Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
dogo inno umeshamshadia mume wa dada yako kuosha gari yake??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P Funk mtu mzima, hawezi fanya huo ujingaRayvanny, p.funk atamla matacol.
Chawa wa wcb bhana..
Sipati picha ommy dimpoz atakuwa ICUHabari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika bwana, niseme tu kitendo kile kimeniumiza sana, basi no comment 🖐️
🤦🤪🏃🏃
Kwani Paula ni mtoto sana!!!Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika bwana, niseme tu kitendo kile kimeniumiza sana, basi no comment 🖐️
🤦🤪🏃🏃
Kwa sababu gan?Sipati picha ommy dimpoz atakuwa ICU
Nani kakuambia lazima umalize form four na miaka 17 au 18? Siku hizi watoto miaka 15 au 16 wanamaliza form four, hiyo 18 ni enzi zetu ambapo tulikuwa tunaanza shule na miaka 9 au 10 ukipiga mahesabu ndo utapata form four 18, lakini hawa wanaanza standard 1 na miaka 5 piga hesabu 5+7+4=16
19Paula anamiaka mingapi
Kimenuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji115][emoji115]
Yuko chamwinoJesca anapatikana wapi siku hizi? Just asking for a friend.