Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Jesca anapatikana wapi siku hizi? Just asking for a friend.
 
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika bwana, niseme tu kitendo kile kimeniumiza sana, basi no comment πŸ–οΈ

🀦πŸ€ͺπŸƒπŸƒ
 
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika bwana, niseme tu kitendo kile kimeniumiza sana, basi no comment πŸ–οΈ

🀦πŸ€ͺπŸƒπŸƒ
Kwani Paula ni mtoto sana!!!
 
Mtoto wa kitanzania ukisikia anamuita baba "daddy" basi kuna tatizo mahala, na mama akimuita "mummy" basi kuna tatizo kubwa sana, jua kabisa huyo mtoto hajawai kuonywa kwenye maisha yake, kila kitu anachokifanya basi inakuwa ni haki yake. wazazi wake humfundisha ama kumuelekeza mambo yasiokuwa na maadili kwenye jamii, that why hautasikia akitamka neno "Shikamoo"...

malezi ni tatizo si kila privacy ya mzazi au mlezi basi mtoto anapaswa kujua, mama unapost umevaa chupi sare na mwanao nini matarajio yake... shame
 
Husika na kichwa juu...
Fisi kuzaa paka...ww uliskia wapi!!
Umelima korosho uvune karanga...uliskia wap...

Sasa Kajala Masanja anavuna kile alichopanda, kama alikosea msingi ndio basi tena avunje jengo lote aanze tena na ni jambo lisilowezekana.

Paula yupo insta,anawafuasi (followers) wengi tu,anapiga pesa kupitia hao watu(matangazo) sasa uliona wapi mtoto anakuwa kwenye mtandao wa kijamii?

Mtoto anamilikije simu? Kwa maneno ya mama yake Paula haoni kuwa anaharibiwa kibiashara?

Siku zote mtoto wa nyoka mi nyoka tu. Serikali isijisumbue kumsaidia sababu hayo ni mavuno yake.

Au Nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…