Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Umejuaje kuwa Rayvanny ndio kamu approach bint ? Maisha harisi ya kitanzania huyajui. Kwakua Paula ni maarufu lakini mabinti wengi wa kike katika kizazi hiki wamevurugwaNO, angekua huyu binti ndio amemu approach RayVanny ndio ungesema hayo ya makuzi yake,ila RayVany ni mtu mzima yeye ndio angemuacha mtoto wa watu,...
Sawa mzee ebu nirushide hiyo video ya mdogo wako nithibitishe Ni kweli au unanidanganya ili ujastify hoja yakoNikwambie kitu uelewe,home Nina dada wa kike.. home kifupi familia yetu Ina maadili sana na wazazi wetu ni wacha Mungu vzr,siku mtaani nakuja kuona video ya mdogo wangu akifanya mapenzi niliumia mnoooooooooooooooooo na video ipo xvideo mpka leo mdogo wangu hayupo sawa kisaikolojia na ilimpelekea mpka akafeli kidato cha sita.
Baharia aliyefanya yote hayo sasa hivi yupo segerea anachukua miaka 30 kisheria.
NB:usifurahie hizi Mambo acha zipite tu
Sasa huyo Paula kadhalilishwaje wakati inaonesha amuelewa baharia kabisaHyo adhabu ndogo kwa huyo mshenzi anamusambaza mtu Ili aweje na akizalilika angepata nini na akome simhurumii huyo baharia mharibifu na mchafuzi hata huyu rayvan anyooshwe iwe funzo kwa wanaozalilisha watoto wa kike
Onesha wa kwako tumthaminisheWa kawaida sana
Mzee umemaliza kila kitu thread ilitakiwa iishie hapa.Hakuna kesi hapo, Paula Ni binti mkubwa tu, miaka 20+ sio mtoto kabisa. Na kwakua hatuko chini ya miaka 18, Rayvanny hana hatia yoyote kwakua hakumlazimisha.
Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa , kwenye clip nyingi aliekuwa anarecord ni Paula mwenyewe.
NB :Mnapoteza muda wenu kutetea gumegume. Kati ya wanaume wote mliocoment tangia uzi huu uanzishwe, hakuna hata mmoja ambae Paula atashindwa kummudu kimapenzi, mmekomaa mtoto mtoto, ukituma mtoto utamfata Paula? Au mnataka kusema Vanyboy kamkuta bikra?
Boda bodaMmesema alifeli form 4, sasa fomu faivu anakwenda kwa usafiri gani?
Watu wapo na mahaba yao, wengine wana sema udhalilishaji kha! Binti ana miaka 20.. tayari mtu mzima huyo na haki ya kutambua jema na bayaSasa huyo Paula kadhalilishwaje wakati inaonesha amuelewa baharia kabisa
Mama anadanga mtoto anajua mabwana wa mama wote,hapounategemea maadili gani....huyo mtoto wenzake wako frm 6 au wamemaliza yeye yuko busy kuzurura na mama yake...wadada wa bongo movie ni majangaMnhh hauwezi kuchunga mtoto mwenyewe unless unaishi kwenye kisiwa,hili ni jukumu letu mmoja mmoja na jamii yote,..mtoto wa mwenzio ni mtoto wako,mabazazi hawatambui hili
Mnaangaliaga video za utupu ili iweje lakini ?Nikwambie kitu uelewe,home Nina dada wa kike.. home kifupi familia yetu Ina maadili sana na wazazi wetu ni wacha Mungu vzr,siku mtaani nakuja kuona video ya mdogo wangu akifanya mapenzi niliumia mnoooooooooooooooooo na video ipo xvideo mpka leo mdogo wangu hayupo sawa kisaikolojia na ilimpelekea mpka akafeli kidato cha sita.
Baharia aliyefanya yote hayo sasa hivi yupo segerea anachukua miaka 30 kisheria.
NB:usifurahie hizi Mambo acha zipite tu
Ray-vany cello akafanye nn? Cello kashindwa kwenda dula makabila ataenda ray? Alafu ww paula unamjua vzr au unamskia? Huyu mtoto ana scandal mpaka za video za ngono..hii sio ya kwanza...sas mwanafunz gani huyo? Kwa maisha ya huyo mtoto status ya uanafunz inakufa mapema tu..acha achezee pipe tuKama mzazi hii imeniumiza sana. Kwa suala hili, huyo rayvany ni angetakiwa time hii awe selo kwanza maana nasikia huyo binti ni mwanafunzi. Pili mama yake na huyu binti hawezi kwepa lawama za malezi mabovu.
Kajala enzi hizo alikua Joao CanceloEnzi hizooo majani alikuwa anamla Kajala mwanafunzi wa kidato cha tatu KARMA is sweat.
MnyamweziSorry, Mobeto ni kabila gani?