akiwa anashindwa kujitegemea kwa chochote. Ndio maana hata serikali inamtambua mtoto aliye na miaka zaidi ya 18 kuwa ni mtu mzima hivyo anaweza kuajiriwa na kujitegemea.Kwa maisha ya kitanzania pia mtoto wa miaka 19 bado ni mtoto sio wa kuachiwa kufanya decisions,ndio maana sio common kwa mtu mwenye umri huu kumkuta anajitegemea,amepanga anaishi mwenyewe, means hajawa matured. Again mnataka kuhalalisha ubazazi wa RayVanny kwa kupitia mama yake Paula, wewe mtu mzima unaangalia miaka wa kuwa nae kwenye mahusiano au unaangalia Twerk???
Huo ni mtazamo wako, umebase zaidi kwenye mahusiano! Kwani hakuna vijana wa kiume walio na miaka hiyo wanaojitegemea?Mnhhh hili ni swala letu lote,je wote tukianzisha mahusiano tukiwa na miaka 19 tutajenga jamii ya aina gani??
Kama mzazi hii imeniumiza sana. Kwa suala hili, huyo rayvany ni angetakiwa time hii awe selo kwanza maana nasikia huyo binti ni mwanafunzi. Pili mama yake na huyu binti hawezi kwepa lawama za malezi mabovu.Naona mko vizuri sana ku shift responsibility, kosa ni RayVanny kutotambua huyo bado ni mtoto, ku twerk na mama yake sio ticket ya wewe mtu mzima kuanza kumfuatilia huyo mtoto...infact mngemlaumu Kajala na malezi yake kama huyo Paulo angemfuata RayVanny na sio vice versa!........