Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

NO, angekua huyu binti ndio amemu approach RayVanny ndio ungesema hayo ya makuzi yake,ila RayVany ni mtu mzima yeye ndio angemuacha mtoto wa watu,...
Umejuaje kuwa Rayvanny ndio kamu approach bint ? Maisha harisi ya kitanzania huyajui. Kwakua Paula ni maarufu lakini mabinti wengi wa kike katika kizazi hiki wamevurugwa
 
Nikwambie kitu uelewe,home Nina dada wa kike.. home kifupi familia yetu Ina maadili sana na wazazi wetu ni wacha Mungu vzr,siku mtaani nakuja kuona video ya mdogo wangu akifanya mapenzi niliumia mnoooooooooooooooooo na video ipo xvideo mpka leo mdogo wangu hayupo sawa kisaikolojia na ilimpelekea mpka akafeli kidato cha sita.
Baharia aliyefanya yote hayo sasa hivi yupo segerea anachukua miaka 30 kisheria.
NB:usifurahie hizi Mambo acha zipite tu
Sawa mzee ebu nirushide hiyo video ya mdogo wako nithibitishe Ni kweli au unanidanganya ili ujastify hoja yako
 
Hyo adhabu ndogo kwa huyo mshenzi anamusambaza mtu Ili aweje na akizalilika angepata nini na akome simhurumii huyo baharia mharibifu na mchafuzi hata huyu rayvan anyooshwe iwe funzo kwa wanaozalilisha watoto wa kike
Sasa huyo Paula kadhalilishwaje wakati inaonesha amuelewa baharia kabisa
 
Hakuna kesi hapo, Paula Ni binti mkubwa tu, miaka 20+ sio mtoto kabisa. Na kwakua hatuko chini ya miaka 18, Rayvanny hana hatia yoyote kwakua hakumlazimisha.
Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa , kwenye clip nyingi aliekuwa anarecord ni Paula mwenyewe.


NB :Mnapoteza muda wenu kutetea gumegume. Kati ya wanaume wote mliocoment tangia uzi huu uanzishwe, hakuna hata mmoja ambae Paula atashindwa kummudu kimapenzi, mmekomaa mtoto mtoto, ukituma mtoto utamfata Paula? Au mnataka kusema Vanyboy kamkuta bikra?
Mzee umemaliza kila kitu thread ilitakiwa iishie hapa.
 
Mnhh hauwezi kuchunga mtoto mwenyewe unless unaishi kwenye kisiwa,hili ni jukumu letu mmoja mmoja na jamii yote,..mtoto wa mwenzio ni mtoto wako,mabazazi hawatambui hili
Mama anadanga mtoto anajua mabwana wa mama wote,hapounategemea maadili gani....huyo mtoto wenzake wako frm 6 au wamemaliza yeye yuko busy kuzurura na mama yake...wadada wa bongo movie ni majanga
 
Nikwambie kitu uelewe,home Nina dada wa kike.. home kifupi familia yetu Ina maadili sana na wazazi wetu ni wacha Mungu vzr,siku mtaani nakuja kuona video ya mdogo wangu akifanya mapenzi niliumia mnoooooooooooooooooo na video ipo xvideo mpka leo mdogo wangu hayupo sawa kisaikolojia na ilimpelekea mpka akafeli kidato cha sita.
Baharia aliyefanya yote hayo sasa hivi yupo segerea anachukua miaka 30 kisheria.
NB:usifurahie hizi Mambo acha zipite tu
Mnaangaliaga video za utupu ili iweje lakini ?
 
Kama mzazi hii imeniumiza sana. Kwa suala hili, huyo rayvany ni angetakiwa time hii awe selo kwanza maana nasikia huyo binti ni mwanafunzi. Pili mama yake na huyu binti hawezi kwepa lawama za malezi mabovu.
Ray-vany cello akafanye nn? Cello kashindwa kwenda dula makabila ataenda ray? Alafu ww paula unamjua vzr au unamskia? Huyu mtoto ana scandal mpaka za video za ngono..hii sio ya kwanza...sas mwanafunz gani huyo? Kwa maisha ya huyo mtoto status ya uanafunz inakufa mapema tu..acha achezee pipe tu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Habari nduguzangu

Kwanza kabisa naomba mod msiunganushe uzi wangu na ule please.Hii issue ya Rayvanny na Paula imenigusa Sana kwasababu inafanana Sana na tukio lililowahi kunikuta mwaka Jana tofauti yangu na Rayvanny Ni moja tu Mimi nililala na Mwanafunzi kabisa yupo form 6 shule ya government inaitwa "Jangwani" wakati Rayvanny amedate na Paula ambaye amemaliza shule amefeli form 4.

Iko hiv me nimepanga kwenye hiz nyumba za uswahili ambapo kuna wapangaji wengi. Wapangaji wenzangu wengine wamama, wadada wanapenda kuja chumba changu kwaajili ya kuangalia cd na tamthiliya na wanaume wenzangu mpira.

Binafsi naishi vizuri Sana na wapangaji wenzangu especially wamama na wadada wapale maana ndio nipo nao karibu.Ila Kuna Mwanafunzi mmoja anaitwa jesca ambaye yupo form 6 pia anakujaga pale nilizoeana nae kidogo lakini baada siku moja nilikuwa nimetoka chuoni taulo langu likadondoka alafu jesca akaona mambo yote ndio nikaona anazidisha ukaribu na Mimi Sana.

Siku moja nilikuwa ninataka nilale nikakuta mlango unagongwa kwangu nikafungua nikamkuta Jesca ilikuwa mchana hiv nikamwambia nataka nilale Kama unataka kuangalia cd njoo baadae Mara nashangaa anafunga mlango Mara kidogo akaniangusha kitandani si unajua chumba changu nikimoja kina kitanda na sebule humo humo binafsi sikutaka nifanye huo upuuzi SEMA ukweli kwasababu najua Ni Mwanafunzi lakini alinizidi ujanja alivyoanza kushika machine yangu na kunishikisha mkono wangu kwenye Nido zake ndio alinimaliza kabisa na ukichangia Ni demu mzuri sana na ana umbo zuri.

Vitu nilivyopata pale sijui Kama ninaweza kupata kwa mwanamke mwingine mtoto anajua mapenzi ile mbaya aisee mpaka nikajiuliza Mwanafunzi gani huyu?

Binafsi sijawahi kupiga dk nyingi Kama nilivyopiga siku hiyo.Baada ya muda kupita nikasikia mlango unagongwa nikabidi nivae fasta na mwenzangu kufungua nikakuta wajuba wengi wamejaa mlangoni wanalalamika kwanini nimelala na Mwanafunzi mambo yakawa mengi nikapelekwa kwa wazazi wa Jesca.

Mzee wake Ni mkali ile mbaya sikupewa hata muda wakujitetea au kusikilizwa wakataka kunipeleka polini mzee nilikosa amani kabisa nikaona hapa miaka 30 inanisubiri.

Tukaanza safari ya kwenda polisi kabla ya kufika wakatokea wapangaji wenzangu Kama watatu hivi wamama wawili na mmoja Ni mdada wakamuita mzee wa Jesca wakamuomba waongee tukatafuta sehemu ya kukaa maongezi yakaanza kumbe walikuja kunitetea wakamwambia mtoto wako amekuwa akijipendekeza kwangu na amekuwa Mara kwa Mara anaingia chumba changu na mengine mengi na kuniombea msamaha mwishoe mzee akaelewa ila akaniambia ikitokea mwanangu akapata mimba sitakusemehe kesi ikaishia hapo.

Bila Hawa wapangaji wenzangu Leo hii ningekuwa jela natumikia kifungo.

NB: Kizazi Cha Sasa kimeharibia Kuna wakati mwingine wazazi wanatupia lawama sisi bila kuangalia na changamoto tunazopitia sisi wanaume kea majaribu ya watoto imagine mtoto yupo form 6 anajua mapenzi unaweza ukakuta zaidi hata ya mama yake au Hali Kama yangu iliyonikuta mwanaume gani mwenye ujasiri wa kukwepa hata mchungaji mwenyewe au shehe unatokaje?
 
Kwani JK alisemaje? "ni kihere here chao". Acha wapigwe matukio ya kikubwa lol.
 
Back
Top Bottom